Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

kwani wakati mnakatikiana hamkujua kama atapatikana mtoto? maaneenerr huu uzi umekaa kibaguzi sana sikubaliani na mashala ya majina sijui ubini wala nini mtu akizaliwa kazaliwa full stop haya mambo ya kulazimishana sijui ukoo sijui kabila sijui ubini ni uwendawazimu tu. kwani hata akiamua kujiiya mti ama jiwe si ni binadamu tu? tutumie akili sio kila kitu cha kushobokea by the way haya madini tumeletewa tu
hacha tufuate dini yetu ya uwisilamu na wewe komaa nauo ukirito wako
 
Mungu hajawahi kuweka utaratibu wowote na popote zaidi ya binadamu wenye roho mbaya kusingizia Mungu. Kila kitu Cha ovyo hufanyika Kwa kigezo Cha Mungu, Mauaji ya kujitoa mhanga(MUNGU).
kwani wewe mungu wako anasemaje kuhusu hilo? biblia inasema hivio tueleze huyo mungu wako wa chooni anasemaje kuhusu hilo?
 
Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.

Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye kisheria anatambulika kama mtoto wa mama aliye mzaa Tu.

Ingawa kikawaida atafahamika kama mtoto wa Baba Fulani lkn kidini huyo Baba hatambuliki na hivyo kuna haki Fulani ambazo Baba hawezi kumfanyia mtoto wake.

Moja wapo ni huyo mtoto hafai kuitwa Jina la ubini WA Baba yake,Hilo Jambo ni haramu Sana na Mungu ameshalikemea tayari, ingawa Kwa bahati mbaya Sana Kwa kutojua wengi wamewapa majina ya ubini wao hao watoto wa nje ya ndoa.

Na lingine ni kumuozesha kwenye ndoa, Baba Hana haki ya kumuozesha binti yake WA nje ya ndoa Kwa mumewe kwani ndoa hiyo ni batili na haifai kabisa.

Lingine huyo mtoto hawezi kumrithi Baba yake kwasababu kisheria huyo mtoto sio WA huyo Baba,Bali Baba anaweza kumpa sehemu ya Mali huyo mtoto,lkn mara Tu huyo Baba anapokufa basi huyo mtoto Hana haki ya Kurithi chochote.

Lakini sio vibaya huyo Baba kumhudumia huyo kijana Kwa malezi na mahitaji mbali mbali maadam Tu yeye ndiye sababu ya kuja Hicho kiumbe hapa duniani.

Na mtoto ambaye Hana Baba kisheria anaweza kuitwa Kwa jina la mama yake, Kwa mfano ETUGRUL BEY ASHA au Kwa jina la ubini Kwa upande wa mama yake.

Kubwa ni kutambua uzao mzuri ambao hata kizazi chako kinaweza pata haki stahiki ni kizazi ambacho kinatokana na ndoa takatifu ambayo IPO Kwa mujibu wa Sheria.

Na hata wale ambao wanafunga ndoa za kiserikali basi watambue kidini Hicho kizazi Chao hakitambuliki na Sheria za Dini Kwa maana Baba Hana watoto hapo Ila watoto ni WA mama.

Ni hayo Tu!

Kazakh destroyer
Msonjo
Nurain
adriz
professional Driver
baby zu
Ukitaka kujuwa dini ni Utapeli waulize pesa imeumbwa na Mungu au binadamu?

Wakikujibu ni binadamu Sasa wahoji ni kwa nini Mungu huyu huyu anataka pesa za binadamu atolewe sadaka?

Na kwenye Utapeli huo dini zote hazipingani wanataka sadaka na fungi la 10.

Yani Mungu eti naye anamuomba binadamu commission ya pesa. Vichekesho haviishi ujinga mtupu.
 
Kwahiyo kujaaliwa na Mwenyezi Mungu ndio upo sahihi?

Unazungumziaje majambazi na wauza unga mbona wanafanikiwa sana je wamejaaliwa na Mungu au wanapendwa na Mungu?
Ushasema ujambazi,ni vitu viwili tofauti kabisa,ni jinai.

Mtoto wa nje ya ndoa kafanya ujambazi upi hadi umtenge,aliomba azaliwe nje ya ndoa,vitu vingine havitaji akili nyingi kuona waliovitunga hawakuwa na mantiki

Unampaje pia adhabu mama wa mtoto utafikiri kajitia ujauzito yeye mwenyewe bila hiyo dini kumuwajibisha na huyo mwanaume
 
kwani wewe mungu wako anasemaje kuhusu hilo? biblia inasema hivio tueleze huyo mungu wako wa chooni anasemaje kuhusu hilo?
Huyo mungu anayekwambia umkatae mtoto wako uliyemzaa ni Mungu wa kijinga.

Kama mungu wako amekuagiza hivyo then huyo mungu wako ni mjinga tu
 
Huyo mtoto ni kiumbe wa MUNGU sio wa shetani.

Mpaka utajua Hojq za dini mufilisi.
 
kwani wewe mungu wako anasemaje kuhusu hilo? biblia inasema hivio tueleze huyo mungu wako wa chooni anasemaje kuhusu hilo?
Biblia haijanipa hayo masharti ya kipumbavu ya kumtenga mtoto wa damu yangu asiye na hatia.

Biblia inaniambia niende nikazae niijaze dunia, na pia inanifundisha nisizini na endapo nikizini inaniambia niombe toba na Mungu atanisamehe na kunifutia kosa langu....na mwisho kabisa Biblia inanifundisha mimi mzazi kwenye kulea NISIWACHOKOZE watoto wangu... Hapo Biblia imemaliza.

Bible haituagizi kuwatenga watoto wetu tuliozaa nje kama hicho kitabu chenu cha karne ya 6 kinavyowafundisha nyie.
 
Yes, juzi tuli mchomea mbuzi akapewa jina na ukoo wa baba Ake kwani SIdamu yako apewe la nani eti wewe mtu
 
Linapokuja suala la kutumia utashi binafsi hawa jamaa waislam na wakristo hawa jamaa ni wapuuzi
 
Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.

Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye kisheria anatambulika kama mtoto wa mama aliye mzaa Tu.

Ingawa kikawaida atafahamika kama mtoto wa Baba Fulani lkn kidini huyo Baba hatambuliki na hivyo kuna haki Fulani ambazo Baba hawezi kumfanyia mtoto wake.

Moja wapo ni huyo mtoto hafai kuitwa Jina la ubini WA Baba yake,Hilo Jambo ni haramu Sana na Mungu ameshalikemea tayari, ingawa Kwa bahati mbaya Sana Kwa kutojua wengi wamewapa majina ya ubini wao hao watoto wa nje ya ndoa.

Na lingine ni kumuozesha kwenye ndoa, Baba Hana haki ya kumuozesha binti yake WA nje ya ndoa Kwa mumewe kwani ndoa hiyo ni batili na haifai kabisa.

Lingine huyo mtoto hawezi kumrithi Baba yake kwasababu kisheria huyo mtoto sio WA huyo Baba,Bali Baba anaweza kumpa sehemu ya Mali huyo mtoto,lkn mara Tu huyo Baba anapokufa basi huyo mtoto Hana haki ya Kurithi chochote.

Lakini sio vibaya huyo Baba kumhudumia huyo kijana Kwa malezi na mahitaji mbali mbali maadam Tu yeye ndiye sababu ya kuja Hicho kiumbe hapa duniani.

Na mtoto ambaye Hana Baba kisheria anaweza kuitwa Kwa jina la mama yake, Kwa mfano ETUGRUL BEY ASHA au Kwa jina la ubini Kwa upande wa mama yake.

Kubwa ni kutambua uzao mzuri ambao hata kizazi chako kinaweza pata haki stahiki ni kizazi ambacho kinatokana na ndoa takatifu ambayo IPO Kwa mujibu wa Sheria.

Na hata wale ambao wanafunga ndoa za kiserikali basi watambue kidini Hicho kizazi Chao hakitambuliki na Sheria za Dini Kwa maana Baba Hana watoto hapo Ila watoto ni WA mama.

Ni hayo Tu!

Kazakh destroyer
Msonjo
Nurain
adriz
professional Driver
baby zu
Mtoto wangu ni wangu Mbingu na ardhi vipo kabla ya uislamu na ukristo, Africa tuna Mungu na tumekuwa tukisali Mungu tangu enzi, mtoto wangu ni mtoto wangu
 
Muulizeni Nabii Ibrahim kuwa mtoto wakijakazi (ismail)aliitwa ubini wa nani
 
A
Ila Dini sometimes inaleta UPUMBAVU Sana... yaani inakufanya unakuwa mjinga

Yaani mtoto wako mwenyewe,Damu yako, unakataa asichukue jina lako (Kwa kifupi Unamkataa), eti kwa sababu unamuamini Alah... Huu ni Upumbavu wa dini.

Huyu Alah wenu kwenye Hili Alichemka vibaya sana.
Aiseee
 
Mtoto wangu ni wangu Mbingu na ardhi vipo kabla ya uislamu na ukristo, Africa tuna Mungu na tumekuwa tukisali Mungu tangu enzi, mtoto wangu ni mtoto wangu
Kwahiyo wadiz unataka kusema kuna Mungu wa Africa na Ulaya?

Anyways linapokuja swala la Imani ni kubwa Sana na very complicated lakini naheshimu maoni yako brother
 
Back
Top Bottom