Salaam, Shalom!!
Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.
Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?
Jina la Mungu ni nani?
Karibuni
Sasa watumishi wa Mungu wanatukosea kwann wasitupe ilo jinaKwa sisi waislamu Mungu ana majina 100.
Majina yanayojulikana na wengi ni majina 99 hilo moja wanalijua mitumie na wale watu wacha Mungu sana.
Ukilijua hilo jina chochote utakachokiomba ni rahisi kukubaliwa ndani ya muda mfupi sana.
Kweli kabisa,Mungu ni mkuu sana. Wayahud waliogopa hata kumuita jina lake ikabid waseme YHWE kwa kiufupi. so huyu mzee wa siku ni mkuu mno ndio maana alisema Mimi niko ambae niko. Sisi tumebaki kutaja sifa zake tu. Yehova yire nk nk. Ila alisema yeye ni Mungu wa Ibrahim wa Yakob na wa Isaac hilo ndio jina lake milele.
Watupe Jina Hilo Moja linalozama Majina hayo mengine 99!!Sasa watumishi wa Mungu wanatukosea kwann wasitupe ilo jina
Yahwe...Hilo pia limefichwa, ni nusu au sehemu tu ya Jina lake.
Kwer kabisa maana hayo majina yote inamaana hayana maana isipokua ilo moja watupe tufurai matunda ya MunguWatupe Jina Hilo Moja linalozama Majina hayo mengine 99!!
Kwa faida ya wengi, yataje hayo 99 yanayojulikana.Kwa sisi waislamu Mungu ana majina 100.
Majina yanayojulikana na wengi ni majina 99 hilo moja wanalijua mitumie na wale watu wacha Mungu sana.
Ukilijua hilo jina chochote utakachokiomba ni rahisi kukubaliwa ndani ya muda mfupi sana.
Hii mada nilishamalizaga naye kipindi kabla haijahamishwa kwenye Dini aliposema Yesu ni Mungu na Ndo yahwe mwenyewe
Ukiwa msafi na mcha Mungu sana utalijua .Sasa watumishi wa Mungu wanatukosea kwann wasitupe ilo jina
Unahisi Mimi sio msafi wa roho chief duh!Ukiwa msafi na mcha Mungu sana utalijua .
Mkuu hao ni uliowataja ni "miungu"Mungu wapo wengi so lazima ujue kutofautisha maana kuna mizimu ni Mungu na wanaabudiwa, kuna majini ni Mungu,kuna vitu ni Mungu, kuna watu ni Mungu.
Hivi haya pia ni majina ya Mungu?Majina yote mazuri ni yake
Yawhe
Jehova Jire
Jehova Rafa
Jehova Nisi
..........
........
Jina la Mungu baba ni lipi?Mungu wapo wengi so lazima ujue kutofautisha maana kuna mizimu ni Mungu na wanaabudiwa, kuna majini ni Mungu,kuna vitu ni Mungu, kuna watu ni Mungu.
Hata Moyo wa mwanzo aliyepewa kusimamia uumbaji (mwanzo 1:1) ni Mungu na aligawanyika katika nafsi za Miungu tisa mitakatifu ikiwemo
1.Mwenyezi
2.Yehova
3.Mungu wa majeshi
4.Mungu wa daudi
5.Mungu wa danieli
6.Mola
7.Aliyetuma wote
8.Mungu wa roho za manabii
9.Mungu wa eliya
Lakini kutokana na uumbaji kutekwa nyara na ufunuo,nyoka na vita (ufunuo 12:1-9) Muumba aliyekuwepo kabla ya chochote (warumi 11:36) alisema katika
1korintho 15:24-28
24 Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu.
25Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake wote chini ya miguu yake.
26 Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti.
27 Kwa kuwa, Alivitiisha vitu vyote chini ya miguu yake. Lakini atakaposema, Vyote vimetiishwa, ni dhahiri ya kuwa yeye aliyemtiishia vitu vyote hayumo.
28 Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana (Yesu) mwenyewe naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Mungu awe yote katika wote.
Mwisho ni mjumuiko wa waliotumwa wote ukijumlisha na huyo Moyo wa mwanzo (mwanzo 1:1)ambao ndio walikuwa na Mwanzo na Mwisho (Mungu wa majira saba)
Ila Muumba ni mmoja jina ni Mungu Baba na ndiye CHANZO HALISI (warumi 11:36, kolosai 1:17) hana mwanzo wala mwisho.
Ndiye anayesema katika
zekari 14:9
Naye Bwana atakuwa Mfalme juu ya nchi yote; siku hiyo Bwana atakuwa mmoja, na jina lake moja.
So Muumba ni mmoja na jina ni moja, hayo mengine ni nafsi za waliotumwa japo wengi wamefundishwa ndo huyohuyo na mifumo ya mapokeo.
Hapo unataka majina ya KIYAHUDIKwa Ukristo.
Mungu ni cheo cha juu anatambulika kama Jehovah.
Yesu ni nguvu kuu ya utendaji iliyo ndani ya Mungu.
Thus huwezi kemea pepo kwa jina la Mungu bali Yesu.
Shetani anaogopa jina la Yesu na sio Jehovah.
Litaje Jina la Mungu.Hapo unataka majina ya KIYAHUDI
wewe huna kabila? Huna asili.
Mungu aliumba Kila kabila na lugha yake na majina yake ili wanapomuomba watumie hiyo lugha aliyowapa. Waafrika walivyovyo maandazi wakaona fasheni ni kuiga lugha za Kiarabu, kiyahudi na kizungu pamoja na majina Yao ndio maana tunakosa baraka maana Mungu hatusikii tunapopmba. Yeye amekupa lugha majina ya kwako lakini unatumia lugha na majina ya Kiarabu, kiyahudi na kizungu
Jina la Mungu baba ni lipi?
Litaje[emoji120]
🤣🤣Kwamba ulimaliza😀