Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
SafiKweny old testament amejitambulisha kama "Niko ambaye niko", lakini watu walimwita "YHWH/YAHWEH" au "YEHOVAH".......kweny agano jipya akafanyika mwili na akatambulika kama "Yehshua" au "Yesu".
Mm hayo ndo majina ninayojua, kama ana jina lingine ambalo ni muhimu sana ambalo angetaka tulijue bac angetuambia, na kama hajatuambia bac mm naridhika kumtambua kama "Niko ambaye niko"
The problem isMungu Hana nafsi3,halafu mkuu roho takatifu sio mtu ni nguvu za Mungu za utendaji. Kuhusu lugha labda hujanielewa,nnachomaanisha hata hiyo version ulosema niisome ni sawa tu na kiswahili sijamaanisha siwezi kutumia kingreza,nchomaanisha zote zinetafsiriwa kutoka katika lugha za awali ambazo ni kiarimu,kiebrania na kigiriki
Ok,Kweny old testament amejitambulisha kama "Niko ambaye niko", lakini watu walimwita "YHWH/YAHWEH" au "YEHOVAH".......kweny agano jipya akafanyika mwili na akatambulika kama "Yehshua" au "Yesu".
Mm hayo ndo majina ninayojua, kama ana jina lingine ambalo ni muhimu sana ambalo angetaka tulijue bac angetuambia, na kama hajatuambia bac mm naridhika kumtambua kama "Niko ambaye niko"
Ubarikiwe.Jina la Mungu ni Yesu. Ndo maana imeandikwa amepewa jina bora kupita la kwao. Na kwa jina hilo kila goti litapigwa, iwe mbinguni, duniani au chini ya ardhi. Ni jina linalotetemesha ulimwengu zote. Ni ufunguo wa kila kitu. Linafunguo malango yote.
Hakuna jina zaidi ya hayo habari za kufichwa jina umesema wewe sijawahi kuskia hiyo habariNataka Jina Moja baada ya Yale 99, yaani Jina la 100 ambalo umesema mmefichwa msilijue😀😀
Huyo anatumia biblia inaitwa TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA ya mashahidi wa jehova. Lazima mtofautiane matamshi.Mungu anaitwa "Yesu Kristo "
Nishajibu huko juu, check post usime!
Inawezekana tunamaanisha kitu kimoja ila lugha tu na namna ya iwasilishaji!
Nilisema TU ye sio hizo nguvu ila ni chombo kilichobeba hizo nguvu! Labda niweke hivi Kwa lugha rahisi....
Hiyo ni namna alivyojifunua kwa watu. Jina lake anaitwa Yesu. Ndo maana alilimpa mwanae pekee. Ndilo jina linalofungua malango yote. Kwenye ulimwengu huu na ule ujao.Ndo nakwambia,
Kuprove Jina YEHOVA, kemea Pepo Kwa Jina la YEHOVA Kisha uje kuleta majibu hapa.
YEHOVA ni sawa na kusema MWENYEZI MUNGU. Bado hujalitaja Jina lake.
Kama wewe ni mkristo na bado huelewa uungu wa yesu kristo, bac nakusihi soma maandiko vizur, yesu ni mungu kamili, aliyeumba huu ulimwengu, aliwaongoza wana wa Israel jangwani, aliyempa musa amri kumi, aliyewatokea meshach, shadrach and abdnego kama mtu wa nne, alivokuwa duniani alikuwa 100% mungu na alikuwa 100% binadamu, wakristo kushindwa kuutambua uungu wa yesu ni moja kati ya mafanikio makubwa sana ya lucifer, tuwe makini.Yesu sio Mungu,kwanza Mungu Hana mwanzo ila Yesu aliumbwa na ana mwanzo,pia Yesu alikufa lakini Mungu hajawai kufa,Yohana17:3"Uzima wa milele ndio huu,wakujue wewe,Mungu wa pekee wa kweli,na yule uliyemtuma Yesu Kristo" hili fungu pekee tu linakuonyesha Yesu alitumwa na Mungu kwahiyo hao ni watu wawili tofauti.
Unatoka nje ya mada.Unaongea kama vile ni lazima kila mwanadamu kumwamini Yesu.
Sio wakristo wote wana mtazamo sawa kuhusu Yesu, na kujua nani yuko sahihi sio kazi yako, ni ya yule alieagiza kuabudiwa.
It seems kuna majibu unataka, ambayo tayari unayo kichwani mwako.
Je kuna sehemu katika Biblia yako umepewa AMRI ya kumwamini Yesu? Au umepewa tu mwongizo kuwa ukimwamini utapata jambo flani?
Ubarikiwe.Hiyo ni namna alivyojifunua kwa watu. Jina lake anaitwa Yesu. Ndo maana alilimpa mwanae pekee. Ndilo jina linalofungua malango yote. Kwenye ulimwengu huu na ule ujao.
With confidence, Jina hilo litakuwa ni "Yesu"Ok,
Kwa hiyo, Jina la Mungu Moja,
Kati ya YEHOVA na YESU, tupe Jina Moja.
Mada inasema Jina Moja la Mungu lenye mamlaka ya juu zaidi kuliko zote Mbinguni na duniani liwwezalo kuokoa hata sasa.
Litaje🙏
Tangu kuanza thread, mmoja tu ndo amejibu na kulitaja Jina Moja direct, wengine wanapiga chenga.
Nilihisi tu ni mashahidi wa YehovaHuyo anatumia biblia inaitwa TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA ya mashahidi wa jehova. Lazima mtofautiane matamshi.
Mfano
Wewe unasema Roho Mtakatifu lakini Yeye anasema Roho takatifu.
Roho mtakatifu ni tofauti Roho takatifu.
Hapo utapoteza Muda ni mashahidi wa Yehova,SI unajua wanachofundishwa!Kama wewe ni mkristo na bado huelewa uungu wa yesu kristo, bac nakusihi soma maandiko vizur, yesu ni mungu kamili, aliyeumba huu ulimwengu, aliwaongoza wana wa Israel jangwani, aliyempa musa amri kumi, aliyewatokea meshach, shadrach and abdnego kama mtu wa nne, alivokuwa duniani alikuwa 100% mungu na alikuwa 100% binadamu, wakristo kushindwa kuutambua uungu wa yesu ni moja kati ya mafanikio makubwa sana ya lucifer, tuwe makini.
OMNIPOTENTSalaam, Shalom!!
Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.
Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?
Jina la Mungu ni nani?
Karibuni 🙏
Umesema Mungu ana Majina 100,Hakuna jina zaidi ya hayo habari za kufichwa jina umesema wewe sijawahi kuskia hiyo habari
Mada inataka kulijua Jina personal la Mungu.OMNIPOTENT
OMNIPRESENT
OMNISCIENT.
Hayo ndo majina ya Mungu, unayaweza kuyaita kwa lugha yeyote ile ili mradi ya bebe hizo sifa tatu.
Kumbe ni mashahidi wa yehova!Hapo utapoteza Muda ni mashahidi wa Yehova,SI unajua wanachofundishwa!