Je, Mungu kaumba baadhi ya wanadamu kwa upendeleo wa akili na maarifa?

[quote uid=205254 name="Pierreeppah" post=25719152]Turudi nyuma wenzetu hata kabla ya Yesu hajazaliwa walishakuwa na shule na vyuo. Miaka 2000+ baadae ndo wakaja kutuzindua kwakututawala kwanza na kuweka shule chache. Waafrika tumeweza kusoma na kuandika hata miaka mia haijapita bado, tumeanza kujiongoza hata miaka mia haijapita, hata sera, sheria na mfumo unaotumiwa kuongoza bado ni wa wakoloni wetu, na ni bado sana kujilinganisha na wazungu wametuacha mbali sana kwa maelfu ya miaka. Viongozi wetu bado hawajui kabisa namna ya kuongoza wamejikita zaidi ktk kutawala kwa mabavu maanake wamekopi sera ya utawala wa mkoloni bado. Leo ukimwuliza rais wako kwanini hatuendelei? Atakujibu hajui kwanini.[/QUOTE]
HAPA NAONA BORA TUKACHUNGUZE HISTORIA KABLA YA GERMAN EAST AFRICA, YAANI KABLA YA "TANGA-NYIKA" ILIYO UNDWA NA MJERUMANI.
TANGA = BAHARI .. SAIL
NYIKA = MBUGA .. WILDERNESS

TULIKUA NA WATU WENYE ELIMU ZA HALI YA JUU.
WATU WENYE UJASIRI WAKUMONDOA MJERUMANI VITA VYA MAJI MAJI..
KABLA YA HAPO TULIKUA AKINA NANI SISI?!?! [emoji362] [emoji353] HISTORY WHERE FROM TO DATE. TUTAPATA MAJIBU YA KWANINI TUMEBAKI KUZUBAA

Duuuh.....kwa hyo kumbe sisi tumelala ila akili kama za wao tunazo.....yaan ujue mm nikuangalia bidhaa za hapa nchini 95% zinatoka nje,kuanzia kiatu,suruali,SAA,boksa,kofia,tishet,Chen vyote mbele ...HV hii inamaanisha bila hawa weupe kufanya yao cc tutatembea uchi???

LAKINI, HISTORY ITATUPELEKA MBALI. TUNATAKA KWELI KUJUA WAMEENDA WAPI WALIOKUA WATAALAM WETU WA KABLA YA MJERUMANI?!?
SOMETIMES THE TRUTH IS ...
THE TRUTH IS NEVER A LIE.

We na kusoma kote lkn kichwani kwako hakuna kila kitu
Je unajua jamii za watu weusi na aztecs ziliokua zimestaarabika kabla ya ujio wa wazungu na wazungu wamefundishwa ustaarabu na weusi
Wazungu wameua na kuharibu mifumo na elimu zetu ambazo zilikua bora kuliko unayoipata
Je unajua hata elimu ya madawa unsyoisomea ndo chanzo kikubwa cha vifo na uharibifu wa kinga ya mwili kuliko dawa zetu za asili
Wazungu wametu beain wash mpaka huu mfumo wa maendeleo unaouona saivi tunaona unafaa wametuteka kisaikolojia

Stay woke brother think again unachokisifia kina kufaa kweli

Hii ni pointless mkuu magonjwa haya tengenezwi maabara mkuu achana na movie za Hollywood
Brother unajua biotechnology mkuu
Plus conspiracy

Then dig deep utakutana organisation kama CDC na Itneligent agencies in likage to economic and power

Hatuwezi tukawa na akili sawa.
matabaka na madaraja yapo kila mahali.
Yote hayo ya hapa hapa duniani.
Kwa mungu haangalii mwenye akili nyingi.Bali
MWENYE MATENDO MEMA.

Sio kweli mtoa uzi inabidi uzame zaidi na utagundua zaidi kwa mfano
1. Miji ya Mali, Gao, Cairo na Timbuktu ilikuwa mpaka na Universities zao
2.Kulikuwa na wagunduzi kama Abu Hazen, Algebra ambao gunduzi zao kwa kiasi kikubwa zimefanikisha gunduzi kubwa za sasa Ulaya
3. Kulikuwa na Viongozi na wafanyabiashara mahiri kuliko hata hawa wa dunia ya sasa ambao tunahisi tumeendelea zaidi
Kwa mfano mtu kama Sundiata Keita mpaka leo hii chukua top 100 billionaires kusanya mali zao hawamfikii Keita
4.Wizi, uporaji na ukoloni
Kikubwa tulichoibiwa ni KUJIAMINI hiki kitu kimetugharimu sana na kitaendelea kutugharimu
Hebu jiulize miaka 50 ya kujitawala bado tunahitaji kiingereza kuwa lugha. Ya kufundishia mashuleni ?
Hivi bado tunahitaji taratibu zetu za kimahakama ziendeshwe kwa kiingereza ?
Hivi kama umesoma historia kuanzi darasa la 4 hadi form 6 wapi umesikia mwalimu wa history ametoa changamoto kama hii aliyoileta mtoa made
Hivi wachumi/ watawala wetu wameandika/ wamejifunza nini toka kwa mtu kama Gaddafi, Lumumba au hata Karume ?

Wakatabahu

Na hii education system haikuwa kwa ajili ya kutukomboa sisi bali kuwasaidia wao katika shughuli zao za kikoloni, That is why mtu unasoma lakini huna uwezo wa kutumia elimu yako kugundua chochote au kujiajiri ni shida hata kama mtaji upo mara nyingi watu hawawekezi katika fani zao. Muhitimu wa IT akiwa na mtaji atafungua bar na Daktari atalima.

Tulitakiwa tufumue huu mfumo na tuunde mfumo wa elimu ulio-base katika practicals, angalia mtu anahitimu IT lakini hana ujuzi wa maana ukilinganisha na mtu aliyejifunza mtaani au kapata cheti kutoka vyuo vidogo vya certificate ambako kila kitu kafanya practically na kaimudu vizuri computer na utengenezaji wake ukilinganisha na huyo wa bachelor.

Kikubwa ni mfumo wa elimu ubadilike kutoka nadhalia kwenda kwenye vitendo na uendane na hali halisi za nchi, sio unasoma mambo meeengiii mengine yamepitwa na wakati we unasoma hayo hayo.

Sometimes buwa naconclude kwa kusema labda cc tulichelewa kuumbwa au kuwepo dunian....HV kpnd ugunduz unafanyika ulaya cc huku tulikuwa tunafanya nn
Tena muda sana wamegundua vitu, walikuja africa kutafuta raw materials after industrialization, yaan kipindi wanakuja huku kututawala kwao kulijaa maviwamda na raw materials zilikuwa chache hivyo kuja kwetu kutafuta.

Ukiangalia hapo utaona wao walishaendelea kitechnologia miaka mingi iliyopita na huku kwetu hatukuwa na lolote la maana

Kiakili tupo sawa ila tunatofautiana jinsi ya kuzitumia akili hapo ndio tatizo. Sisi tunawaza sana ngono, sifa, starehe, upuuzi wote sie ndio nyumba yetu, hamna mchawi wala mmbaya katika hili ni sisi wenyewe.

Being colonised also is another milestone of weakness to Africa!

watu watabisha lakini huo ndo ukweli akili ya kila mtu ni tofauti kulingana na race aliyozaliwa.

huku ni kujipa moyo

Being colonised also is another milestone of weakness to Africa!

Being colonised is not a factor for being weak. Kumbuka hata mmarekani alitawaliwa na Mbritish kabla ya kupata uhuru wake 1776. Angalia Marekani alipo sasa! Kamuacha mbritish kwa maendeleo.

Watu wa Asia wanna ubongo mkubwa kuliko watu wa Magharibi na watu wa weusi ni wa mwisho kwa ukubwa wa ubongo. Pamoja na tofauti hii ya ukubwa wa ubongo hakuna uthibitisho kuwa ubongo mkubwa maana yake ni kuwa na akili nyingi. Hata hivyo watu weusi wanafanya vizuri zaidi kwenye michezo kuzidi wa Asia na wamagharibi kwa sababu ya mpangilio wa mifupa. Ndomaana mweusi anawekeza kidogo kwenye michezo lakini anatoa ushindani mkubwa kwa weupe wenye bajeti kubwa.

[emoji122] [emoji122] [emoji122] Hilo jibu toshaa weng awajui historia ya Mtu mweus ndo maan

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…