Je, Mungu kaumba baadhi ya wanadamu kwa upendeleo wa akili na maarifa?

Tukiacha roho mbaya,ubaguzi wa wenyewe kwa wenyewe na pia kwa wageni, kukubali kukosolewa na kujifunza,kuacha kujiona niwabora kuliko wengine, kutumia wingi wetu wa makabila na lugha zetu kama utambulisho na si ubora,kuacha kulalamika kila wakati, kujituma na kujiamini hivyo vita tuondoa hapa tulipo.
 
Ubinfsi na choyo ndio uliotufikisha hapa mfano wewe ukitoka hapa nyumbani kwenda taifa lingine la afrika uthaminiwi
 
Baadhi ya matatizo dunia hii kama vita na magonjwa yame na yana na yataendelea kusababishwa na hawa unaofikiria kama sio wao dunia ingekuwaje.
Mfano wanaweza kumtengeneza bacteri na kisha kumtafutia dawa baada ya hapo akaamua kuwaambukiza binadamu bacteria hao na kusha akazalisha dawa kwa wingi na kufanya biashara kubwa kabisa.
Mzungu huyo huyo anaweza kutengeneza bunduki kasha akatafuta watu wanaoongozwa na kuamua kwa jazba, akawagonganisha vichwa kisha akafanya biashara ya silaha kwa pande zote mbili. Vipi kama wasingekuwepo wagunduzi hao bunduki na bacteria wangeishi maisha gani?
Kuna jamii za kiafrika na baadhi ya mataifa mfano India kuna watu huishi porini tu na mjini hawapajui, sio hospitali wala shule, hawajui nguo wala chochote cha kitechnolojia lakini wanazaliana na kukua kuzeeka na kufa kwa kutegemea vyakula na dawa za porini, hawa wanasaidikaje na dawa, MRI au CT SCAN unazoziona ndio mwokozi wa maisha yako?
 
Waafrika tuna akili nyingi kuliko hata wazungu.. Tatizo lipo katika matumizi ya maarifa yetu. Tunatumia 2/10 ya akili ambayo tunayo katika mambo yetu yote. Wazungu wanatumia 7/10 ya akili yao na ni katika jambo moja tu litakalo mletea manufaa.. Hapo ndo penye utofauti mkubwa hatujitumi hatuwazi hatutaki kujua na kujifunza na tunajifanya kila kitu tunakijua.
 
[emoji101] [emoji101] [emoji106]
 
Mungu hajaumba kitu.Binadamu ndo kaumba mungu
 
Hapahapa bongo tumepata rais bomba ila wenzake wanamchafuwa kila kukicha hii ni laana
 
Sasa n kwann cc tunashindwa hata kukopi?? Miaka 57 ya Uhuru now??
Tatzo liko wapi??
Ubongo mdogo au tumerelax sana
Mkuu usiumize kichwa, ukwel ni kuwa mtu mweusi yeye anawaza KULA, KUSEX na STAREHE za KIJINGA basi. Hata ww hapo jiangalie vzur utaona mda mwing unautumia kuwaza utakula nn na utampata dem sangap.. Tunapoteza mda mwmg kweny mambo yasiyo ya msing (vchwa vyetu havifikiri vyema)
hata umkute mwafika mweny pesa nyng bado utamwona hzo pesa hazijamsaidia kujing'amua ktk umaskin. Bado atakuwa anatumia hela kwenye starehe za kjnga mfano kutafuta mademu wakali au kununua magar makali na kwenda viwanja vikali kwa kutafuta sifa tu.
Badala atumie hizo hela kuwekeza ktk mambo muhmu ya uvumbuz na technolojia, yeye anawaza madudu tu
 
KAMA SISI WAAFRIKA TUNA AKILI NYNGI MBONA HATUKWENDA ULAYA KUWATAWALA WAZUNGU?

HAYA TUSEME WAZEE WETU WALITELEZA, JE KIZAZ CHA BAADA YA UHURU KIMECHUKUA HATUA GAN ZENYE TIJA ILI KUJTEGEMEA NA HATA KUITAWALA DUNIA.? HAPO UTASEMA WAZUNGU WANATUVURUGA, KWANIN TUSIENDE KUWAVURUGA SISI?

UKWELI NI WAZ KUWA WAZUNGU WANA UPEO MKUBWA KULIKO SISI
o
 
Na wapo waliotengeneza bunduki wakafungwa badala ya kuendelezwa . Sheria za kikoloni zilizokuwa zinatukwamisha zinakumbatia.
 
Huwa najiuliza kuwa hata wengine nao huwaza kama hivyo kuhusu wazungu kwamba wamepewa akili tofauti nao wao au ni watu tofauti na wao? mfano wachina,wahindi,wajapan na hata waarabu.
Je nao huwafikiria hivyo wazungu au ni sie tu waafrika?
 
Sasa hapo ndipo nasema bhc cc akili zety n ndogo sana maana kama tungekuwa na akili vzur tusingekubali kuharibiwa mambo yetu mazur na kukubali yaliyo mabaya so it seems wazungu walituzid maarifa
 
Brother unajua biotechnology mkuu
Plus conspiracy


Then dig deep utakutana organisation kama CDC na Itneligent agencies in likage to economic and power
Sio yote ndg ...yapo ambayo yametengenezwa sikatai ila n machache
 
Hatuwezi tukawa na akili sawa.
matabaka na madaraja yapo kila mahali.
Yote hayo ya hapa hapa duniani.
Kwa mungu haangalii mwenye akili nyingi.Bali
MWENYE MATENDO MEMA.
We umekosha.....n kweli kwa Mungu tuko sawa ila hoja ilkuwa kwann wengne wako juu sana kulko cc
 
Duuuh....kaz IPO kweli ....mambo yameharibika muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…