Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Unasema uko bize na imani yako wala hauhangaiki na sie, hapo hapo unasema unafanya uinjilishaji.

Umejisoma kweli?

Toka huko kuzimu wewe mfuasi wa kadinali. Achana na masuala ya ushirikina wa Ukatoliki. Soma Biblia ili ukweli ukuweke huru.

Hakuna Mkristu wa kweli ambaye atakuacheni gizani mwangamie. Tutakufuateni kila siku hadi injili ya kweli ipenye kwenye mioyo iliyojaa makufuru ya kipagani.

Mafarisayo walijiona wako kwenye imani na dini sahihi, lakini Yesu akasema wamo gizani.

Ukatoliki ni kama kipofu anayemwongoza kipofu mwenzie, mwisho wote wawili watatumbukia shimoni.
 
POPE NI MUNGU TOKA LINI JOMBI...WE WA FASI YA WAPI?
 
Walokole na wasabato mmeacha kuhubiri injili mnafanya kazi ya kuupinga ukatoliki.
Nyie Malaya,wezi,wafiraji na waabudu binadamu wenzenu kina Mwamposa na Hellen White mnajiona wasafi sana,nyie ni takataka mbele ya kanisa katoliki
Kanisa katoliki lipo,lilikuwepo na litakuwepo milele,mpaka Yesu atakaporudi
Vikanisa vyenu vitaendelea kuzaliwa na kufa kwa sababu vinatoa majibu ya muda mfupi kwa wafuasi wake wapumbavu,kanisa katoliki linatoa majibu ya kudumu kwa maisha ya binadamu.
Endeleeni kuabudu sanamu zetu hizo (kina Mwamposa,Geodarvie na Hellen white) TUACHENI WAKATOLIKI TUABUDU SANAMU ZETU,Nyingi siyo Mungu hamuwezi kutuhukumu.
 
Unasali wapi mkuu.
Mna Dali kwenye miradi ya watu mnaiita kanisa.
Pumbavu
 
Asili ya Ukatoki ni upinga Kristo
Mpinga kristo ndiyo aliyekuletea dini huku ushenzini,ndiyo aliyeitunza Biblia na kuipanga hivyo unavyotumia,ndiyo Alikufanya unasali jumapili,ndiyo aliyekufundisha utatu mtakatifu,ndiye aliyeifafanua Biblia kwa Lugha yako.
Unatumia sana za mpinga kristo.Wewe ni mfuasi wa mpinga kristo,hivyo wewe ni mpinga kristo.
 
Mungu hajawahi kuwa na kanisa Katoliki? Yupo na kanisa gani?
 
Kwe
Kweli Mia kwa Mia na wakatoliki hatujui maandiko yaani biblia.Watakuja kukupinga wafia dini.
 
Wewe siyo mkatoliki,ni mpuuzi usije jua chochote kuhusu ukatoliki,aliyekuambia kanisani ni sehemu ya vurugu ni nani mpaka useme Katoliki kumepoa,aliyekuambia kila mtu anaweza kutoa mapepo ni nani? Alyekuambia Wakatoliki wanakatazwa kusoma Biblia ni nani?
Unaropoka kutafuta umaarufu kwa kutumia ukatoliki.
 
Mungu hajawahi kuwa na kanisa Katoliki? Yupo na kanisa gani?
Katoliki sio kanisa
Ni dhehebu
Lipo radhi liache biblia ila lishike kanuni walizojiwekea ambazo hazipo kwenye biblia na nyingi zinapingana na biblia wanayodai kuiamini.
Na kama ulikuwa hujui adui kubwa wa hili picha la yesu kupingwa makanisani ni roman na binti zake.
 
Kanisa katoliki tangu zamani ilikuwa biblia anasoma padri tuu ikapelekea Martin Luther kuwapinga na kuitafsiri biblia watu waijue
Wajue kuwa wanapigwa
Na mpaka sasa wananeno lakuhubiri mwaka mzima limeandikwa kwenye kitabu unatakiwa ufate kitabu
Sasa ww nenda kinyume nacho uone
 
Watu gani wanajua maandiko? Kufua maandiko ni nini? Kipimo gani kinaonesha huyu anajua maandiko na huyu hajui?
Kipimo ni kutokufata vyote vinavyopungana na neno
Mfano ibada za sanamu
Ndoa za jinsia moja
Mabatizo
Upadri
Padri kuwa mpatanishi kati ya mungu na binadamu, na wakati pazia lilipasua kupinga ili alipokufa bwana yesu
Kanisa kujihusisha sana na mamb ya dunia kuliko ya mungu.
Minada na biashara makanisani,
Litulgia
Namambo mengi mnoooo menginee
Biblia inasema wakat wa mwisho yesu amefukuzwa makanisani anagongwa mlango wa kanisa, atakaesikia sio amfungulie ila atoke amfuate nje.

Ss nyinyi mpo radhi kutetea kanuni zenu za imani kuliko biblia mnayo Dai kuiamini
 
Ukienda kinyume nacho unafanywa nini?
Unaweza weka ushahidi kuwa Martin Luther alitafsiri Biblia?
Usipojibu haya maswali kwa I sahihi wewe ni mpumbavu usiyefaa kusikilizwa.
 
Ungeanza kushangaa pale wanapoabudu sanamu.
 
Ukienda kinyume nacho unafanywa nini?
Unaweza weka ushahidi kuwa Martin Luther alitafsiri Biblia?
Usipojibu haya maswali kwa I sahihi wewe ni mpumbavu usiyefaa kusikilizwa.
Kama hujui kuwa mtu wakwanza kuitafsiri biblia kutoka kirumi kwenda lugha nyingine(kijeruman) alikuwa ni luther
Aliposhtakiwa na kutaka kuuwawa akakimbilia kwa mfalme wa kwao ujerumani.
Akamuelezea mfalme akamtafsiria biblia
Akamuonyesha kuwa hoja zake 95 zilikuwa sahihi kulingana na maandiko.
Ndipo aliponusurika kuuwawa
Nisikurahisishie nenda katafute historia padri hatakuambia ayo.
Ww kaa kwenye bench usubiri kipabde cha mkate mwembamba unachoambiwa ni mwil wa kristo.

Wafia imani wote waliuwawa na kanisa gani? katoliki

Wakatubu wakawaita majina yao majina ya makanisa mpaka leo.
 
Ukienda kinyume nacho unafanywa nini?
Unaweza weka ushahidi kuwa Martin Luther alitafsiri Biblia?
Usipojibu haya maswali kwa I sahihi wewe ni mpumbavu usiyefaa kusikilizwa.
Oyo Yesu mnaedai kumuamini akija leo
Watu wa kwanza watakao mshtaki na kutaka kumuua ni kanisa katoliki

Biblia inasema yeye ni kahaba na amezaa binti wakufanana nae
Ndomana ata ayo makanisa yaliyojitoa kwa roman yanarudi tena kwa mama yao
Na kama ulkuwa hujui wanamejiandaa kuunda dini moja
Video zipo kibao viongozi wa madhehe mengine wakimbusu papa na mpaka waislam viongozi wao walienda kwenye mkutano huo

Sawasawa kabisa na biblia ilivyosema itakuwa
Na huo muunganiko wa ayo makanisa na huyo mnyama ndio ile alama ya mnyama ambayo ipo kwenye kofia ya papa hesab za kibinadam 666.
Sikuizi hawaivai baada yakuona aibu.

Utabisha kwa sababu padri wako hajakuambia ayoo. Ila jua wanajua ukwel na hawatakuambia
 
Ukienda kinyume nacho unafanywa nini?
Unaweza weka ushahidi kuwa Martin Luther alitafsiri Biblia?
Usipojibu haya maswali kwa I sahihi wewe ni mpumbavu usiyefaa kusikilizwa.
Haya yameandikiwa makanisa ya wakati wa mwisho kabisa kwenye biblia

Ufunuo wa Yohana 3:15-20
[15]Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto.

[16]Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.

[17]Kwa kuwa wasema, Mimi ni tajiri, nimejitajirisha, wala sina haja ya kitu; nawe hujui ya kuwa wewe u mnyonge, na mwenye mashaka, na maskini, na kipofu, na uchi.

[18]Nakupa shauri, ununue kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto, upate kuwa tajiri, na mavazi meupe upate kuvaa, aibu ya uchi wako isionekane, na dawa ya macho ya kujipaka macho yako, upate kuona.

[19]Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.

[20]Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.
 
1. Nani anaabudu sanamu? Kuabudu manaake nini?
2.Ni lini kanisa Katoliki limeruhusu ndoa za jinsia moja
3.ubatizo manaake nini na lengo lake nini?
Yesu aliwaagiza wafuasi wake hivi: “Mkafanye wanafunzi . . . . mkiwabatiza katika jina la Baba na la Mwana na la roho takatifu, na kuwafundisha kushika mambo yote niliyowaamuru.” (Mathayo 28;19-20)
Kwanini mna lazima ha ubatizo uwe wa kuzamishana,ni wapi Yesu alisema ili mtu anayo we ni lazima azame majini?
4. Biblia inasemaje kuhusu padri kuwa mpatanishi wa Mungu na mwanadamu?
Mathayo 16;19
NAMI NITAKUPA WEWE FUNGUO ZA UFALME WA MBINGUNI; NA LOLOTE UTAKALOLIFUNGA DUNIANI, LITAKUWA LIMEFUNGWA MBINGUNI, NA LOLOTE UTAKALOLIFUNGUA DUNIANI, LITAKUWA LIMEFUNGULIWA MBINGUNI.”
Kosa letu ni nini hapo?
5. Mnada kanisani manaake nini na huo mnada huwa unahusu nini?
6 Litrujia manaake nini na kazi yake ni nini?
7. Kanuni ya imani ina shida gani?
Kanuni ya imani inasema Hivi.
Nasadiki kwa Mungu mmoja (wewe husadiki)
Baba mwenyezi ( unakubali kuwa Mungu ni baba mwenyezi)
Muumba wa mbingu na nchi/dunia (unabisha)
Na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana (unakubali?)
Na kwa Yesu kristo bwana wetu (unapinga)
Ngoja niishie hapa,niambie kanuni ya imani ina shida gani?
Huujui ukatoliki,umekaririshwa na wachungaji wako namna ya kuutukana ukatoliki.
 
Jibu maswali usijifanye unaijua Biblia sana,ukienda kinyume na hayo unafanywa nini?
Ni lini kanisa lilizuia watu kusoma Biblia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…