Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Catholicism is not Christianity basing on the history of the church.

Huwa nikiisoma historia ya Ukristo na machungu ambayo Jesuits waliwapa wakristo wa kweli, pamoja na nguvu kubwa iliyotumika kuharibu na kupoteza maandiko ya Biblia ya kale badi sichelei kusema Catholic church is a pagaic church not a Christian Church.
 
Ni ukwel mchungu
Yesu alikuwa wakwanza kupinga na kutoka kwenye makanisa yakiyahudi alisema itakuwa hvyo na wakati huu
Ss kama yesu alizaliwa fanya unataka kusema aliasi kanisa na kuwa alikuwa ameanguka sio.

Mungu hajawahi kuweka kibanda
Au akakaasehem moja
Binadam anasahau anapotolewa
Na ndomana ata walutheri waanglikana wasabato wapentekoste na wengine wote waliotoka kwenye uroman wamerudi kulekule kwenye kile walichokipinga.
Na sasa wanaunda muunganowa makanisa yote duniani tena
Romani ikiratibu
Ila sishangaj maana paulo alikuwa mbishi sana mpaka alipokutana na kristo mwenyewe
Labda utabahatika
 
Wakaleta na sikukuu zao za kipagani kwenye ukristo.
Sikukuu ya mungu wao wa kale kabla ya ukristo waliokuwa wakiisherehea mwez wa kumina mbili.

Yesu hakuzaliwa uo mwezi

Wakaleta na miungu yao mitatu ya kipagani kwenye ukristo
Baba mwana na mama

Nimeona ibada wanabusu mifupa ya ma papa wa zamani waliokufa

Yesu alisema je nitakapokuja nitaikuta imani niliyowaachiaa
Alisikitika aliona mbali sana
 
Mungu hajawahi kudeal na kundi kubwa la watu, yeye sikuzote anakuwa nakikundi kidogo pemben kinachomuamini
Atakama ni wa chache
Kipind cha nuhu alikuwa na wanne
Kipind cha ruth sodoma na gomora alikiwa na nane tuu
Kipind cha yesu vile vile
Usizan kanisa lako kusali watu mashuhuri basi mungu atakuwepo umo.
Ama kisa ni watu wengi.
Mara mtume na nabii.

Inabidi umuombe mungu akuonyeshe ukweli.
Usimuwekee mpaka
Mara mbona kanisa letu halisemi hvyo, padri wetu hajawah kutufundisha ayo

Luka 12:32
[32]Msiogope, enyi kundi dogo; kwa kuwa Baba yenu ameona vema kuwapa ule ufalme.

Mithali 14:12
[12]Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu,
Lakini mwisho wake ni njia za mauti.
There is a way which seemeth right unto a man, but the end thereof are the ways of death.

.
 
Io ni kanuni ya imani
Kuna kanuni za imani
Sheria zinazounda kanisa la roman
Umedanganywa kuwa io ndo kanuni ya imani ya kanisa
Zipo Sheria tena ni nyingi sana
Kaxitafute sheria izo
 
Yesu alimuita Maria ewe mwanamke?
Hebu tupe fungu.
Kweli wasabato mnahitaji ubatizo kwa Mara ya pili,nyie ndyo wapinga kristo wa kweli
Mathayo 12:46-48
[46]
Alipokuwa katika kusema na makutano, tazama, mama yake na ndugu zake walikuwa wakisimama nje, wataka kusema naye.

[47]Mtu mmoja akamwambia, Tazama, mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kusema nawe.

[48]Akajibu, akamwambia yule aliyempasha habari, Mama yangu ni nani? Na ndugu zangu ni akina nani?

Zipo sehem tatu
Msalabani pia alimuita ewe mwanamke umumtunze mwanao(yohana)
 
Alafu mimi sio msabato nitake radhi.
Yesu alimuita Maria ewe mwanamke?
Hebu tupe fungu.
Kweli wasabato mnahitaji ubatizo kwa Mara ya pili,nyie ndyo wapinga kristo wa kweli
 
Yohana 19:26
[26]Basi Yesu alipomwona mama yake, na yule mwanafunzi aliyempenda amesimama karibu, alimwambia mama yake, Mama, tazama, mwanao.

When Jesus therefore saw his mother, and the disciple standing by, whom he loved, he saith unto his mother, Woman, behold thy son!

Hakuna sehemu yesu amemuita mariamu mama mbona huelewi.
Apo mlitafsirije ebu nambie
Mliitafsiri mkaweka mama na yeye hakumuita mariamu mama kamweee.

Yohana 19:26
[26]When Jesus therefore saw his mother, and the disciple standing by, whom he loved, he saith unto his mother, Woman, behold thy son!


Unajua kwanini hakumuita mama??
Na je unajua kwanini mariamu ilimbidi akakeshe na kuomba pamoja na mitume kabla hawajapewa roho mtakatifu??
 
Nitake radhi
Wasabato wameshikilia siku ya sabato wasiyoijua
Nakukatazana kula vyakula ambavyo mungu akivitoa viliwe na binadan
Wakamsikiliza na nabii mke
Wakaiacha neema ya kristo na sababu halsi ya yesu kuja na kufa
Wasabato waliikataa neema.
Ao tuwaweke kando na wengineo
 
Kama neno la Mungu halibadiliki unaamini emu nisomee Isaya 65:12 na tafsiri yake na lini iliruhusiwa tena.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Waumini wa Katoliki wao ndio waamke waache kuamini dhehebu, wamuamini Mungu aliye hai...

Waache kufia Dini
Unafahamu historia ya unachokiamini?

Unafahamu Padre ndie alitoa tafsiri ya hiyo bibilia yako unayotumia toka kiebrania,Kiyunani na kigiriki na kufanya kisomeke kilatini na baadae lugha kama english na kiswahili

Unamfahamu Galilei Galileo ?Unajua alihubiri dunia duara wakati maandiko ya kanisa yanasema dunia kama meza

Jifunze historia ya unayoyaamini ,Ukiyajua utakuwa mpagani au utaingia uislam

Na ukiujua uislam utarudi ukrusto

Kuna mambo mengi nyuma ya pazia kwenye imani hizi
 

Kama katoliki sio kanisa la kikristo lipi ni kanisa la kikristo?
 

Wakatoliki wanamhubiri kristo nanyi mnamhubiri kirsto nadhani hili liwe msingi mkuu wa amani na umoja kati yenu.

Wasio mtanagaza na kumuhubiri kristo hao ndio wapinga kristo.
 

Huwa na shangaa sana,
 

Biblia ni kama katiba,katiba ili ikamilike lazima itengenezewe sheria,kanuni na miongozo.

Katiba inataka msali siku fulani,lakini namna ya kusali muda wa kuingia kanisani na kutoka havijaandikwa kwenye biblia ni kanuni na miongozo iliowekwa na wanadamu ili kuikamilisha takwa la ibada.

Ebu tumia akili kama kufuata biblia inavyosema mbona wwnawake zenu wanaingia kanisani hawajafunika nywele mana biblia inataka wafunike wawapo kwenye ibada.
 
Naona ilitengenezwa kwa ajili ya biashara na kuhodhi ardhi kila sehemu duniani kwa mgongo wa Dini
Ukweli unaanza kudhihirika, ila inabidi sasa wajiandikishe kama wafanyabiashara na sio dhehebu ili walipe kodi sawa

Mkuu na wewe najua upo kwenye taasisi fulan ya dini ni vyema nanyi mkahodhi ardhi kwani mmeatazwa au wivu tu.
 

Hata wewe leo ukienda tofauti na imani ya kanisa lako lazima ufukuzwe,utengwe na uitwe msaliti hili ni suala la kawaida kwenye taasisi za kihafidhina,uzuri kanisa liliomba msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…