Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?


Mkuu ni vyema na inapendeza kama dunia tukiwa na dini moja itapendeza sana kuliko huu upuuzi na takataka za dini zinznzoendlea duniani kwa sasa.
 

Umelishwa matango pori sana ndugu hadi huruma. Hiyo vicarius fidei ni uongo na uzushi wa hali ya juu tumia akili,kwa nini U ilazimishwe kuwa V?
 
Asiye na dhambi apinge hayo ya Catholic kwa Nguvu zake zote
 

Najua wewe ni msabato ila tambua adui wa kwanza wa ukristo sio ukatoliki hata kama mafundisho yake hayajategemea biblia 100%, najua hata huko usabatoni mna misingi na kanuni za kanisa ila kuendesha kanisa.

Mpinga kristo ni wale wasio mtambua kristo katika imani zao na wanaosema kristo sio mwana wa Mungu.
 

Kweli imani ni ugonjwa wa akili?kanisa hili lenye wafuasi wengi ulimwenguni na kila siku wanaongezeka leo linaenda kufa[emoji28]. Mkuu umedanganywa sana hata uhalisia huuoni,unapambana na adui bandia adui halisi sio ukatoliki ni wale wanaokataa uungu wa kristo hao ndio adui na wapinga kristo.
 

Mkuu huoni kwamba walifanya jambo jema kutunza na kuweka kumbukumbu,huko usabatoni kumepoa hakuna hata sherehe wala sikukuu,
 
Io ni kanuni ya imani
Kuna kanuni za imani
Sheria zinazounda kanisa la roman
Umedanganywa kuwa io ndo kanuni ya imani ya kanisa
Zipo Sheria tena ni nyingi sana
Kaxitafute sheria izo

Mkuu kumbuka rumi ya ukatoliki ilikua ni dola sasa unasimamishaje dola bila kuwa na sheria na kanuni na miongozo,ambapo kwenye biblia haipo lazima ingetungwa ili kuendana na wakati pia kuilinda dola.

Hata safari ya wana waisrael zilitungwa sheria nyingi sana wengi mnaziita za musa ili kuhakikisha wanastick kwenye plan ya kufika kaanani,kwanini iwe kosa kwa kanisa kufanya hivyo ukizingatia ilikua ni dola chini ya kanisa. ?
 

Kwa hiyo msingi wa imani ya rc siyo biblia pekee. Bali na vyanzo vingine?
Kama ni hivyo waumini wao hususan ni wa bara la Afrika wajiandae na kujipanga.
 
Mkuu na wewe najua upo kwenye taasisi fulan ya dini ni vyema nanyi mkahodhi ardhi kwani mmeatazwa au wivu tu.
Sio wivu mkuu, ila kwenye mabaya sio vibaya kuambiana
Sasa kufunga ndoa kanisani ni jambo la kufurahia kweli
Najua wabongo tabia ya kukwepa ukweli tunayo sana na wengine mpaka kushabikia mabaya wapo wengi na mifano ni kama hii
Kemeeni kwenye mabaya
Mimi sichangii kisa Muislam hapana ila nimeona nichomekee tu
Kuna mifano kama waizi wa mali ya umma utaona comments wengi wakisema hata mimi nisingeziacha
Badala ya kukemea wizi

Kama nimekukwaza niwie radhi mkuu
 

Hakika ni uongo mwingi sana,ndio mana mimi nimeamua nirudi kwenye vilingoe huko makanisani ni sehemu ya kusocialize tu.
 
😂 😂 Wana rap kama nani??
 
Amka ndotoni usije ukajikojolea. Walishasema hivyo miaka 2000 iliyopita tena kanisa lilipigwa vita na kina hitler na badala yake kanisa linazidi kuimarika 😀
 
Ila hizi kauli za huyu papa sa hivi zinaweka kanisa njia panda wewe kama ni kukataa ukata au kama ni kukubali ukubali tatizo hyu kiongozi amekuwa Neutral mno kiasi cha kuwaacha waumini njia panda kuhusu suala la LGBTQ yani inaboa sana hta tu kumwona😏😏
 
Wa Ijumaa na Jumapili wote hawaabudu Mungu bali mungu
 
Nimeona Papa Mtakatifu akiwakubali wanaobadili jinsia.

Imebaki tu kusema Siri za kwenye Bible. Ngoja niishie hapa.
 
Kwanini Yesu aliwafundisha mitume wake sala ya kusalimia ambayo ni BABA YETU au na yeye alitaka wanafunzi wake wakariri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…