Je, Mungu wa walokole hasikii hadi apigiwe makelele Makubwa?

Yaani ukiwa punguani unafanishwa na mtu anayejitia dole kisha ananusa. Hebu angalia kwa tafsiri ya kiingereza hiyo kupayukapayuka alafu urudi utuambie ni na ni anayepayukapayuka Kati ya waislamu, wakatoriki na walokole. Anasema vaini repetation yaani kurudiarudia maneno au kusema maneno yaleyale sasa ni wapi walokole wanarudia rudia maneno katika sala?.

Zaburi 47
1. Enyi watu wote, pigeni makofi,
Mpigieni Mungu kelele kwa Sauti ya shangwe.
2. Kwa kuwa BWANA Aliye juu, mwenye kuogofya,
Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.

Zaburi 150
3. Msifuni kwa mvumo wa baragumu;
Msifuni kwa kinanda na kinubi;
4. Msifuni kwa matari na kucheza;
Msifuni kwa zeze na filimbi;
5. Msifuni kwa matoazi yaliayo;
Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
6. Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA.
Haleluya.

rakatakatarata reketeteteeeeeeeeeeeeeee makoroboiiii makorobo shikoroooooooooo hahahhhhhhhhhhhhhhhhh wale umbwa wamechanganyikiwa sana kam mafisiemu na no reforms no elections, wajinga sana wale ndugu.

Matokeo yake utakuwa na watu wengi wanao reason na kukupa challenge na hata kukutoa Madarakani

Hizi dini za mkoloni no uhayawani mtupu, imagine wengine badala ya kuweka alarm kwenye simu zao wawahi kwenye ibada zao za alfajiri, jamaa mmoja anakamata kipaza na kuanza kuwaita swala hadi anabughudhi usingizi wasio husika na huo wito wa kuwaita swala

Kama dunia ni duara mfano wa tufe,juu zitakuwa ngapi?
Kwa kuwa hakuna uwezekano wa binadamu kutembea kwa kutumia kichwa, mimea kuota kuelekea chini, maji kutiririka kwenda juu na si chini, ndege kupaa kwende juu na sio ardhini nafikiri unaelewa juu iko wapi katika dunia hii ambayo ni duara

Ukishaona unamuomba Mungu (muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote) hicho kitendo chako cha kumuomba tu ni ushahidi kuwa huyo Mungu hayupo.

Kwa sababu, Mungu huyo angekuwapo, kwa sifa zake hizo, angekupatia unachohitaji kabla hujakiomba.

Na kile ambacho si stahiki yako au kitakudhuru, angekunyima hata uwezo wa kukijua na hivyo usingeweza kukiomba.

Hivyo, kumuomba huyu Mungu, ni ushahidi kuwa hayupo. Tunajifariji kumuomba Mungu ambaye hayupo.

Angekuwapo, tusingehitaji kumuomba.

Watu wengi huomba kwa sauti kubwa si kwa sababu Mungu hasikii kimya, bali kwa sababu ya hali ya moyo waliyonayo wakati wa maombi. Katika Biblia tunawaona watu wengi waliomlilia Mungu kwa sauti kubwa wakionyesha shauku, huzuni, au msisitizo wa ndani. Yesu mwenyewe aliomba kwa sauti kubwa na machozi, kama tunavyosoma katika Waebrania 5:7: "Siku zile za mwili wake, alitoa sala na dua kwa kulia kwa nguvu na machozi kwa yeye aliyekuwa na uwezo wa kumwokoa na mauti." Hii inaonyesha kwamba hata Bwana wetu alipaza sauti katika maombi yake.

Mfano mwingine ni nabii Eliya aliyemwomba Mungu hadharani kwa sauti mbele ya watu wote ili ishuke moto kutoka mbinguni (1 Wafalme 18:36-37). Daudi pia alikuwa mtu wa maombi ya sauti kubwa, akisema katika Zaburi 3:4, "Nilimlilia Bwana kwa sauti yangu, naye akaniitikia katika mlima wake mtakatifu." Wakati mwingine, maombi hayo huambatana na kilio, kama ilivyokuwa kwa Hana aliyemwomba Mungu kwa uchungu wa moyo na machozi mengi (1 Samweli 1:10). Pia katika Agano Jipya, kanisa la kwanza liliomba kwa nguvu hadi sehemu walipokuwa wakisali ikatikisika (Matendo 4:31).

Hata wana wa Israeli walipokuwa kwenye shida walimlilia Bwana kwa sauti kubwa (Waamuzi 3:9), wakionyesha jinsi watu walivyomkimbilia Mungu kwa nguvu ya moyo. Kwa hiyo, maombi ya sauti kubwa ni sehemu ya maombi ya Biblia na si kitu cha kushangaza. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa Mungu hasikii kwa ukubwa wa sauti, bali kwa unyenyekevu, imani, na moyo wa kweli wa mtu. Sauti kubwa si tiketi ya kupata jibu, lakini ni njia ya baadhi ya watu kumimina hisia zao mbele za Mungu.

Wenye kuelewa somo lako ni wachache sana. Wamelishwa vumbi la kongo, watakubishia

Zaburi 5:11 Nao wote wanaokukimbilia watafurahi; Watapiga daima kelele za furaha. Kwa kuwa Wewe unawahifadhi, Walipendao jina lako watakufurahia.
Kelele za rohoni au za mwilini? Kama Mungu ni Roho huku mwilini anafuata Nini?

Najibu kutokana na heading, sijasoma content ndani.

Jibu ni NDIO. Sababu wanaomuomba ni wengi bas inabidi upaze sauti ili yako isikike zaidi kuliko za wengine. Ukiomba kipole pole atawasikia wengine zaidi kuliko wewe
Dah

Mungu anaweza kusikia hata kwa kuwaza kimya kimya. Wanacho kifanya hao ndugu ni "chanting". Hii kitu ina nguvu kubwa kiroho kwa anayejua

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…