Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
- Thread starter
-
- #281
Ww mwanume ni provider mwnaamke anatoa kwa hiari yake. Kwasababu kila moja Ana majukumu yake ila mwanamke anaweza kusaidia endapo mwenzake amekwamaKutunza familia ni suala jumuishi, iweje unajiona unawajibika kwingine kote isipokua hapo kwenye hela tu?
Huwezi kuongelea familia kwa ujumla wakati hizo familia zinatofautiana mtazamo na kiuchumi pia.Basi hapa hatuongelei familia moja moja tunaongelea kwa ujumla. Katika hali ya kawaida kabisa kitendo cha kuwa na kipato maana yake unaondoka kwenye kundi la watu tegemezi.
Inauma sana mkuu.Siku unakufa na jamaa anajitokeza kuweka oda msiba ukipita anakuja kuoa😂😂😂
Mie mwenyewe nimetoka familia kama hiyo ya wakulima Baba anafanya majukumu yake na mama yake kama kawaida, hakuna siku baba analalama sijui kitu gani, kama ni bidhaa alienda kuuza siku akirudi Wana Kaa na mkewe huko wanapanga kila kitu wenyewe, na ufugaji ulikuwepo kama kawaida Kijiji huwezi kosa mbuzi kuku wakutosha kabisa.Umezungumza hisia zako sio uhalisia. Nenda kafatilie watangulizi wa ukoo wako waliishije. Tanzania hii zaidi ya 90% walikuwa wakulima na wafugaji na waliishi kwenye hiyo misingi niliyoizungumza.
Kwa sababu nina wivu wa kinyegere.Asiolewe kwa nini ataolewa tu
Sasa wewe inakuumaje wakati ushakufa tayariInauma sana mkuu.
Huo unga ulio tumia kupika ugali na gesi ulio pikia umeinunua ww?Mbona chakula napika mimi tunakula wote wewe huoshi vyombo?
Wewe si umezaliwa mjini ndiyo maana unaongea hivyo, watu wengi wapo huko mikoani vinijiniKwahiyo wewe unaoa watoto? Anatakiwa apate muda wa kutosha wa kujiendeleza kielimu na kiuchumi pia
Kwani ukifa si unaona mambo yanayofanyika duniani?Sasa wewe inakuumaje wakati ushakufa tayari
We ukifa kila kitu chako kinaishia hapoKwa sababu nina wivu wa kinyegere.
Yeah!!!Kwani ukifa si unaona mambo yanayofanyika duniani?
Hakuna namna, kwani yeye akitangulia wewe huwezi kuoa?Inauma sana mkuu.
Mtoa mada tayari ameshatoa taswira ya familia anayoiongelea, anaongelea familia ambayo mke na mume wote wa kipato. Katika familia kama iyo mchango wa mwanamke ni wajibu sio hiariHuwezi kuongelea familia kwa ujumla wakati hizo familia zinatofautiana mtazamo na kiuchumi pia.
Baba yako na mama yako sio wazee wa zamani soma kuelewa sio kusoma na kujibu.Mie mwenyewe nimetoka familia kama hiyo ya wakulima Baba anafanya majukumu yake na mama yake kama kawaida, hakuna siku baba analalama sijui kitu gani, kama ni bidhaa alienda kuuza siku akirudi Wana Kaa na mkewe huko wanapanga kila kitu wenyewe, na ufugaji ulikuwepo kama kawaida Kijiji huwezi kosa mbuzi kuku wakutosha kabisa.
Alafu tukiachana unataka mgao wa 50 kwa 50 kwenye mali ambazo sio jukumu lako kuzichangia?Ndio sio lazima ni hiari. Hata wasipotaka hakuna kosa lolote. Mwanaume pambana..ndoa umeitaka mwenyewe
Embu waache wapumzike mmoja alimzika mwenzie, Kisha mwingine tukamhifadhi sie watoto, na malezi yao tunatembelea humoBaba yako na mama yako sio wazee wa zamani soma kuelewa sio kusoma na kujibu.
Nimekurudisha nyuma sana ili uelewe, alafu sasa unambie hivyo walivyoishi baba na mama yako huo utaratibu waliutolea wapi kama watangulizi wao walishiriki kwa pamoja kujenga uchumi wa familia?
Mungu awalaze mahali pema peponi.Embu waache wapumzike mmoja alimzika mwenzie, Kisha mwingine tukamhifadhi sie watoto, na malezi yao tunatembelea humo
Hiyo familia ya watu 10 inatokea wapi wakati ndiyo mmetoka kuoana? Mpaka mnafiki watoto 8 hapo mlishanana mpaka sura kutembea mkiongozana kama kaka na dada.Hii ni mojawapo ya fikra za kimasikini, familia ya watu 10 kumtegemea mtu mmoja kwa kilakitu wakati mwenza anaingiza kipato ni upuuzi wa kiwango Cha juu cha mwisho.
Labda niwaulize swali jepesi, huu utaratibu mmeutoa wapi?
Niwakumbushe naona mnataka kujisahaulisha:-
Wazee wetu, mume na mke walishiriki kujenga uchumi wa familia. Kama ni wafugaji mke alishiriki kikamilifu kwenye ufugaji hakuwa mama wa nyumbani, na kwa wakulima mama alishiriki kikamilifu kuhakikisha mji wake una chakula cha kutosha.
Mazao yaliyolimwa na mke ndiyo yalinunua mahitaji mbalimbali ya familia, mifugo iliyosimamiwa na mke ndiyo pesa yake ilinunua mahitaji mbalimbali ya familia.
Kwa zamani kilimo na ufugaji ndizo zilikuwa shughuli za kiuchumi. Wanafamilia wote walishiriki kuhakikisha familia inapata mahitaji yote muhimu.
Sasa huu utaratibu wa uchumi wa familia kujengwa na mwanaume pekeake ninyi mmeutoa wapi??? Huu utaratibu wa pesa ya mwanamke inafanya mambo yake binafsi tena nje ya ndoa mmeutolea wapi?