Je, Mwanamke ana wajibu wa kuchangia kifedha ndani ya Ndoa?

Je, Mwanamke ana wajibu wa kuchangia kifedha ndani ya Ndoa?

Oa kwanza baada ya miaka 5 uje hapa
Mwaka wa kumi kwenye game!

Bahati nzuri wanawake Huwa Wana adapt kutokana na ulivyo mtreaty mwanzoni!

Kama mwanzoni alikua anaomba Kila kitu ndio itakua hivyo hivyo!

Lakini kama ulimtengenezea goli hapo kitaa na mambo madogo madogo anamaliza mwenyewe basi na yeye ata adapt hivyo hivyo!
 
Kwani sheria ya ndoa na mambo ya ndoa anasemaje kuhusu uendeshaji wa Familia. Ile haki Sawa hapa inakuwajekuwaje
Hakuna haki sawa kwenye sheria ya ndoa ya kitanzania, labda kama sina uelewa huo mtu anisahihishe
 
Kuna miongozo lazima iangaliwe kama hayo majukumu yapo ndani ya uwezo wa mwanaume na mwanamke hawezi kuyamudu. Sio kwamba unaamka tu asubuhi unavhukua hati ya nyumba unaenda kutafuta mteja wa kuinunua. Haiwezekani una kipato cha milioni moja halafu uende kukopa kwa sababu mume hajaacha elfu 10 ya chakula. Hata hao wakopeshaji watakua wajinga labda upige nao dili.
Miongozo inaangaliwa. Mke kama hana kipato ni ruksa kufanya hivyo
 
Hapana, kwanza wanaume washasema zaidi ya papuchi hatuna cha kuwaofa..!!

Acha kiherehere mkuu na uwe unahudhulia vikao..!
 
Hakuna haki sawa kwenye sheria ya ndoa ya kitanzania, labda kama sina uelewa huo mtu anisahihishe
Ila haki Sawa ipo kwenye nini
Si huwa inasemekana if a man can do and a woman can do hii mlitoka nayo Beijing miaka ile.
Whi kwenye ndoa isiwe hivyo
 
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mchango wa mwanamke kifedha ndani ya ndoa. Wengine wanasema ni lazima awe na mchango ili ndoa iwe na usawa, wengine wanaamini kuwa majukumu ya kifedha ni jukumu la mwanaume, huku mwanamke akihusika zaidi na malezi na uangalizi wa familia.

Mimi binafsi naamini kuwa kila mtu ana majukumu yake ndani ya ndoa, na kusaidiana kifedha ni suala la hiari, si wajibu wa lazima kwa mwanamke. Ikiwa mke anafanya kazi na anataka kuchangia, ni sawa, lakini haipaswi kuwa sharti ili kuthibitisha thamani yake kwenye ndoa.

Nimekutana na watu wanaoamini kuwa mwanamke asiyesaidia kifedha ndani ya ndoa ni mzigo kwa mwanaume. Pia, wengine wanasema mwanaume asiyemudu majukumu ya kifamilia pekee hatakiwi kuoa.

Je, mna maoni gani kuhusu hili? Ni wajibu wa mwanamke kuchangia kifedha kwenye ndoa, au ni suala la hiari kulingana na uwezo wake?

Karibuni kwenye mjadala!
kama anavyoshiriki katika tendo na kazi ya uumbaji na Mungu akiwa katikati ya tendo lile takatifu, vivyo hivyo yafaa mwanamke ajitume kwa kiwango kile kile cha kwenye 6kwa6, kwa kushiriki kwa hali na mali, kazi na majukumu mballimbali ya malezi ya familia na Mungu Mwenyezi atambariki sana.,🐒
 
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mchango wa mwanamke kifedha ndani ya ndoa. Wengine wanasema ni lazima awe na mchango ili ndoa iwe na usawa, wengine wanaamini kuwa majukumu ya kifedha ni jukumu la mwanaume, huku mwanamke akihusika zaidi na malezi na uangalizi wa familia.

Mimi binafsi naamini kuwa kila mtu ana majukumu yake ndani ya ndoa, na kusaidiana kifedha ni suala la hiari, si wajibu wa lazima kwa mwanamke. Ikiwa mke anafanya kazi na anataka kuchangia, ni sawa, lakini haipaswi kuwa sharti ili kuthibitisha thamani yake kwenye ndoa.

Nimekutana na watu wanaoamini kuwa mwanamke asiyesaidia kifedha ndani ya ndoa ni mzigo kwa mwanaume. Pia, wengine wanasema mwanaume asiyemudu majukumu ya kifamilia pekee hatakiwi kuoa.

Je, mna maoni gani kuhusu hili? Ni wajibu wa mwanamke kuchangia kifedha kwenye ndoa, au ni suala la hiari kulingana na uwezo wake?

Karibuni kwenye mjadala!
Hatari
 
Ila haki Sawa ipo kwenye nini
Si huwa inasemekana if a man can do and a woman can do hii mlitoka nayo Beijing miaka ile.
Whi kwenye ndoa isiwe hivyo
Wewe unaweza kuosha vyombo na kukuna nazi? Hiyo haki sawa itamshinda mwanaume mchana kweupeee
 
Wewe unaweza kuosha vyombo na kukuna nazi? Hiyo haki sawa itamshinda mwanaume mchana kweupeee
Nyie ndio mlikuwa na haki sawa
Mna wajibu wa kuitumikia kwa vitendo katika nyanja zote na sio kwenye siasa peke yake
 
Bi mnene angu ninaeishi nae ni kazi jamani tuwavumilie. Tu ila wanaume tunakufa na mengi moyoni.

Huyu binti nilimuoa na tabia tofauti na hii ya uzeeni.

Ana wadogo zake watatu me na ke mmoja. Hawa wengine wanaishi hukooo bali nimekabidhiwa dogo wa 29 years na mwingine 34 yes of age. Huyu mmoja tumekorofishana. Nimeongea waziwazi nahisi anajua I don't like that boy. Mmoja ana discipline nzr, tunaishi naye.

Likija swala mwanaume kuishi kwa dadaake na kudhani dadaake anawajibu wa kumhudumia mwanaume mtu mzima hii inanitia mawazo sana.

Allah atusamehe bali, akirudi habebi hata tunda la mia5, hata chungwa moja. Hata dagaa wa mia2 yaani nimejifumza roho mmoja hatari sana anao wife na ndg zake. Kwanza hata kugegeda dadaao akipiga kelele sijui wanajisikiaje hawa viumbe wa mungu
 
Miongozo inaangaliwa. Mke kama hana kipato ni ruksa kufanya hivyo
Mke kama hana kipato ni wajibu wa mume kubeba jukumu lote, ambacho sikubaliani nacho mimi ni mke kuwa na kipato kwa scale ya mumewe halafu iwe hiari ya mwanamke kuchangia bill za familia.

Kisheria inawezekana mwanamke kukopa au kupeleka malalamiko kazini kwa mumewe na mshahara wa mume ukawa unakatwa juu kwa juu anapewa mke, lakini mchakato wake sio rahisi kama unavyofikiria.

Kumbuka majaji sio wajinga. Wanajua kuna manipulations na cheating nyingi sana. Klyn alikosa umiliki wa mali za Mengi pamoja na kuwa na wosia wa Mengi mkononi.

Anyway, utetezi wenu unazidi kuwapa point vijana wa kataa ndoa, kwa hii mentality yenu ya kibinafsi nitashangaa sana kesho na kesho kutwa nikiona unawaponda kataa ndoa kwa kujifanya haujui tatizo liko wapi
 
Si kila mtu ana mtazamo sawa kuhusu mgawanyo wa kipato kwenye ndoa. Kila familia ina njia yake ya kusimamia fedha kulingana na makubaliano yao. Kama wewe na mkeo mmekubaliana kushirikiana kifedha na mna furaha, basi hilo ni jambo jema kwa ndoa yenu. Lakini si sahihi kulazimisha kila ndoa iwe hivyo. Mwanamke anaweza kuchangia kifedha kwa hiari, lakini haipaswi kuwa sharti la ndoa. Kila ndoa ina mfumo wake wa uwajibikaji kulingana na hali na makubaliano ya wahusika.
Kwamba kuna mwanaume atasema haitaji ushirikiano ktk uchangiaji wa kipato ndani
Kama yupo na ni mume wako mlinde sana, jaribu siku moja kuchangia upendo wa mume kwako utaongezeka kuliko awali.
Hakuna mwanaume timamu kiakili akatae mchango wa mke wake ktk kuchangia matumizi nyumbani
 
Mke kama hana kipato ni wajibu wa mume kubeba jukumu lote, ambacho sikubaliani nacho mimi ni mke kuwa na kipato kwa scale ya mumewe halafu iwe hiari ya mwanamke kuchangia bill za familia.

Kisheria inawezekana mwanamke kukopa au kupeleka malalamiko kazini kwa mumewe na mshahara wa mume ukawa unakatwa juu kwa juu anapewa mke, lakini mchakato wake sio rahisi kama unavyofikiria.

Kumbuka majaji sio wajinga. Wanajua kuna manipulations na cheating nyingi sana. Klyn alikosa umiliki wa mali za Mengi pamoja na kuwa na wosia wa Mengi mkononi.

Anyway, utetezi wenu unazidi kuwapa point vijana wa kataa ndoa, kwa hii mentality yenu ya kibinafsi nitashangaa sana kesho na kesho kutwa nikiona unawaponda kataa ndoa kwa kujifanya haujui tatizo liko wapi
Issue ya Klyn ipo wazi. Ni kwamba alikuwa mke wa pili lazima migogoro iwepo maana amekuta familia nyingine.

Kataa ndoa nawaelewa sana, wana hoja wasikilizwe.
 
Issue ya Klyn ipo wazi. Ni kwamba alikuwa mke wa pili lazima migogoro iwepo maana amekuta familia nyingine.
Mke wa kwanza walishaachana na Mengi na alishapata mgao wake. Mgogoro wa klyn na familia ya mengi ni klyn alitaka yeye na wale watoto wake mapacha wachukue mali zote kwamba wale watoto wakubwa wasipate chochote. Wosia ni kweli ulionyesha klyn kaandikwa kama mmiliki lakini loopholes za kisheria na busara ya majaji ikatumika kutengua ule wosia.

Kataa ndoa nawaelewa sana, wana hoja wasikilizwe.
kwa mantiki nafikiri pia unakubaliana na ukweli kwamba wewe ni mmoja ya sampuli za wanawake ambao mmefanya vijana waingie kwenye iyo kampeni ya kukataa ndoa
 
Inaonekana una support wanawake golkipa, ila kwa maisha ya sasa ni wanaume wangapi Tanzania wana kipato cha kuweza ku-afford mwanamke golkipa, Yani baba, mama, watoto 3, wa-survive na kufanya maendeleo kwa kutumia single income ya baba Muhimbu
This comment shows how financially ignorant you are. Ni dhairi kwanza hujanielewa kabisa comment yangu yaan umenisoma juu juu tu hili unijibu.

unauliza ni wanaume wangapi wana uwezo wa ku-afford gharama za maisha wakiwa na mwanamke golikipa? Kwani tangia mwanzo hujaona nikisema kuwa asilimia kubwa ya vipato vya wanaume ndio vinaendesha familia na hela ya mwanamke inaenda kwenye matumizi yake binafsi ikiwemo kuwasaidia ndugu zake huko?

Mbona wanaume wengi walioaa wanawake wafanya kazi hawana tofauti na sisi tuliooa magolikipa, maana hivyo vipato vya hao working class wives havina msaada wowote ndani ya familia?
 
Ngoja nikuache unaonekana unaroho mbaya sana, itakuwa mkeo akipata hela kidogo lazima uikombe uipangie majukumu hutaki awe na chochote.
Hapana mke wangu ni mwanamke mwelevu sana na anajua ninafanya mambo kwa logic hivyo basi hata siku moja hawezi kuniona mimi nina roho mbaya.

Nyie wanawake wenye akili ndogo hasa mliokulia uswahilini ambao mkiingia ndoani mnakuwa parasite, mnataka kutumia hela za mwanaume kuholela holela kisa tu ni mumeo, mara nyingi ndio mnapenda kuitumia hii kauli ya "una roho mbaya" hasa pale mume asipokubalina na wewe kwenye jambo fulani la kifedha.

Wanawake wenye parasitic mentality kama wewe ni hasara kubwa sana kwa mwanaume.
 
Katika ndoa kila mmoja anasehemu ya kufanya ili kuitunza ndoa.
Siyo kazi ya Mwanamme kubeba majukumu yote katika ndoa wakati mwanamke ana uwezo.
 
Back
Top Bottom