Je, Mwanamke ana wajibu wa kuchangia kifedha ndani ya Ndoa?

Je, Mwanamke ana wajibu wa kuchangia kifedha ndani ya Ndoa?

Mithali 14:1
Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
 
Majibu yapo kwenye biblia kama we ni msomi kasome!

Mwanamke aliumbwa kama msaidizi Kwa mwanamme Kwa Hali zote!hwakusema kulea watoto TU na kupika !MSAIDIZI!

ukisoma mithali 31 najua hampendi kusoma na hamtaki kukubaliana mwanamke anaonekana anachapa KAZI na anafananishwa na merikebu ya chakula yaani meli iliyosheni vyakula! Akileta mapato nyumbani mwake!!

Kizazi Cha kikahaba Cha wanawake wa kileo kilichojaa ubinafsi kinataka kujiuza ndani ya ndoa Kwa kutoa mchango wa tendon la ndoa na mapishi plus kulea watoto TU ndicho kinachosumbuka na kuuliza uliza maswali kana kwamba hakijui asili na wajibu wake!!

Tangy zamani bibi zetu walilima mazao ya biashara na mababu zetu ,walikamua ngombe wakauza maziwa na mapato wakayaleta ndani ya familia na kulea wakalea watoto katika bidii na kazi!na mababu wakabaki kama viongozi wenye kuongoza jahazi na kutoa uelekeo familia iendapo!!!

MWANAMKE UNAEJIULIZA MASWALI KAMA HAYA UNAPASWA UKASOME HISTORIA YA BIBI ZAKO WALISHIRIKI VIPI SHUGHULI ZA KIUCHUMI NA KUSAIDIA FAMILIA ZAO,PIA KASOME MITHALI 31!

zamani hakukua na michepuko coz mitara iliruhusiwa na baba alioa pale alipopataka!Sasa leo Dini zimekataza tusioe mitara nasema DINI na sio maandiko Wala neno la Mungu wamekataza mitara ndio mnalia na michepuko kama kigezo Cha kuleta ubinafsi ndani ya familia!NASEMA DINI NA SIO MAANDIKO YA MUNGU!HAKUNA MWANAMME ANAWEZA KUWA MKRISTO KULIKO IBRAHIM BABA WA IMANI MWENYE WAKE WAWILI,YAKOBO MWENYE WAKE WANNE,MUSA MWENYE WAKE WAWILI,YESU HAKUOA MSIFANANISHE ANGEOA TUNGEANDIKA MENGINE!!

RUDINI KWENYE MISINGI ACHENI KUULIZA ULIZA NA MAJIBU MNAYO!
 
Lakini kabla ya kulipia ada watoto wa dada ni lazima kwanza nihakikishe watoto wangu wameshatimiziwa mahitaji yote, nitakuwa kichaa eti niwalipie ada watoto wa dada yangu hali yakuwa watoto wangu wamekaa nyumbani.

Sasa inashangaza kuona ww mwanamke watoto wana mahitaji fulani mwanaume ana kuambia sina pesa ebu na ww yatatue una kataa eti hilo siyo jukumu lako ila unaenda kutua matatizo ya watoto wa dada yako ambao nao wana baba yao mwenye jukumu la kutatua matatizo hayo.

Kabla ya kutoa msaada nje ni lazima uhakikishe kuwa ndani ya familia hakuna pengo lolote sio unaacha pengo kwenye familia yako unaenda kuziba mapengo kwenye familia za wenzako.
Kwani mwanaume anapolipia watoto wa dada zake wenyewe hawana baba yao? Sizani mke mwenye utimamu anaweza enda kulipia watoto ada za watoto wa ndugu zake ili hali wakwake bado, labda mwehu au kuwe na kitu hapo kati ya mke na mme.

Kuna mbaba familia yake ilikuwa inapata chakula ilimradi chakula mbonga ni maharagwe na mboga za majani mpaka watoto wanalalamika jamani baba si anafanyakazi tunaishi hivi? Ila ndugu zake simu moja tu baba katuma hela, siku moja mkewe kaenda muona wifi yake bila taarifa anakwambia nilikuta mboga 7 kila aina mboga ipo na mtoa pesa mmewe wao wakibadisha dagaa mchele tena wenye konokono😃, niambie huyo mke alijisikiaje hapo!
 
Majibu yapo kwenye biblia kama we ni msomi kasome!

Mwanamke aliumbwa kama msaidizi Kwa mwanamme Kwa Hali zote!hwakusema kulea watoto TU na kupika !MSAIDIZI!

ukisoma mithali 31 najua hampendi kusoma na hamtaki kukubaliana mwanamke anaonekana anachapa KAZI na anafananishwa na merikebu ya chakula yaani meli iliyosheni vyakula! Akileta mapato nyumbani mwake!!

Kizazi Cha kikahaba Cha wanawake wa kileo kilichojaa ubinafsi kinataka kujiuza ndani ya ndoa Kwa kutoa mchango wa tendon la ndoa na mapishi plus kulea watoto TU ndicho kinachosumbuka na kuuliza uliza maswali kana kwamba hakijui asili na wajibu wake!!

Tangy zamani bibi zetu walilima mazao ya biashara na mababu zetu ,walikamua ngombe wakauza maziwa na mapato wakayaleta ndani ya familia na kulea wakalea watoto katika bidii na kazi!na mababu wakabaki kama viongozi wenye kuongoza jahazi na kutoa uelekeo familia iendapo!!!

MWANAMKE UNAEJIULIZA MASWALI KAMA HAYA UNAPASWA UKASOME HISTORIA YA BIBI ZAKO WALISHIRIKI VIPI SHUGHULI ZA KIUCHUMI NA KUSAIDIA FAMILIA ZAO,PIA KASOME MITHALI 31!

zamani hakukua na michepuko coz mitara iliruhusiwa na baba alioa pale alipopataka!Sasa leo Dini zimekataza tusioe mitara nasema DINI na sio maandiko Wala neno la Mungu wamekataza mitara ndio mnalia na michepuko kama kigezo Cha kuleta ubinafsi ndani ya familia!NASEMA DINI NA SIO MAANDIKO YA MUNGU!HAKUNA MWANAMME ANAWEZA KUWA MKRISTO KULIKO IBRAHIM BABA WA IMANI MWENYE WAKE WAWILI,YAKOBO MWENYE WAKE WANNE,MUSA MWENYE WAKE WAWILI,YESU HAKUOA MSIFANANISHE ANGEOA TUNGEANDIKA MENGINE!!

RUDINI KWENYE MISINGI ACHENI KUULIZA ULIZA NA MAJIBU MNAYO!
Na aliyesema Adam utakula Kwa jasho na wewe Eva utazaa Kwa uchungu alimaanisha nini?
 
Ukiniletea hii mentality mimi mbona utafurahi, yaani hata kukuachia hela ya matumizi ndani itakuwa ni hiari yangu sio lazima, ukipatwa na changamoto binafsi kama kufiwa,kuugua kukusaidia kwangu kutakuwa ni kwa hiari sio lazima. Kiufupi tu vitu vingi sana nitavifanya kwa hiari na sio kama wajibu... maana unajifanya mbinafsi hivyo mimi nitakuonesha ubinafsi uko vipi na unafanywaje
Unazani utakuwa wakwanza? Watu wanaishi hivyo kila mtu na kwao na wapo hivyo na ndoa zikafa kimya kimya, nilishuhudia rafiki wa kaka yangu alifiwa baba yake mkewe hakuonekana kaka yangu kamuuliza shem yupo wapi? Kasema mie sikwenda kwenye msiba wa baba yake hivyo aliapa naye hatokuja angalia maisha kama hayo!

Halafu usipotoa matumizi Kwa mkeo unamkomoa nani ! Kama ndiyo umeona mke asiye mwaminifu imekula kwako, na usiombe mke alidhike na anachopata Wala hatetereki ndiyo Ile tunalea watoto tu.
 
Nilivyosoma comment kwenye hii thread nimegundua wanaume mtaani tumebaki wachache
Haingii akilini mwangu eti kipato cha mke wangu ni chake na ndugu zake ila kipato changu ni cha mke wangu na watoto.
Ninashukuru mke wangu tunashirikiana vizuri sana katika mgawanyo wa kipato na tunaishi kwa furaha
 
Kwa hiyo unataka kwa vile mimi ndugu yangu nimemsaidia laki 2 na kwa ndugu yako pia nifanya hivyo hivyo sio? Yaani nichukue laki 2 mfukoni mwangu nimpe ndugu yako wakati huyo ndugu yako ana ndugu zake ambapo wewe ni mmoja ya hao ndugu zake na unafanya kazi? Uwendowazimu siwezi kufanya hata kidogo.. na hii ni level ya juu kabisa ya toxic entitlement ya nyie wanawake kujiona mna mamlaka na pesa za waume zenu...

Sasa kosa lake hapo liko wapi? Kwani ni kweli kwamba ameoa ukoo mzima wa nyumbani kwenu? Si amekuoa wewe tu, sasa kwanini umbebeshe mumeo majukumu ya huko nyumbani kwenu? Kaka zako hawapo? Na hao wazazi wako walikuwa wanafanya nini ujanani mwao mpaka leo waje wamtegemee mkwe wao ndio awatunze? Haya malawama pengine huwa ni ya kipuuzi sana, halafu mara nyingi wanawake wenye mentaliy hii ya kutaka mume awasaidie mpaka wazazi wake hawanaga shukrani... unaweza ukamsaidia yeye na hao wazazi wake ila siku mkitofautiana kidogo tu au ukasitisha msaada kwa sababu zilizoko nje ya uwezo wako utashangaa unaambiwa una roho mbaya au mchoyo, wanasahau kabisa uliyowahi kuwafanyia huko nyuma.
Ngoja nikuache unaonekana unaroho mbaya sana, itakuwa mkeo akipata hela kidogo lazima uikombe uipangie majukumu hutaki awe na chochote.
 
Sio wajibu wa mwanamke kuhudumia familia kifedha. Mke anamsaidia mume wake namna ya kupangilia na kutumia fedha zake kuhudumia hapo nyumbani

Ndoa ni muunganiko wa watu wawili ke na me kwa ajili ya kuweka pamoja changamoto zao ili waweze kupambana pamoja na hatimaye kufanikiwa. Ndiyo maana sie wa kitambo ulikuwa ukipata kazi tu unaambiwa oa ili upate mtu wa kushirikiana nae kuleta familia na maendeleo yenu kiujumla.

Sasa, Mama zetu waliokuwa wake wa nyumbani (house wifes) walikuwa hawachangii fedha ila walikuwa wanasimamia majukumu yote yahusuyo familia ikiwamo ulezi, kusimamia kipato kinachopatikana na kushirikia kwa karibu katika maswala ya kijamii!! Hivyo, mume alikuwa anatafuta kwa bidii akijua familia na kipato changu vipo sehemu salama.

Turudi kwenu; unafanya kazi, nyumbani huonekani kuanzia kumi na mbili asubuhi mpaka saa tatu na wakati mwingine utasafiri kikazi wiki nzima. Familia inakuwa muda mwingi kama si wote mikononi mwa dada wa kazi (zamani tuliwaita yaya).

Nyumbani huna contribution yoyote na kipato chako hakionekani hakihusiki na familia hii kwa madai wewe ni mke huna cha kuchangia! Ok, Watoto pia wanalelewa na dada wa kazi!! Nini contributions zako katika hii familia ambayo unasema ni yako kama mama, kama mke??

Tuanzie hapa kwanza!! Nikishajua hili ndiyo twaweza kuendelea
 
Wanawake wenye vipato huwa hawana ndoa,bali wengi wao ni ma single mama,mwanamke wajibu wake ni kulea watoto na mwanaume ni kutafuta pesa kwa ajiri ya familia,ukimkuta mwanamke ana majukumu ya kiume katika familia basi hakuna ndoa hapo.
 
Inategemea na kipato kama chake ni kidogo na wewe pesa ipo mwache hela yake asaidie ndugu zake
 
Kama vipato vinaendana inashauriwa mkipata pesa mtoa asilimia 60 kila mtu kwa ajili ya maendeleo ya familia na 40 kwa matumizi yenu binafsi yaani bia,saluni, michango ya send off harusi, kusaidia ndugu nk
 
Nilivyosoma comment kwenye hii thread nimegundua wanaume mtaani tumebaki wachache
Haingii akilini mwangu eti kipato cha mke wangu ni chake na ndugu zake ila kipato changu ni cha mke wangu na watoto.
Ninashukuru mke wangu tunashirikiana vizuri sana katika mgawanyo wa kipato na tunaishi kwa furaha
Ndo ushangae na ww alafu mkiachana anataka mgawane 50 kwa 50 kwenye mali za familia ambazo alikuwa anasema si jukumu lake kuziendeleza.
 
Mwanaume kama huna uwezo wa kumudu kuhudumia familia usioe utakufa kwa stress
 
Ni makubaliano tu wengine ishu ya chakula ndani ni jukumu la mke,nguo,ada, maendeleo ya familia mfano ujenzi viwanja majukumu ya mume but utegemea na kipato
 
Na aliyesema Adam utakula Kwa jasho na wewe Eva utazaa Kwa uchungu alimaanisha nini?
Kama unajijua hutakiwi kula kwa jasho mbona usikae nyumbani ukalea watoto alafu mmeo akatafuta pesa za kujenga familia?
 
Nilivyosoma comment kwenye hii thread nimegundua wanaume mtaani tumebaki wachache
Haingii akilini mwangu eti kipato cha mke wangu ni chake na ndugu zake ila kipato changu ni cha mke wangu na watoto.
Ninashukuru mke wangu tunashirikiana vizuri sana katika mgawanyo wa kipato na tunaishi kwa furaha
Wee chilumendo chapee (nkûune)
 
Back
Top Bottom