Je, Mwanamke ana wajibu wa kuchangia kifedha ndani ya Ndoa?

Je, Mwanamke ana wajibu wa kuchangia kifedha ndani ya Ndoa?

Kwamba hapa unachomaanisha hasa ni kwamba pesa ya mwanamke huwa inaanza kutumika ndani ya familia pale mwanaume anapofika ukomo wa kuhudumia familia sio? Ila siku nyingine zote ambazo mwanaume huyo anawajibika ipasavyo pesa ya mwanamke yenyewe haitumiki kabisa na kama ataitumia basi ni kuwasaidia ndugu zake huko kwao sio?

Kwa hii parasitic mindset ndio maana huwa nasema nyie wanawake wasomi na wafanya kazi huwa ni hasara kubwa sana kwa mwanaume , yaani nyie huwa ni liability kwenye ndoa..!!

Binafsi huwa nawahurumia sana vijana wanaowaoa nyie wanawake wa kisasa kwa kuangalia kazi na elimu zenu.
Yaani eti kuchangia huduma kwa ajili ya watoto alio wazaa sio jukumu lake ila jukumu lake ni kuhudumia ndugu zake ambao wengine ni watu wazima wenye uwezo wa kujitafutia kipato.
 
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mchango wa mwanamke kifedha ndani ya ndoa. Wengine wanasema ni lazima awe na mchango ili ndoa iwe na usawa, wengine wanaamini kuwa majukumu ya kifedha ni jukumu la mwanaume, huku mwanamke akihusika zaidi na malezi na uangalizi wa familia.

Mimi binafsi naamini kuwa kila mtu ana majukumu yake ndani ya ndoa, na kusaidiana kifedha ni suala la hiari, si wajibu wa lazima kwa mwanamke. Ikiwa mke anafanya kazi na anataka kuchangia, ni sawa, lakini haipaswi kuwa sharti ili kuthibitisha thamani yake kwenye ndoa.

Nimekutana na watu wanaoamini kuwa mwanamke asiyesaidia kifedha ndani ya ndoa ni mzigo kwa mwanaume. Pia, wengine wanasema mwanaume asiyemudu majukumu ya kifamilia pekee hatakiwi kuoa.

Je, mna maoni gani kuhusu hili? Ni wajibu wa mwanamke kuchangia kifedha kwenye ndoa, au ni suala la hiari kulingana na uwezo wake?

Karibuni kwenye mjadala!
Kama ni mama wa nyumbani jukumu lote la ustawi wa kiuchumi ni la mwanaume kama una kipato unawajibika kuchangia kulingana na scale ya kipato(sio hiyari, unawajibika).

Ila yote kwa yote ni vyema mkajadiliana ilo suala kabla ya kuishi pamoja. Kama unafikiri mwanamke hauwajibiki kwa bill za nyumbani mwambie mwenzako mapema kabla hamjafunga ndoa au kuanza kuishi pamoja.

Kipindi cha uhumba au mahusiano ya boyfriend and girlfriend mwanaume anaweza akamaliza tu bill za hapa na pale bila kuulizia hela yako lakini mkifunga ndoa katika hali ya kawaida anajua na wewe pia unatakiwa kuchangia kwenye masuala ya kifamilia.

Kwaiyo kama unafikiri pesa yako sio kwa ajiri ya matumizi ya kifamilia au unafikiri kuchangia bill za nyumbani kwako ni hiyari na sio wajibu, mwambie mwenzako msimamo wako mapema kabla ya kuanza kuishi pamoja.
 
NB usioe Mwanamke goli kipa kwenye karne hii ya 21
Ironically huyo mwanamke unayemuita goli kipa ndio mwanamke sahihi wa kuoa karbe hii, maana ana faida nyingi kuliko hasara... achana na hawa wasomi sijui wafanya kazi mnaokimbiza kuwaoa, wengi ni hasara kubwa sana mfano ni mleta mada na hawa wenzake wanaomsapoti.
 
Mnang'ang'ania 50/50... Ila linapokuja suala la uchumi, mnajitoa. Sasa hiyo 50 kwa 50 inakuwa na maana gani?
Mimi binafsi naamini kuwa kila mtu ana majukumu yake ndani ya ndoa, na kusaidiana kifedha ni suala la hiari, si wajibu wa lazima kwa mwanamke. Ikiwa mke anafanya kazi na anataka kuchangia, ni sawa, lakini haipaswi kuwa sharti ili kuthibitisha thamani yake kwenye ndoa.
 
Kwamba hapa unachomaanisha hasa ni kwamba pesa ya mwanamke huwa inaanza kutumika ndani ya familia pale mwanaume anapofika ukomo wa kuhudumia familia sio? Ila siku nyingine zote ambazo mwanaume huyo anawajibika ipasavyo pesa ya mwanamke yenyewe haitumiki kabisa na kama ataitumia basi ni kuwasaidia ndugu zake huko kwao sio?

Kwa hii parasitic mindset ndio maana huwa nasema nyie wanawake wasomi na wafanya kazi huwa ni hasara kubwa sana kwa mwanaume , yaani nyie huwa ni liability kwenye ndoa..!!

Binafsi huwa nawahurumia sana vijana wanaowaoa nyie wanawake wa kisasa kwa kuangalia kazi na elimu zenu.
Mama Getrude Mongella aliwaingiza chaka pale Beijin. Aliwaubiria 50/50 kwa nadharia ya kuangazia mambo matamu tamu na yenye masilahi tu, lakini hakuwaambia au hata yeye mwenye hakujua kwamba huo usawa ikiletwa kwenye uhalisia itakua utakuja na wajibu sawa pamoja na kupoteza privileges zote wanazozipata kutoka kwa mwanaume.

Feminist wa kiafrika wamebaki njia panda. Wanataka nafasi ya mwanaume lakini hawataki wajibu unaomfanya mwanaume apewe iyo nafasi, wanataka privilege ya mwanamke lakini hawataki wajibu unaomfanya mwanamke apewe iyo privilege
 
Ironically huyo mwanamke unayemuita goli kipa ndio mwanamke sahihi wa kuoa karbe hii, maana ana faida nyingi kuliko hasara... achana na hawa wasomi sijui wafanya kazi mnaokimbiza kuwaoa, wengi ni hasara kubwa sana mfano ni mleta mada na hawa wenzake wanaomsapoti.
Sahihi kabisa, mwanamke mmoja ambae sio msomi/career woman ana mchango mkubwa kwenye ustawi wa jamii kuliko wanawake 100 wenye degree
 
Ndio maana ndoa za siku hizi zimejaa migogoro kwa sababu watu wanaoana huku kila mmoja ana ndoto zake badala ya kujenga ndoto moja.
Mwanamke kama anaingiza kipato ni lazima kitumike kwenye maendeleo ya familia na sio mambo yake binafsi.

Ya kwamba ni sahihi mke wangu awe anatumia mshahara wake kuwalipia ada watoto wa dada yake ila mm nikimuambia tuchangie ada kwa ajili ya watoto wetu akatae na kusema eti ni jukumu langu tu?
Yaani watoto aliyo wazaa hana jukumu la kuwalipia ada ila anajukumu la kuwalipia ada watoto wa dada yake na si jukumu la dada yake na aliye mzalisha hao watoto?

Mmeoana kwa ajili ya kwenda kujenga familia moja sasa iweje kila mtu afanye mambo yake kibinafsi nini maana ya familia moja?
Ndio maana nasema kuoa hawa wanawake wanaoitwa working class ladies ni hasara kubwa sana... mama wa nyumbani ana afadhari kubwa kuliko hawa.

Imagine unaoa mwanamke ambaye hana muda na familia yeye kila kukicha anaenda kazin anakimbizana na malengo yake binafsi, pesa anayoipata huko kazini haionekani ndani bali inaenda kwenye matumizi yake binafsi... majukumu yote ya nyumbani kamwachia beki tatu ambaye wewe ndio unamlipa mshaara.

Haya siku imetokea amaichoka ndoa anaenda mahakamani kufungua talaka halafu mahakamani inaamuru mgawane mali 50/50.. mali ambazo kwa asilimia kubwa pesa zako wewe mwanaume ndio zilitumika kununua, wakati huo mwanamke yeye pesa yake ilikuwa inatumika kusomeshea ndugu zake... Sasa kwanza si dhuluma kabisa hii jamani?

Sasa ni bora mtu umeoa mama wa nyumbani ambaye anawajibika kwenye majukumu yote ya ulezi wa familia huku akikupa na wewe faraja kwa heka heka unazopitia huko makazini?

Mwanamke goli kipa hata siku ikitokea mmeachana mnagawana mali 50/50 kiroho safi kabisa, kwa sababu wakati wewe huko bize kutafuta pesa yeye alikuwa bize kulea watoto wako au kwa namna nyingine aliutumia muda wake ambao na yeye angeutumia kutafuta mali zake kukulelea familia yako na hivyo basi ni sahihi kabisa yeye kupata hiyo 50% kama compesation.....

...hali hii ni tofauti kabisa na wale working class ladies, hao huwa ni wezi, yaani mtu mnatoka wote hasubui kwenda kazini, hela zake anatumia kuboresha maisha ya nyumbani kwao huko, huku ndani ya familia yake haitumiku hata buku ila eti siku mkiachana anataka mgawane pasu kwa pasu...!! Eboo huo utapeli nilishajiandaa kuukwepa mimi kitambo
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Sahihi kabisa, mwanamke mmoja ambae sio msomi/career woman ana mchango mkubwa kwenye ustawi wa jamii kuliko wanawake 100 wenye degree
You are damn right comrade...

Mwajuma Nichokonoe kutoka uswahilini aliyeishia form four B ana potential ya kuwa mke na mama bora wa familia kuliko wanawake 100 wenye madigree na masters.

Kwa ufupi tu wanawake wasomi ni great liability wakati huo wasiokuwa na elimu au wenye elimu ndogo ni asset kubwa sana kwenye tasnia ya mahusiano(japo ni wanaume wachache tunalijua hili)
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Kwani wewe watoto wa dada zako huwa lipii ada? Mara nyingi migogoro huanza pale mme yupo busy na ndugu zake tu kwao laki 2 Kwa mke eldu 20 tena Kwa
Kwa hiyo unataka kwa vile mimi ndugu yangu nimemsaidia laki 2 na kwa ndugu yako pia nifanya hivyo hivyo sio? Yaani nichukue laki 2 mfukoni mwangu nimpe ndugu yako wakati huyo ndugu yako ana ndugu zake ambapo wewe ni mmoja ya hao ndugu zake na unafanya kazi? Uwendowazimu siwezi kufanya hata kidogo.. na hii ni level ya juu kabisa ya toxic entitlement ya nyie wanawake kujiona mna mamlaka na pesa za waume zenu...
mbinde, sasa unategemea yeye atoe %? Itakuwa vigumu sana, maisha ya ndoa mkae mpange hili liwe hivi hili likae vile, sasa mmoja alimwambia mkewe unaona wivu ninavyowapa pesa kwetu si ndugu zangu, wewe kaka yako ahudumie huko mama yako sijaoa ukoo Mimi, embu ona kauli kama hiyo mke afanye nini!
Sasa kosa lake hapo liko wapi? Kwani ni kweli kwamba ameoa ukoo mzima wa nyumbani kwenu? Si amekuoa wewe tu, sasa kwanini umbebeshe mumeo majukumu ya huko nyumbani kwenu? Kaka zako hawapo? Na hao wazazi wako walikuwa wanafanya nini ujanani mwao mpaka leo waje wamtegemee mkwe wao ndio awatunze? Haya malawama pengine huwa ni ya kipuuzi sana, halafu mara nyingi wanawake wenye mentaliy hii ya kutaka mume awasaidie mpaka wazazi wake hawanaga shukrani... unaweza ukamsaidia yeye na hao wazazi wake ila siku mkitofautiana kidogo tu au ukasitisha msaada kwa sababu zilizoko nje ya uwezo wako utashangaa unaambiwa una roho mbaya au mchoyo, wanasahau kabisa uliyowahi kuwafanyia huko nyuma.
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Sasa inashangaza kuona ww mwanamke watoto wana mahitaji fulani mwanaume ana kuambia sina pesa ebu na ww yatatue una kataa eti hilo siyo jukumu lako ila unaenda kutua matatizo ya watoto wa dada yako ambao nao wana baba yao mwenye jukumu la kutatua matatizo hayo.
Anafanya hivi halafu siku ikitokea amepata changamoto yoyote ile kubwa kama kufukuzwa kazi au kuugua hadi kulazwa anakutegemea wewe mwanaume ndio uangaike nae eti ni jukumu lako kama mume, na wala haendi kwa huyo dada yake ambaye ndio anamjali nyakati za uzima.

Vijana wanaooa hawa parasites ninawahurumia sana.
 
Yaani eti kuchangia huduma kwa ajili ya watoto alio wazaa sio jukumu lake ila jukumu lake ni kuhudumia ndugu zake ambao wengine ni watu wazima wenye uwezo wa kujitafutia kipato.
Ndio maana mimi nasema hakuna mantiki yoyote ya kuoa mwanamke anayefanya kazi halafu pesa zake hazionekani kwenye ujenzi wa familia, eti zinaanza kutumika ndani ya familia siku wewe mwanaume ukishakufa....

Sasa mwanamke kama huyo wa nini?
 
Muda wa mke ni muda wa familia huwezi kuutumia kwa mambo yako binafsi, kwamba tumeweka dada wa kazi na kumlipa mshahara akusaidie majukumu yako ya nyumbani ukiwa kwenye majukumu ya biashara au kazi kuingiza kipato.

Kuweka dada wa kazi kulea watoto ni risk kubwa sana familia imefanya maana sio mama yao anafanya majukumu ya mama na hatujui kwa hakika kama analea watoto vyema.

Halafu huyo mama apate fedha isionekane kwenye familia huo ni wizi na utapeli wa kutumia muda wa familia vibaya.

Kama mume anaruhusu hilo lazima ni mume mwenye mapungufu na hammudu mkewe mke anammudu mume.

Yaani uache watoto na majukumu yako ya nyumbani ukafanye biashara au kazi huko maofisini na hela isionekane maana yake hiyo kazi haina umuhimu wowote kwa familia inabidi iwekwe kando maana familia itaamini unafanya kazi na haulipwi unadhulumiwa na kama unalipwa unaidhulumu familia.
 
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mchango wa mwanamke kifedha ndani ya ndoa. Wengine wanasema ni lazima awe na mchango ili ndoa iwe na usawa, wengine wanaamini kuwa majukumu ya kifedha ni jukumu la mwanaume, huku mwanamke akihusika zaidi na malezi na uangalizi wa familia.

Mimi binafsi naamini kuwa kila mtu ana majukumu yake ndani ya ndoa, na kusaidiana kifedha ni suala la hiari, si wajibu wa lazima kwa mwanamke. Ikiwa mke anafanya kazi na anataka kuchangia, ni sawa, lakini haipaswi kuwa sharti ili kuthibitisha thamani yake kwenye ndoa.

Nimekutana na watu wanaoamini kuwa mwanamke asiyesaidia kifedha ndani ya ndoa ni mzigo kwa mwanaume. Pia, wengine wanasema mwanaume asiyemudu majukumu ya kifamilia pekee hatakiwi kuoa.

Je, mna maoni gani kuhusu hili? Ni wajibu wa mwanamke kuchangia kifedha kwenye ndoa, au ni suala la hiari kulingana na uwezo wake?

Karibuni kwenye mjadala!
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuuliza, hivi jiulize tu, umeoa na mkeo anafanya kazi kama wewe na pengine usikute ana kipato kushinda wewe......kwanini asichangie kwenye matumizi ya hapo nyumbani kwenu? Kumbuka majukumu ya kulea wanenu na kujenga ni tenu wote, yeye asichanie hela zake zinakwenda waai ikiwa anafanya kazi? Achana na mwanamke mjinga asiye na mchango wowote katika maisha yako utakufa kibudu kijana.
 
Mama Getrude Mongella aliwaingiza chaka pale Beijin. Aliwaubiria 50/50 kwa nadharia ya kuangazia mambo matamu tamu na yenye masilahi tu, lakini hakuwaambia au hata yeye mwenye hakujua kwamba huo usawa ikiletwa kwenye uhalisia itakua utakuja na wajibu sawa pamoja na kupoteza privileges zote wanazozipata kutoka kwa mwanaume.

Feminist wa kiafrika wamebaki njia panda. Wanataka nafasi ya mwanaume lakini hawataki wajibu unaomfanya mwanaume apewe iyo nafasi, wanataka privilege ya mwanamke lakini hawataki wajibu unaomfanya mwanamke apewe iyo privilege
Yule mama wa kikerewe alienda Beijing kutimiza tu maagizo ya waliomtuma, kisha akarudi huku kuwaingiza chaka wanawake wenzie.

Nina uhakika kwa asilimia zote hata yeye mwenyewe yale maazimio waliokubaliana kule Beijing hajawahi kuyaishi hata kwa siku moja maana mbali tu na kukaa kinadharia lakini pia anafahamu madhara yake. Ukiongeza na jamii anayotoka(hyper patriachial) ndio kabisa hawezi kuyapractice sehemu yoyote labda kwenye vyombo vya habari kwa kauli tu.

Hapa afrika hatuna feminists wa kweli, hapa tuna pseudo-feminists ambao hawajui hata misingi ya feminism ni nini na lengo kuu la feminism ni nini hasa.

Tukiachana na hilo ajabu la kutaka ku enjoy privileges za mwanamke huku wakiyakimbia majukumu ya mwanaume na ya mwanamke wakiona ni utuma...

Unakuta mtu anajinasibu kuwa ni feminist halafu hapo hapo anajinasibu kuwa anataka kuolewa kwa mahali kubwa sasa feminist gani wa hivyo?

Mtu anazalishwa na mme wa mtu sababu ya pesa(anatweza utu wake) halafu hapo hapo anasimama kwenye media kujinasibu yeye ni feminists na anaijua thamani yake...

Hakuna feminists wa kweli afrika hapa, hususani bongo
 
Back
Top Bottom