Yaani eti kuchangia huduma kwa ajili ya watoto alio wazaa sio jukumu lake ila jukumu lake ni kuhudumia ndugu zake ambao wengine ni watu wazima wenye uwezo wa kujitafutia kipato.Kwamba hapa unachomaanisha hasa ni kwamba pesa ya mwanamke huwa inaanza kutumika ndani ya familia pale mwanaume anapofika ukomo wa kuhudumia familia sio? Ila siku nyingine zote ambazo mwanaume huyo anawajibika ipasavyo pesa ya mwanamke yenyewe haitumiki kabisa na kama ataitumia basi ni kuwasaidia ndugu zake huko kwao sio?
Kwa hii parasitic mindset ndio maana huwa nasema nyie wanawake wasomi na wafanya kazi huwa ni hasara kubwa sana kwa mwanaume , yaani nyie huwa ni liability kwenye ndoa..!!
Binafsi huwa nawahurumia sana vijana wanaowaoa nyie wanawake wa kisasa kwa kuangalia kazi na elimu zenu.
Kama ni mama wa nyumbani jukumu lote la ustawi wa kiuchumi ni la mwanaume kama una kipato unawajibika kuchangia kulingana na scale ya kipato(sio hiyari, unawajibika).Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mchango wa mwanamke kifedha ndani ya ndoa. Wengine wanasema ni lazima awe na mchango ili ndoa iwe na usawa, wengine wanaamini kuwa majukumu ya kifedha ni jukumu la mwanaume, huku mwanamke akihusika zaidi na malezi na uangalizi wa familia.
Mimi binafsi naamini kuwa kila mtu ana majukumu yake ndani ya ndoa, na kusaidiana kifedha ni suala la hiari, si wajibu wa lazima kwa mwanamke. Ikiwa mke anafanya kazi na anataka kuchangia, ni sawa, lakini haipaswi kuwa sharti ili kuthibitisha thamani yake kwenye ndoa.
Nimekutana na watu wanaoamini kuwa mwanamke asiyesaidia kifedha ndani ya ndoa ni mzigo kwa mwanaume. Pia, wengine wanasema mwanaume asiyemudu majukumu ya kifamilia pekee hatakiwi kuoa.
Je, mna maoni gani kuhusu hili? Ni wajibu wa mwanamke kuchangia kifedha kwenye ndoa, au ni suala la hiari kulingana na uwezo wake?
Karibuni kwenye mjadala!
Ironically huyo mwanamke unayemuita goli kipa ndio mwanamke sahihi wa kuoa karbe hii, maana ana faida nyingi kuliko hasara... achana na hawa wasomi sijui wafanya kazi mnaokimbiza kuwaoa, wengi ni hasara kubwa sana mfano ni mleta mada na hawa wenzake wanaomsapoti.NB usioe Mwanamke goli kipa kwenye karne hii ya 21
Mimi binafsi naamini kuwa kila mtu ana majukumu yake ndani ya ndoa, na kusaidiana kifedha ni suala la hiari, si wajibu wa lazima kwa mwanamke. Ikiwa mke anafanya kazi na anataka kuchangia, ni sawa, lakini haipaswi kuwa sharti ili kuthibitisha thamani yake kwenye ndoa.
Mama Getrude Mongella aliwaingiza chaka pale Beijin. Aliwaubiria 50/50 kwa nadharia ya kuangazia mambo matamu tamu na yenye masilahi tu, lakini hakuwaambia au hata yeye mwenye hakujua kwamba huo usawa ikiletwa kwenye uhalisia itakua utakuja na wajibu sawa pamoja na kupoteza privileges zote wanazozipata kutoka kwa mwanaume.Kwamba hapa unachomaanisha hasa ni kwamba pesa ya mwanamke huwa inaanza kutumika ndani ya familia pale mwanaume anapofika ukomo wa kuhudumia familia sio? Ila siku nyingine zote ambazo mwanaume huyo anawajibika ipasavyo pesa ya mwanamke yenyewe haitumiki kabisa na kama ataitumia basi ni kuwasaidia ndugu zake huko kwao sio?
Kwa hii parasitic mindset ndio maana huwa nasema nyie wanawake wasomi na wafanya kazi huwa ni hasara kubwa sana kwa mwanaume , yaani nyie huwa ni liability kwenye ndoa..!!
Binafsi huwa nawahurumia sana vijana wanaowaoa nyie wanawake wa kisasa kwa kuangalia kazi na elimu zenu.
Sasa hata kama ukioa anaye ingiza kipato alafu kipato chake kisiwe na impact yeyote kwenye familia ana kwambia majukumu ya kifamilia sio jukumu lake si bora uoe huyo goli kipa.?NB usioe Mwanamke goli kipa kwenye karne hii ya 21
Kama hakuna ulazima hizo hela anazo tafuta anazifanyia kazi gani?
Mambo yao na hapa na pale...Kama hakuna ulazima hizo hela anazo tafuta anazifanyia kazi gani?
Sahihi kabisa, mwanamke mmoja ambae sio msomi/career woman ana mchango mkubwa kwenye ustawi wa jamii kuliko wanawake 100 wenye degreeIronically huyo mwanamke unayemuita goli kipa ndio mwanamke sahihi wa kuoa karbe hii, maana ana faida nyingi kuliko hasara... achana na hawa wasomi sijui wafanya kazi mnaokimbiza kuwaoa, wengi ni hasara kubwa sana mfano ni mleta mada na hawa wenzake wanaomsapoti.
Ndio maana nasema kuoa hawa wanawake wanaoitwa working class ladies ni hasara kubwa sana... mama wa nyumbani ana afadhari kubwa kuliko hawa.Ndio maana ndoa za siku hizi zimejaa migogoro kwa sababu watu wanaoana huku kila mmoja ana ndoto zake badala ya kujenga ndoto moja.
Mwanamke kama anaingiza kipato ni lazima kitumike kwenye maendeleo ya familia na sio mambo yake binafsi.
Ya kwamba ni sahihi mke wangu awe anatumia mshahara wake kuwalipia ada watoto wa dada yake ila mm nikimuambia tuchangie ada kwa ajili ya watoto wetu akatae na kusema eti ni jukumu langu tu?
Yaani watoto aliyo wazaa hana jukumu la kuwalipia ada ila anajukumu la kuwalipia ada watoto wa dada yake na si jukumu la dada yake na aliye mzalisha hao watoto?
Mmeoana kwa ajili ya kwenda kujenga familia moja sasa iweje kila mtu afanye mambo yake kibinafsi nini maana ya familia moja?
You are damn right comrade...Sahihi kabisa, mwanamke mmoja ambae sio msomi/career woman ana mchango mkubwa kwenye ustawi wa jamii kuliko wanawake 100 wenye degree
Nimeipenda hii 😂😂Kama mwanamke lazima achangie kifedha ili ndoa ifanye kazi, basi mume naye lazima ashiriki sawa kwenye majukumu ya nyumbani na malezi. Ndoa siyo biashara ya kugawana gharama, ni kushirikiana katika maisha kwa kila hali.
Kwa hiyo unataka kwa vile mimi ndugu yangu nimemsaidia laki 2 na kwa ndugu yako pia nifanya hivyo hivyo sio? Yaani nichukue laki 2 mfukoni mwangu nimpe ndugu yako wakati huyo ndugu yako ana ndugu zake ambapo wewe ni mmoja ya hao ndugu zake na unafanya kazi? Uwendowazimu siwezi kufanya hata kidogo.. na hii ni level ya juu kabisa ya toxic entitlement ya nyie wanawake kujiona mna mamlaka na pesa za waume zenu...Kwani wewe watoto wa dada zako huwa lipii ada? Mara nyingi migogoro huanza pale mme yupo busy na ndugu zake tu kwao laki 2 Kwa mke eldu 20 tena Kwa
Sasa kosa lake hapo liko wapi? Kwani ni kweli kwamba ameoa ukoo mzima wa nyumbani kwenu? Si amekuoa wewe tu, sasa kwanini umbebeshe mumeo majukumu ya huko nyumbani kwenu? Kaka zako hawapo? Na hao wazazi wako walikuwa wanafanya nini ujanani mwao mpaka leo waje wamtegemee mkwe wao ndio awatunze? Haya malawama pengine huwa ni ya kipuuzi sana, halafu mara nyingi wanawake wenye mentaliy hii ya kutaka mume awasaidie mpaka wazazi wake hawanaga shukrani... unaweza ukamsaidia yeye na hao wazazi wake ila siku mkitofautiana kidogo tu au ukasitisha msaada kwa sababu zilizoko nje ya uwezo wako utashangaa unaambiwa una roho mbaya au mchoyo, wanasahau kabisa uliyowahi kuwafanyia huko nyuma.mbinde, sasa unategemea yeye atoe %? Itakuwa vigumu sana, maisha ya ndoa mkae mpange hili liwe hivi hili likae vile, sasa mmoja alimwambia mkewe unaona wivu ninavyowapa pesa kwetu si ndugu zangu, wewe kaka yako ahudumie huko mama yako sijaoa ukoo Mimi, embu ona kauli kama hiyo mke afanye nini!
Anafanya hivi halafu siku ikitokea amepata changamoto yoyote ile kubwa kama kufukuzwa kazi au kuugua hadi kulazwa anakutegemea wewe mwanaume ndio uangaike nae eti ni jukumu lako kama mume, na wala haendi kwa huyo dada yake ambaye ndio anamjali nyakati za uzima.Sasa inashangaza kuona ww mwanamke watoto wana mahitaji fulani mwanaume ana kuambia sina pesa ebu na ww yatatue una kataa eti hilo siyo jukumu lako ila unaenda kutua matatizo ya watoto wa dada yako ambao nao wana baba yao mwenye jukumu la kutatua matatizo hayo.
Ndio maana mimi nasema hakuna mantiki yoyote ya kuoa mwanamke anayefanya kazi halafu pesa zake hazionekani kwenye ujenzi wa familia, eti zinaanza kutumika ndani ya familia siku wewe mwanaume ukishakufa....Yaani eti kuchangia huduma kwa ajili ya watoto alio wazaa sio jukumu lake ila jukumu lake ni kuhudumia ndugu zake ambao wengine ni watu wazima wenye uwezo wa kujitafutia kipato.
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuuliza, hivi jiulize tu, umeoa na mkeo anafanya kazi kama wewe na pengine usikute ana kipato kushinda wewe......kwanini asichangie kwenye matumizi ya hapo nyumbani kwenu? Kumbuka majukumu ya kulea wanenu na kujenga ni tenu wote, yeye asichanie hela zake zinakwenda waai ikiwa anafanya kazi? Achana na mwanamke mjinga asiye na mchango wowote katika maisha yako utakufa kibudu kijana.Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mchango wa mwanamke kifedha ndani ya ndoa. Wengine wanasema ni lazima awe na mchango ili ndoa iwe na usawa, wengine wanaamini kuwa majukumu ya kifedha ni jukumu la mwanaume, huku mwanamke akihusika zaidi na malezi na uangalizi wa familia.
Mimi binafsi naamini kuwa kila mtu ana majukumu yake ndani ya ndoa, na kusaidiana kifedha ni suala la hiari, si wajibu wa lazima kwa mwanamke. Ikiwa mke anafanya kazi na anataka kuchangia, ni sawa, lakini haipaswi kuwa sharti ili kuthibitisha thamani yake kwenye ndoa.
Nimekutana na watu wanaoamini kuwa mwanamke asiyesaidia kifedha ndani ya ndoa ni mzigo kwa mwanaume. Pia, wengine wanasema mwanaume asiyemudu majukumu ya kifamilia pekee hatakiwi kuoa.
Je, mna maoni gani kuhusu hili? Ni wajibu wa mwanamke kuchangia kifedha kwenye ndoa, au ni suala la hiari kulingana na uwezo wake?
Karibuni kwenye mjadala!
Yule mama wa kikerewe alienda Beijing kutimiza tu maagizo ya waliomtuma, kisha akarudi huku kuwaingiza chaka wanawake wenzie.Mama Getrude Mongella aliwaingiza chaka pale Beijin. Aliwaubiria 50/50 kwa nadharia ya kuangazia mambo matamu tamu na yenye masilahi tu, lakini hakuwaambia au hata yeye mwenye hakujua kwamba huo usawa ikiletwa kwenye uhalisia itakua utakuja na wajibu sawa pamoja na kupoteza privileges zote wanazozipata kutoka kwa mwanaume.
Feminist wa kiafrika wamebaki njia panda. Wanataka nafasi ya mwanaume lakini hawataki wajibu unaomfanya mwanaume apewe iyo nafasi, wanataka privilege ya mwanamke lakini hawataki wajibu unaomfanya mwanamke apewe iyo privilege