Nakubaliana na wewe. Ni muhimu ingawa huwa inaleta ugomvi endapo mwanaume akihitaji mke ashiriki.Kama mke ana uwezo wa fedha, kama vile kufanya biashara au kufanya kazi ya kuajiriwa, ni vizuri akishirikiana na mme wake katika maendeleo na matumizi ya nyumbani.
Safi Sana mkuu.Sio hiari ni wajibu. Kitendo cha kuwa na kipato maana yake unaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi, na utawajibika kulipia au kuchangia gharama zote za wewe kuishi.
Mimi ni housewife. Nafanya shughuli zote za nyumbani unazozijua wewe yeye jukumu lake ni kusupport financially. Akitaka na mimi nianze kutoa pesa zangu basi akubali na yeye kuosha vyombo. Ipo hivyo.Hahahaha 🤣 kama mmekubaliana ni sawa, pesa zenu mkazitumie kuhonga vijana wenye miguvu ya kiume.
Siwezinkuwalaza watoto njaa. Ninatoa pale inapobidi. Naelewa kwamba ipo siku anakwama lakini sio jukumu langu ni lake. as long as he is alive akatafute alete..nitatoa kwa siku chacheSiyo Sheria ni makubaliano.
Kwa tabia yako unaweza kuwalaza watoto wako njaa kisa bwana wako hana pesa huku wewe ukiwa na pesa.
Shikilia hapohapo young man. Mnaamka wote asubuhi mnatawanyika kwenye majukumu mnarudi mmechoka. Halafu mwanaume unahudumia kila kitu ikiwemo mwanamke mwenyewe huu unakuwa utumwa.Kama mwanamke anafanya kazi au biashara inayo muingizia kipato ni nirazima kipato chake kichangie maendeleo ya familia tofauti na hapo hiyo kazi na biashara hatoifanya na atakaa nyumbani kulea watoto kama hataki aondoke akaolewe na mwingine.
Mwanamke nikisha muoa ni lazima aende kwenye ndoto zangu sio aje kuwa mshindani wa ndoto zangu.
Alafu ww mwanamke kipato chako ambacho akichangii maendeleo ya familia kwa ajili future ya watoto wenu unakuwa unatafuta kipato cha nini hasa?
Kula Kwa jasho na kuzaa Kwa uchungu halikua jukumu Bali Laana baada ya dhambi!!Na aliyesema Adam utakula Kwa jasho na wewe Eva utazaa Kwa uchungu alimaanisha nini?
Hiyo ni mipango yako na mke wako. Mimi wa kwangu anafanya kila kitu. Nasaidia pale inabidi, ni kwa hiari yangu na si lazima. Naweza nikauchuna hata kama pesa ninayo,atapambana atekeleze. Kama ambavyo mimi nafanya shughuli zote za nyumbani na yeye kaweka miguu juu.Sio hiari ni wajibu. Kitendo cha kuwa na kipato maana yake unaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi, na utawajibika kulipia au kuchangia gharama zote za wewe kuishi.
Una kipato?Mimi ni housewife. Nafanya shughuli zote za nyumbani unazozijua wewe yeye jukumu lake ni kusupport financially. Akitaka na mimi nianze kutoa pesa zangu basi akubali na yeye kuosha vyombo. Ipo hivyo.
Halafu pesa unazitafuta ukiwa wapi? Na matumizi ya pato lako ni kwenye nini?Mimi ni housewife. Nafanya shughuli zote za nyumbani unazozijua wewe yeye jukumu lake ni kusupport financially. Akitaka na mimi nianze kutoa pesa zangu basi akubali na yeye kuosha vyombo. Ipo hivyo.
Pesa unazopata unazifanyia nini.Siwezinkuwalaza watoto njaa. Ninatoa pale inapobidi. Naelewa kwamba ipo siku anakwama lakini sio jukumu langu ni lake. as long as he is alive akatafute alete..nitatoa kwa siku chache
Atupe jibu letu.Halafu pesa unazitafuta ukiwa wapi? Na matumizi ya pato lako ni kwenye nini?
Swali zuri.Una kipato?
No kwa huyu hilo haiwezekanii atatoa...!!Kama anajielewa ni afadhali siyo dude Lina hela alafu siku wewe kukosea hela mnalala na njaa.
Maisha yako na mume wako sio muongozo wa jamii. Ukiwa na ajira unaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi na utawajibika na gharama zote zinazokuhusu.Hiyo ni mipango yako na mke wako. Mimi wa kwangu anafanya kila kitu. Nasaidia pale inabidi, ni kwa hiari yangu na si lazima. Naweza nikauchuna hata kama pesa ninayo,atapambana atekeleze. Kama ambavyo mimi nafanya shughuli zote za nyumbani na yeye kaweka miguu juu.
Nafanyia mambo binafsi ambayo yeye alishindwa kuyatekeleza. Na zingine nanunua mahitaji ya nyumbani hasa ya jikoni.Pesa unazopata unazifanyia nini.
Na bibi yako aliekua analima pamba na migomba plus kukamua maziwa akiuza mazao hayo enzi hizo Hadi akamzaa baba Yako akaja akakuzaa wewe na yeye hakua na ndoa!!?yaani usomi huu na ajira hizi ndio ziwatofautishe na bibi zetu enzi zile!!?Wanawake wenye vipato huwa hawana ndoa,bali wengi wao ni ma single mama,mwanamke wajibu wake ni kulea watoto na mwanaume ni kutafuta pesa kwa ajiri ya familia,ukimkuta mwanamke ana majukumu ya kiume katika familia basi hakuna ndoa hapo.
Vema! Unategemea uzifanyie nini pesa unazozipata.Swali zuri.
Sina mshahara lakini nina shughuli binasfi kuna muda sina kabisa na kuna muda napata pesa ya maana.
Ni kweli sio muongozo.Maisha yako na mume wako sio muongozo wa jamii. Ukiwa na ajira unaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi na utawajibika na gharama zote zinazokuhusu.
Hongera kwa kuwa mke nzuri, wewe ndo type ya mwanamke ninayemtaka.Nafanyia mambo binafsi ambayo yeye alishindwa kuyatekeleza. Na zingine nanunua mahitaji ya nyumbani hasa ya jikoni.
Nafanyia mambo yangu kwanza, zinazobaki nachangia kwenye familiaVema! Unategemea uzifanyie nini pesa unazozipata.