Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kumpa hela mwanaume kwa ajili ya matumizi pale inapobidi sio shida.We jaribu hata siku moja kuomba hela ya mwanamke ukanunue shati la sh 10000 uone moto utakao waka hapo. Ila wao ni sawa kukuomba 50,000 akanunue nguo ya kuvaa kwenye send off ya rafiki yake.
Kidume Mario ni hatari kwa afya ya Familia.Kubet kungekuwa rahisi hivyo, unafikiri kuna mwanaume angekuwa analalamika ugumu wa maisha ?
Mlivyo wagumu kutoa hela zenu sijui wenzetu huwa mnazitoa wapi ? Mwanauke akikuomba 5,000 tu utajiuliza maswali 200. Huko kwenye mahari ni mbali sana.Kumpa hela mwanaume kwa ajili ya matumizi pale inapobidi sio shida.
Shida kutoa mahari,,lol hapana kwa kweli.
Ni kweli ni hatari sana kwa mwanaume kuruhusu mwanamke ndo awe mtoaji pekee. Mwanaume utakosa sauti na hata kupoteza uanaume wako.Kidume Mario ni hatari kwa afya ya Familia.
Hapana hiyo mkuu, lete hata kuku tu kama umeshindwa kabisaa[emoji3]Usifanye hivyo asee
Itakuwa uliyekutana nae wewe tu.Mlivyo wagumu kutoa hela zenu sijui wenzetu huwa mnazitoa wapi ? Mwanauke akikuomba 5,000 tu utajiuliza maswali 200. Huko kwenye mahari ni mbali sana.
Mwanaume kaliyekamilika hawezi kukubali kulipiwa mahari ili ndoa ipite hata kama hana uwezo,wengi wanaume wa hivyo ni Mario na wanakuwa na dharau kiwango kikubwaHehehehhe. Ukipenda unakua kipofu. Kuna mtumishi mwenzangu yeye alimpaga boy wake hela akaenda kumtolea mahari. Ila sasa boy anavyomdharau, kinyesi kuna uafadhari.
We jaribu hata siku moja kuomba hela ya mwanamke ukanunue shati la sh 10000 uone moto utakao waka hapo. Ila wao ni sawa kukuomba 50,000 akanunue nguo ya kuvaa kwenye send off ya rafiki yake.
Mwanaume kupewa mahari Ni umama..
Mwanaume wa hivi Mimi simtaki kwa kweli,,,apite tu pembeni,,yaani ameshindwa hata kuzibua vyoo au kuzungusha karanga??
Huu sio upendo,Ni ujinga
I'll never do such kind of stupidity I swear.Ngoja ukamatike utayasahau yote
Ndo kupenda uko mkuu...wanawake wakipenda wanapenda haswa...yani apo haoni ata kama anateseka , anaona tu heriDunia Ina mambo aisee [emoji134][emoji134].
Kwenda kuolewa na mtu anayekaa tu nyumbani Kama mgonjwa,analishwa na wazazi[emoji134][emoji134]!!
Yaani huyu dada nae akaenda kutegesha mimba hapo???
Wanaume kweli wajifunze kutafuta.
Kama mtu hawez tafuta hela ya mahari,, familia ataiwezea wapi kuitunza??
Hivi kuna ulazima wa MAHARI ? Kwa nini wazee wenu wasitugaie nyie bure ukisema wamewalelea hadi hapo mlipofika hata mwanaume kalelewa na wazazi wake na bado anaendelee kukulelea wewe na watoto mtakaowapataKama mahari inamshindwa Mwanaume kuhudumia Familia ataweza kweli,mahali sio lazima iwe million mwanamke unaangalia uwezo wa mpenzi yaani hata kubeti ili apate mahali kutamshindwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huko Ni kupenda kijinga.Ndo kupenda uko mkuu...wanawake wakipenda wanapenda haswa...yani apo haoni ata kama anateseka , anaona tu heri
Maana wengi wanajilipia Mara nyingi wazazi wanataja kiwango ambacho ni too much mnoo mlengwa anashindwa kutoaI'll never do such kind of stupidity I swear.