Walawi gani wafanyabiashara wanamiliki Hotel na wengine wanasiasa wabunge.Maandiko yanasema hivyo nakubali. Swali: wana wa walawi wa sasa ni sawa na wale wa zamani? Makuhani wa sasa ni sawa na wale wa zamani? Waangalizi wa hekalu wa sasa ni sawa na wale wa zamani? Hawa wa sasa mbona wanapewa urithi wa ardhi na ''wanatafuna'' kondoo huku wakijirekodi na simu?
Makanisa ya leo wanamiliki biashara.Huu ndio msingi halisi wa zaka,lengo ni kuhudumia waliokuwa wanalilinda na kulisafisha hekalu ambao ni wana wa lawi.
Wote ni watafutaji pesa
sasa walawi wanahusiana vipi na mimi msandawe?
Tena bora umetupa elimu nzuri.
Fungu la kumi sio sadaka ya agano jipya ni torati ile sasa kama unafuata torati ni wewe lakini nakuambia hakuna awezaye kuifuata torati kwa 100% umewahi kusoma kumb 14:22 mpaka inapoishia hiyo sura ndo utaelewa kuwa mnapigwa
Kwahiyo zaka mnayotoa inafanya uinjilishaji na utume? Wapi umeona hii
Wasichojua watu ni kuwa walawi hawapo kwa sasa maana lawi ni kabila lilitengwa maalum kwa utumishi hawakuwa wanamiliki chochote kazi yao ilikuwa hiyo tu sasa hawa wachungaji wana majumba magari mashamba nk wanakuwaje walawi
Mimi zaka sitoi so sijuiNipe mchanganuo wa zaka na sadaka katika kanisa lenu?
Amelaaniwa yule aliye chini ya torati
Hakuna Walawi bongo.
Si msikitini wala kanisani,Kwanini ipelekwe huko na wasipewe ambao tunadhani wanahitaji
Kumpa mgonjwa akatibiwa nakupeleka msikitini kipi bora??
Hapa kuna walakin
Walawi gani wafanyabiashara wanamiliki Hotel na wengine wanasiasa wabunge.
Makanisa ya leo wanamiliki biashara.
Peleka pale ambapo huwa unapoenda kuombewa mambo yako yakienda kombo...
Kuliko kupeleka kwenge dhehebu bora kwa yatima
Maana halitamfikia Mungu ila litaingia kwenye miradi, na mifuko ya watu.
Alioaswa achukue mchungaji.