HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Acha uongo na uhuni,hayo ni maneno tu na hadithi za wahuni ili kukuremba wewe mwafrika mjinga usiyejitambua.Kama huwelewi maandiko omba uelekezwe,fungu la 10 lilitolewa maalumu kwa wana walawi waliokua ni makuhani na waangalizi wa hekalu,ambao hata katika urithi wa ardhi hawakupewa,hivyo ili waishi na kuendelea kuhudumia hekalu fungu la 10 lilipelekwa hekaluni
Hayo mahekalu yaliyokuwa AFRIKA yanalindwa yako wapi kwa sasa?kwanini ndiyo yanajengwa zaidi na WAAFRIKA kwa sasa si wamegundua utamu wake?
We uliaminishwa ujinga kupitia waasisi wa familia yako kaa na ujinga wenu siyo kuwaaminisha huo ujinga WAAFRIKA wa sasa.
Hayo mahekalu yalilindwa AFRIKA tu asia na ulaya hapana hayakuweko?