jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kuikamilisha maana yake TO PUT AN END OF. Kuweka NUKTA.. Biblia inasema Kristo ni MWISHO wa sheria. Wakristo hawapo chini ya Torati..
Pili, Kama mnafuata Torati kwa nini hamuifuati yote mnachagua tu fungi la kumi?
Tatu, wewe ni myahudi? Kabila lako ni lipi kati ya yale 12?
Mchungaji wako ni Kuhani? Ni kuhani wa kabila gani? Ni wapi Mungu amemuagiza mchungaji wako apokee zaka?
Hakuna sehemu yesu amezungumxia Zaka mkuu acha kuongopa...
Hivi huwa hamuoni Aibu kuongopa kwa ajiki ya maslahi yenu binafsi
Ni wapi uliwahi kuagizwa wewe hapo upeleke fungu la kumi kanisani?
Ni wapi mchungaji wako amewahi kuagizwa apogee fungu la kumi?
Ni sawa yatima au mjane anaweza kula tith
Mchungaji ni mchungaji wa Kondoo wa Bwana. Sio Kuhani.
Any other question?
Huo ni ulaji wa kanisani, usiwe mjinga.Je, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?
Naomba hekima zenu juu ya hili.
Ukishataja tu kitabu cha yoeli ni kutukuza ujinga na upumbavu.
Hakuna fungu la kumi la mali uliyochuma bali ni UNYONYAJI kama unyonyaji mwingine walioanzisha wakoloni ili kujiongezea mwanya wa kuwanyonya WAAFRIKA.
BIBLIA ni kitabu cha mwongozo wa UKOLONI kilichosimamia kuwaibia WAAFRIKA.
Pesa/mali zilizopokelewa kama fungu la 10 zilitumika pia kuendeleza ukoloni kupitia makanisani na nyingine kupelekwa ulaya.
Swali langu ni kitaka kujua hao wachungaji na maaskofu wanaojilimbikizia mali wanazipata wapi na je wanatoa fungu la 10 lao wapi?
WAAFRIKA acheni ujinga toa kwa WAHITAJI wajane,maskini,wagojwa,wagane,machokolaa,wafungwa,wazee,nk utapata baraka sana
MUNGU hawezi kumpa MUHITAJI WAKE pesa/mali halafu amtoze kodi/riba ,HAKUNA kitu kama hicho kwani anatambua hali zao jawana kitu hivyo hawezi kuchukua chochote kutoka ktk alichowabari.
Naimani wewe ni mmoja wa vibaka mnaowaibia WAHITAJI kwa kigezo cha SADAKA,ZAKA na FUNGU la 10 acheni hiyo tabia na fanyeni kazi mjipatie riziki kihalali siyo kuwaibia wahitaji.
MUNGU wa kweli alishabariki kila kazi ya mikono yetu hivyo haitaji chochote kutoka kwetu zaidi ya sisi kumuomba na yeye kutupatia.
Watu weupe wamekuwa wakitoa misaada sana KWA WAHITAJI hasa kipindi cha majanga au magonjwa kuliko WAAFRIKA,kwanini wasitoe fungu la 10?
Ni wakati sasa fungu la 10,sadaka na zaka zirudi kwa WAHITAJI siyo kuingia kwenye matumbo ya wachungaji na maaskofu wanao jimilikisha mali za MASKINI kwa visingizio na familia zao.
Sio lazima ukatoe kanisani, saidia unapoona panahitaji msaada.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Acha uongo na uhuni,hayo ni maneno tu na hadithi za wahuni ili kukuremba wewe mwafrika mjinga usiyejitambua.
Hayo mahekalu yaliyokuwa AFRIKA yanalindwa yako wapi kwa sasa?kwanini ndiyo yanajengwa zaidi na WAAFRIKA kwa sasa si wamegundua utamu wake?
We uliaminishwa ujinga kupitia waasisi wa familia yako kaa na ujinga wenu siyo kuwaaminisha huo ujinga WAAFRIKA wa sasa.
Hayo mahekalu yalilindwa AFRIKA tu asia na ulaya hapana hayakuweko?
Waelekeze mkuu waambie hata kina paulo,petro na wengine hawakuwahi kuwa makuhani na hawajawahi kuomba fungu la kumi imekuaje wao waombe
Sasa kwani papa hanugaiki na hilo fungu la kumi?acha ushabiki wa dini za kuambukizwa wewe ndiyo kaanzie uzi wako na papa wako mkajadiliane USHOGAJI na kuusapoti.
Mtu yeyote aliye chini ya papa kwa sasa anasapoti USHOGA hivyo ni shoga wa badae.
TUSIMAMIE UKWELI:-kiongozi wa familia akiidhinisha ushoga na wanafamilia wakakaa kimya si wamekubali ushoga, siyo mashoga?
Ni sawa kwani wa zamani walikuwa WAZUNGU na wa sasa ni WAAFRIKA.
Hakuna raia mzungu aliyetoa zaka kwa makuhani,manabii,nk hapo zamani bali walianziasha mfumo huu Afrika ili kuwaibia kupitia ZAKA na SADAKA.
Hadi leo hakuna mzungu anatoa fungu la 10 kanisani kama yupo basi ANAPOKEA kutoka kwa waafrikana ambao bado ni wajinga.
Bill gate na wenzake wanatoa misaada kwa WAHIYAJI siyo FUNGU LA 10 kwa matapeli wa KIAFRIKA.
Ulishaona matajiri au foundation kama Bill Gate au Mask wakitoa misaada i.e.sadaka,zaka,nk makanisani?kwani wao hawataki kwenda mbinguni?
Wapewe ardhi ipi hawa wajinga?wakoloni wamekuja Afrika wakapora ardhi yote na kujenga makanisa bafala ya viwanda vikubwa?
Hivi kuliwahi kutokea KUHANI MWAFRIKA au MUASIA?
Fungu la 10 ni fungu la Imani,,hivyo ukitaka kuona mafanikio Kwa kusudio la fungu la 10 ni vyema ukaandaa chakula kilichotukuka hrf unawaalika watoto wadogo na wazee ambao hawajiwezi Kisha mnakula pamoja kwakuongozwa na sala kulingana na Iman zao,, Mzee wangu ukifanya hivyo hata Kila mwez kulingana na uwezo wako ipo siku utakuja kutoa ushuhuda hapa!
yule kijana alimwambia yesu nifanye nini nipate kuurithi ufalme wa mbinguni? yesu akamwambia wazijua amri na kuzishika? Ndio! Ndipo akamwambia umepungukiwa na kimoja,kauze ulichonacho wagawie maskini ! Nahitimisha ivi hakuna sharti la kutoa fungu la kumi likawekewa na ahadi ya kuurithi ufalme wa mungu. nasubiri andiko lenye ahadi ya kwenda mbinguni...kwako studio
Sasa kwanini Sisi ni Walawi ?
Hili ndio suluhisho la kila baada ya nyumba kumi kuna kanisa
Kama kuna Deni ambalo Mungu ni lazima akulipe, tena una haki ya kudai pale ukifikwa na ya Dunia!
Basi ni kwenda kutia Misaada kwa Yatima, Wajane na wasio jiweza, iwe kwa Moyo mmoja, bila Makamera wala Matangazo!
Na ukianza kudai.... Hutumii nguvu nyingi....!
Unamwambia tu Mungu.... Basi naomba ukakumbuke Sadaka zangu nilizotoa kwa Yatima, Wajane na wasio jiweza.....! Mungu atalipa hilo deni.
Kuna tofauti ya zaka na sadaka
Uko sahihi kiongozi wangu