Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

Yaan wewe umeoa??? mwee mkeo mbinguni moja kwa moja [emoji23]
Ah mke wangu kwa kweli anavumilia mengi angekuwa kama wanawake wa jf mbona tulishaacha mwaka wa kwanza tuu.
Kweli nilimuoa breki pumbuz lakini ni mwanamke ambaye she wants to be a wife and a mother. Na ana roho nzuri sema bwana kwenye mambo ya hela loh! Balaaa. Cha msingi anilelee watoto wangu vizuri becoz she is a gud mother, the rest can be forgiven.
 
Hata hao wako mbali,mama mkwe alichoka kusubiri mjukuu akamwambia mwanae nitumie nauli nije
Mama mkwe anajuaje kama mwanaye ndiye mwenye shida? Kumpiga makofi amekosea japo mama mkwe hakutumia busara kufoka foka, inawezekana mwanaye ndiye hana uwezo wa kuzalisha
 
Amiin❤️
 
Mama mkwe anajuaje kama mwanaye ndiye mwenye shida? Kumpiga makofi amekosea japo mama mkwe hakutumia busara kufoka foka, inawezekana mwanaye ndiye hana uwezo wa kuzalisha
🤣wanaelewaga Hilo Kwan🙌
 
Aah wanawake sisi Mungu atusaidie tu. Ila upuuzi wa kusumbua mtu eti kisa hazai huo ndio siwezi kumfanyia mtoto wa mtu sababu kuzaa ni majaaliwa. Vipi kama mwanae ndio angekua wa kike angeshauri aachike? Upuuzi tu wa huyo mama.
Point🤝
 
Ukiona kwenye ndoa flani hawapati mtoto na BABA hana mtoto hata mmoja wa nje bhasi jua MWANAUME NDO MWENYE MATATIZO. Wanaume hatunaga uvumilivu kabisa aiseee
 
Ni halali kumpiga makofi mama yako mzazi? Tuanzie hapo kwanza
 
Ungejiita Queen bee kulikuwa na shida gan mpaka kujiita Beesmom we mwalimu wa uyole!
 
Wee muache awapee mbususu hao tall dark and handsome, kufunga na kufumbua 35 hii hapa. Mwenyewe ataanza kusema mzabzab nioe basi mke wa pili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mke wa pili? Wacha niendelee kubaki mwenyewe.
 
Mimi kipindi hicho nipo ndoani, mama mkwe aliniambia hata asingekuoa wewe bado angepata mwingine wa kumwoa. Means Mimi nisijifeel so special kuolewa na mwanae😥😏
Niliwahi kutamkiwa hivyo,, jibu nililompa hatosahau kamwe, na liliweka heshima kati yetu, nyambaf
 
Wanaume wanavyong'aka kupigwa mama zao, ilhali wao huwapiga mama za watoto wao ndo maana mwanaume hathaminiki na kuvuja jasho kooote ila mwisho wa siku anaimbwa nani Kama mama,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…