Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Nothingness inajithibitishaje yenyewe?

Unajuaje ipo na si hadithi tu tunajipigia?
 
Nothingness inajithibitishaje yenyewe?

Unajuaje ipo na si hadithi tu tunajipigia?
Inajithibitisha pale mara tu unapoikubali yenyewe kama yenyewe by definition hapo hapo inakuwa imeshathibitika kiotomatiki.

Ukishaanza kutafuta ushahidi ina maana tayari unakuwa umeshamua tu kuikataa yenyewe by definition hapohapo👊
 
[emoji3][emoji3] ndo yale yale mtu hali kitimoto ila mchuzi wake anakunywa.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Pure philosophy. Wa kuelekea na aelewe.
 
Kuzaliwa na kufa

Wakifa binadam muda huo,masaa/dk/sek hiyo hiyo kuna watu wanazaliwa
Wakizaliwa binadam muda huo/masaa/dk/sek kuna wadam wanakufa

Ova
 
Nimegundua. Kiranga ni mbishi tu.
1. Hujaeleza kitu gani kimekufanya ugundue hilo. Wewe hujui hata ukweli kwamba kila unapoweka dai, unatakiwa kuweka reasoning na justification. Umeweka dai tu, bila reasoning, bila justification. Wewe ni mjinga ama ni mzembe tu?

2. Hujaeleza tofauti ya "mbishi" na "mbishi tu" tuchambue kwa kina tija ya "mbishi" na "mbishi tu".

3. Siwezi hata kukubishia kwa kina, kwa sababu hujaeleza sababu zako za kuandika ulivyoandika.

4. Wewe ni mbaya zaidi ya "mbishi tu", kwa sababu huelezi hata sababu zako za kusema fulani ni "mbishi tu" na hivyo hatuwezi kujua kwamba fulani ni "mbishi tu" kweli, ama wewe ndiye hujamuelewa tu na ubishi wake si "ubishi tu", bali ni "ubishi wa mantiki".

Bila kukataa kwamba "Kiranga ni mbishi tu":-

Tafadhali nyambulisha shambilio lako kwa hoja, kwa reasoning na justification, kuanzia namba 1 mpaka 4.

Ili tujue kama Kiranga ni mbishi tu kweli, ama wewe ndiye mbishi tu kwa kumbishia Kiranga bila uelewa sahihi.

Ironically, unaandika umegundua Kiranga ni mbishi tu, bila hoja, bila justification, bila reasoning, jambo ambalo ni "ubishi tu".

Unamshambulia Kiranga kwamba ni "mbishi tu" (bila mfano, bila mantiki, bila justification, bila sababau), kwa kutumia ubishi tu.

Contradiction.

Siku nyingine, ukitaka kumshambulia mtu kwamba ni "mbishi tu", wewe mwenyewe usitumie ubishi tu!
 
Unaweza kuandika maneno mengi sana haiondoi kuwa unaubishi ambao hauna hata maana.
Jana nilikuuliza swali katika uzi huu #94 ukapotezea tu.

Hupendi kujadiliana na watu GT. Sasa hebu jibu hilo swali kwanza.
 
Maji mbabe wake moto au jokofu

Ukiamua unachesha chai au unayagandisha...

Yangekuwa yamekamilika yangetulia tu kama yalivo

Kila kitu hapa duniani hakipo kamili

Iwe viumbe hai na visikuhai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…