Nimegundua.
Kiranga ni mbishi tu.
1. Hujaeleza kitu gani kimekufanya ugundue hilo. Wewe hujui hata ukweli kwamba kila unapoweka dai, unatakiwa kuweka reasoning na justification. Umeweka dai tu, bila reasoning, bila justification. Wewe ni mjinga ama ni mzembe tu?
2. Hujaeleza tofauti ya "mbishi" na "mbishi tu" tuchambue kwa kina tija ya "mbishi" na "mbishi tu".
3. Siwezi hata kukubishia kwa kina, kwa sababu hujaeleza sababu zako za kuandika ulivyoandika.
4. Wewe ni mbaya zaidi ya "mbishi tu", kwa sababu huelezi hata sababu zako za kusema fulani ni "mbishi tu" na hivyo hatuwezi kujua kwamba fulani ni "mbishi tu" kweli, ama wewe ndiye hujamuelewa tu na ubishi wake si "ubishi tu", bali ni "ubishi wa mantiki".
Bila kukataa kwamba "Kiranga ni mbishi tu":-
Tafadhali nyambulisha shambilio lako kwa hoja, kwa reasoning na justification, kuanzia namba 1 mpaka 4.
Ili tujue kama Kiranga ni mbishi tu kweli, ama wewe ndiye mbishi tu kwa kumbishia Kiranga bila uelewa sahihi.
Ironically, unaandika umegundua Kiranga ni mbishi tu, bila hoja, bila justification, bila reasoning, jambo ambalo ni "ubishi tu".
Unamshambulia Kiranga kwamba ni "mbishi tu" (bila mfano, bila mantiki, bila justification, bila sababau), kwa kutumia ubishi tu.
Contradiction.
Siku nyingine, ukitaka kumshambulia mtu kwamba ni "mbishi tu", wewe mwenyewe usitumie ubishi tu!