Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

NI dhana, na kila kitu kina dhana yake hata kiti au kichwa.

Kuwa dhana haizuii kuwepo kiuhalisia.

Kuna vimifano vya mabua umeweka hapo mfano pembetatu duara. Hiyo kiuhalisia huwezi kuiweka ukaipima ikiwa hautauongeza uwanda wa kipimo chenyewe (beyond euclidian geometry)

Lakini kitu kama nothingness ni dhana ambayo imeshajithibitisha yenyewe. Kwanza hata kuipima ni ilrelevant.

Ukisema leta ishahidi wake unakuta tayari ndio upo. Yenyewe ipo tofauti na hao wengine kwa sababu kwa tafsiri yake(by definitions) tu it already IS IT.
Nothingness inajithibitishaje yenyewe?

Unajuaje ipo na si hadithi tu tunajipigia?
 
Nothingness inajithibitishaje yenyewe?

Unajuaje ipo na si hadithi tu tunajipigia?
Inajithibitisha pale mara tu unapoikubali yenyewe kama yenyewe by definition hapo hapo inakuwa imeshathibitika kiotomatiki.

Ukishaanza kutafuta ushahidi ina maana tayari unakuwa umeshamua tu kuikataa yenyewe by definition hapohapo👊
 
Unaji contradict bila kujua kwamba unaji contradict.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.

Ningekuona wa maana kama ungeanzisha internet yako ya uchawi ya mabua, halafu ukaisema internet ya sayansi.

Sasa hivi hapa ni kama unayakojolea maji na kusema haya machafu siyataki, halafu unayanywa hayo hayo.

Ukitaka kuichamba sayansi, toka nje ya sayansi uiseme tujue unamaanisha unayoyasema.

Sasa hivi unaonekana kama mtu uliyechanganyikiwa tu.

Hapo hapo unaitumia sayansi, hapo hapo unaisema vibaya sayansi.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa!
[emoji3][emoji3] ndo yale yale mtu hali kitimoto ila mchuzi wake anakunywa.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Je, mapungufu yana upungufu katika upungufu wake? Kwa sababu mapungufu hayajakamilika?

Hivyo, je, kwa kuwa hayajakamilika katika kukamilika, yamekamilika katika upungufu wake?

Au, hayajakamilika hata kwenye upungufu, kwa kuwa yangekamilika kwenye upungufu yasingekuwapo na yasingejulikana kuwa ni mapungufu?

Ukifikiria sana utaona, kitu ambacho hakina mapungufu hakipo. Kipo, lakini, kuwapo kwake kuna maana hakipo.

Kitu hicho ni nothingness, nothingness ni kutokuwepo chochote, hata vacuum in space si nothingness, kwa sababu ina space. Nothingness yenyewe hata space haina. Haina space, haipo kwenye time. Haipo. Inafikirika tu.

Hiyo nothingness haipo. Kwa kuwa kuwapo kwake ni kutokuwapo.Ikiweza kuwapo nje ya hapo tu, inakuwa si nothingness tena.

Hiyo dhana ya nothingness, kinadharia, ndiyo haina makosa. Kwa sababu ina lowet entropy, hauwezi kupunguza entropy hapo. Huwezi kuharibu, ili uharibu, inabidi uitoe kwenye nothingness.

Hiyo nothingness ndiyo haina mapungufu.

Kitabu cha kusoma ni "Why Does The World Exist: An Existential Detective Story" cha Jim Holt.
Pure philosophy. Wa kuelekea na aelewe.
 
Kuzaliwa na kufa

Wakifa binadam muda huo,masaa/dk/sek hiyo hiyo kuna watu wanazaliwa
Wakizaliwa binadam muda huo/masaa/dk/sek kuna wadam wanakufa

Ova
 
Nimegundua. Kiranga ni mbishi tu.
1. Hujaeleza kitu gani kimekufanya ugundue hilo. Wewe hujui hata ukweli kwamba kila unapoweka dai, unatakiwa kuweka reasoning na justification. Umeweka dai tu, bila reasoning, bila justification. Wewe ni mjinga ama ni mzembe tu?

2. Hujaeleza tofauti ya "mbishi" na "mbishi tu" tuchambue kwa kina tija ya "mbishi" na "mbishi tu".

3. Siwezi hata kukubishia kwa kina, kwa sababu hujaeleza sababu zako za kuandika ulivyoandika.

4. Wewe ni mbaya zaidi ya "mbishi tu", kwa sababu huelezi hata sababu zako za kusema fulani ni "mbishi tu" na hivyo hatuwezi kujua kwamba fulani ni "mbishi tu" kweli, ama wewe ndiye hujamuelewa tu na ubishi wake si "ubishi tu", bali ni "ubishi wa mantiki".

Bila kukataa kwamba "Kiranga ni mbishi tu":-

Tafadhali nyambulisha shambilio lako kwa hoja, kwa reasoning na justification, kuanzia namba 1 mpaka 4.

Ili tujue kama Kiranga ni mbishi tu kweli, ama wewe ndiye mbishi tu kwa kumbishia Kiranga bila uelewa sahihi.

Ironically, unaandika umegundua Kiranga ni mbishi tu, bila hoja, bila justification, bila reasoning, jambo ambalo ni "ubishi tu".

Unamshambulia Kiranga kwamba ni "mbishi tu" (bila mfano, bila mantiki, bila justification, bila sababau), kwa kutumia ubishi tu.

Contradiction.

Siku nyingine, ukitaka kumshambulia mtu kwamba ni "mbishi tu", wewe mwenyewe usitumie ubishi tu!
 
Unaweza kuandika maneno mengi sana haiondoi kuwa unaubishi ambao hauna hata maana.
Jana nilikuuliza swali katika uzi huu #94 ukapotezea tu.

Hupendi kujadiliana na watu GT. Sasa hebu jibu hilo swali kwanza.
 
Maji mbabe wake moto au jokofu

Ukiamua unachesha chai au unayagandisha...

Yangekuwa yamekamilika yangetulia tu kama yalivo

Kila kitu hapa duniani hakipo kamili

Iwe viumbe hai na visikuhai
 
Back
Top Bottom