Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Naona tunarudi tena tulipotoka.Sijasema kasoro ni nothingness.
Ninasema kitu pekee kinachoweza kuwa hakina kasoro, katika dhana (maana hakipo katika uhalisia) ni nothingness.
Nothingness haina kasoro.
Kwa sababu, ili iwe na kasoro, inabidi iwepo.
Na yenyewe haipo.
Hivyo haiwezi kuwa na kasoro.
Halafu katika fizikia, nothingness has the lowest possible entropy. Katika fizikia kasoro inaendana na kuongezeka kwa entropy (second law of thermodynamics).
Hivyo lowest possible entropy = nothingness = perfection.
Lakini pia, utajuaje kuna vitu havina mapungufu ila vipo wakati huwezi kuviona wala kuvipima?Yeah ila yatakuwa ni maono yako tu ila si uhalisia wake
Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.
Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.
Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa mapungufu
Kama ni kazi za sanaa, zote zina kasoro.
Hv wanatumia bot?Inapiga ban hata wasio na hatia
Kasoro ni kukosa efficiency 100%, kukosa stability 100%. Katika fizikia hii ni sawa na high entropy.Naona tunarudi tena tulipotoka.
Kasoro ni nini?
Lakini na wew pia yakupasa ujiulize iweje wew ulie na mapungufu uweze kukijua kitu kisicho na mapungufu?! Hiyo ni ishara ya u-arrogantLakini pia, utajuaje kuna vitu havina mapungufu ila vipo wakati huwezi kuviona wala kuvipima?
Yani mimi nikiamua kukudanganya tu kwamba mimi sina mapungufu, ila wewe huwezi kujua hilo, utajuaje kwamba nasema ukweli au nadanganya?
Lakini na wew pia yakupasa ujiulize iweje wew ulie na mapungufu uweze kukijua kitu kisicho na mapungufu?! Hiyo ni ishara ya u-arrogant
(Ikiwa mwenyew umeprove una mapungufu)
Kuna vitu vipo katika ukamilifu wake ila udhaifu (upungufu) wako ndio una be proved kwa kutouona ukamilifu wake
Nyingine zimepinda mkuu.Mbususu tu, ndio maana hata watu wakiugua wanarudi Tena hapohapo
Kwanza Kiranga mimi ni mwanafizikia kindaki ndakiKasoro ni kukosa efficiency 100%, kukosa stability 100%. Katika fizikia hii ni sawa na high entropy.
Gari linalotakiwa kuwa na matairi manne, likiwa na matairi matatu tu, badala ya manne, lina kasoro. Halina efficiency ya ku move kama gari kenye matairi manne, halina stability ya ku move kama gari lenye matairi manne.
Nothingness has the lowest possible entropy, therefore it is perfection, it has total efficiency in being nothingness, as well as total stability. If it deviate from that, it is no longer nothingness.
Everything else is flawed, by time, by space, by the second law of thermodynamics, by entropy, by quantum fluctuation, by the expansion of the universe, therefore, it can't be perfect.
Uislam una mapungufu gani!?Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.
Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.
Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa mapungufu
Kama ni kazi za sanaa, zote zina kasoro.
Unaelekea peponi ndugu yangu.Uislam una mapungufu gani!?
Usiku kwa wazungu siyo Giza Wala asubuhi siyo mawio,wao saa SITA na dakika moja usiku ni asubuhiMuda nao unamapungufu! Sio kila kona ya dunia muda ni sahihi. Kwa Uingereza naskia kuna wakati inabidi kurudisha saa moja nyuma ili usiku unapoingia uendane na muda/saa.
Kwa mfano unakuta saa mbili usiku lakini bado kuna mwanga wa kutosha tu.
Sijasema kasoro ni nothingness.
Ninasema kitu pekee kinachoweza kuwa hakina kasoro, katika dhana (maana hakipo katika uhalisia) ni nothingness.
Nothingness haina kasoro.
Kwa sababu, ili iwe na kasoro, inabidi iwepo.
Na yenyewe haipo.
Hivyo haiwezi kuwa na kasoro.
Halafu katika fizikia, nothingness has the lowest possible entropy. Katika fizikia kasoro inaendana na kuongezeka kwa entropy (second law of thermodynamics).
Hivyo lowest possible entropy = nothingness = perfection.
Acha kukufulu we mshamba helewa swal aliouliza uyo kasema ni dunian inamaana ni kitu kinachoonekan acha kukulupuka kujibuMUNGU TU NDIYE HANA KASORO.
Kwanza Kiranga mimi ni mwanafizikia kindaki ndaki
Tunaendelea kuzunguka pale pale tu.
Eidha ukubali kuwa hakuna kasoro, kwamba kasoro ni perception tu.
Pili unaongelea stability na efficiency 100%, kwa tukiogelea mambo hayo kwa upande wa fizikia tunaongelea vipimo.
Je, kipimo kinachopima efficiency au stability chenyewe hakipimwi?
Quran imejaa contradictions zinazoonesha mapungufu ya Uislam.Uislam una mapungufu gani!?
Acha kukufulu we mshamba helewa swal aliouliza uyo kasema ni dunian inamaana ni kitu kinachoonekan acha kukulupuka kujibu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kwa kulinganisha kuwa hiki ni kikubwa halafu hiki ni kidogo inakupatia efficiency na stability 100%Kwa nini nikubali kasoro ni perception tu wakati second law of thermodynamics inakataza 100% stability na 100% efficiency?
Mkuu mbona nimeeleza hapo juu.
Unaelewa huhitaji kipimo chenye 100% efficiency ili kujua unachopima hakina 100% efficiency?
Unaelewa sihitaji kujua square root ya 2 exactly ni nini ( kipimo chenye 100% efficuency) ili kujua kwamba 10 si square root ya 2? Nahitaji kujua tu kwamba square root ya 2 ni ndogo kuliko 2, na hivyo, kwa kuwa 10 ni kubwa kuliko 2, 10 haiwezi kuwa square root ya 2.
Ndiyo maana tunaweza kujenga madaraja kwa kutumia pi yenye 5 decimal places tu (pi in decimal doesn't terminate).
Ingekuwa tunahitaji kipimo chenye 100% efficiency ili kupima efficiency vizuri, tusingeweza kujenga daraja linalopitika kwa kutumia pi yenye 5 decimal places tu.
Kwa sababu pi yenye 5 decimal places haina 100% efficiency.