Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

Uzi unaeleza kakutwa kwenye zile nyumba ambamo hao akina "dada" hutoa huduma kwa kubadilishana na amafranga yaliyokubaliwa.Kama eneo tu limejulikana hutolewa huduma hiyo,je sheria za nchi zinaruhusu mtoa na mtaka huduma kuwepo eneo hilo?
Hilo eneo linajulikana kisheria kama linatoa huduma hiyo iliokatazwa?
Je pana katazo watu wasifike au kuishi eneo hilo?

Kama ni shida ya hela serekali iweke tozo kuishi au kuingia eneo hilo.

Inakuwaje marufuku mtu kulala na anaempenda? Hata kama kuna kasheria kanakataza hako hakatufai!
 
Ni kosa... ndio maana ukijaribu kupitia huko nyuma utakuta wamekamatwa wengi tu kwa makosa kqma hayo na yanayofanania na hayo

Umalaya/ukahaba siyo kosa kisheria bali ni kosa kimaadili.

Kupatq fedha/mali kupitia ukahaba ni kosa kisheria, paamoja na kwamba umalaya/ukahaba siyo kosa.

Sheria inakataza na kuzuia mapato yatokanayo na ukahaba lakini, sheria haikatazi wala kuzia ukahaba.

Ndiyo maana hakuna mtu anafungwa hapa Tanzania kwa kufanya umalaya maana ni ngumu kuthibitisha kwamba uliyelala naye ni mpenzi wako au unamunua.

Zaidi sana sheria inatoa na kulinda haki za faragha yaani ikiwemo mtu kuwa huru na mpenzi wake nyumbani na inazuia hata polisi kumkamata mtu/watu wanaofanya mapenzi. Inatakiwa waachwe mpaka wamalize kwanza ndipo wakamatwe
 
Aiseee ngumu sana kujiridhisha bila kuacha shaka yoyote
 
Unafurahi mwenzako kushirikiana na wauza mwili?
Afu mbona ni new born huyo....hawez fanya maujinga hayo.Ana mke na watoto anaanzaje kwenda kwa makahaba.Sema ngoja mi kama bi mdogo nimwambie asiandike mada kama hii tena...watu wanamhisi vibaya
 
To yeye, naona mumeo ana kibali sana, nini siri ya yeye kukubalika sana? Au unamkogesha kwa maua ya nyota ya Jerusalem?
 
Afu mbona ni new born huyo....hawez fanya maujinga hayo.Ana mke na watoto anaanzaje kwenda kwa makahaba.Sema ngoja mi kama bi mdogo nimwambie asiandike madam kama hii tena...watu wanamhisi vibaya
Mwache bhana.... mada imechangamka hadi sasa swali lake halijajibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ