Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao.

Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
Sheria za nchi zimekataza Kwa Namna yoyote kuanzisha danguro au biashara ya ukahaba pia imesisitiza kuwa yeyote atakayekutwa maenneo hayo Ni sehemu ya kosa,Ila naona polisi wanapokukamata katika mazingira hayo wakikupeleka mahakamani inawawia vigumu kuthibitisha Kwa Sababu inatokeaga ghafla, Ila kisheria wanatakiwa wawe na watu au uongozi wa raia watakaothibitisha uharifu huo ndio maana wameamua kumpa kosa la uzembe na uzurulaji ambalo ni common na Ni rahisi kuileza mahakama Kwa kuwa kuthibitisha uzembe na uzurulaji kwao ni suala la Doria zao na muda pia mazingira husika.
 
Je kahaba hawezi kuwa mke?
 
Teh teh. !

Hivi yaweza kuwa kweli'eeh?

Kwamba ni yeye mkuu mwenyewe buji aliganduliwa akifanya!

Maana hilo nalo neno ujue!

Kwani vijiwe vya wauza bangi huwa vinawekwa vibao tambuzi?Ukikutwa sehemu kharamu na utoe utetezi kama wako ni lazima uchezee virungu ili akili iwe sharp kwa haraka.Mazingira hatarishi yatakusababisha uingie taabuni sana.Jipange kwa utetezi imara na si huo ulioutoa.
 
Upo sahihi kwa kiasi fulani kuhusu wakamataji kutokuwa na ushawishi mzuri mahakamani.Baadhi yao.Basi,omba nisikukamate mimi.Nikukamate bila uonevu halafu nishindwe kuiaminisha mahakama uhalifu wako?Aisee PGO itageuka kuwa OPP!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…