Je, ni kwanini askari wetu wengi hawajui kuwasiliana kwa Kiingereza?

Je, ni kwanini askari wetu wengi hawajui kuwasiliana kwa Kiingereza?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Hellow!

Hili limesababishwa na Nini?

Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka,

Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii?

Karibuni 🙏
 
Hellow!

Hili limesababishwa na Nini?

Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka,

Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii?

Karibuni 🙏
Kwani wao ni polisi wa uingereza hadi waongee kingereza?
 
Kwani wao ni polisi wa uingereza hadi waongee kingereza?
Kwani wanaoongea kiswahili Uingereza ni watanzania wote?

Lugha ni mode of communication.

Nawe ni kilaza nn?
 
Sidhani kama hilo ni kigezo kikubwa, ningekuelewa ungesema askari wengi waliopo sehemu fulani (mfano vijijini) ambapo watu wengi wanaowapa huduma hawajui kiswahili kwamba hawaelewi lugha ya kuwasiliana nao..., ila kama ni Tanzania na wengi wanajua kiswahili sioni tatizo
 
Hellow!

Hili limesababishwa na Nini?

Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka,

Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii?

Karibuni 🙏
kwani polisi wa ufaransa wanajua kingereza?
 
Hellow!

Hili limesababishwa na Nini?

Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka,

Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii?

Karibuni 🙏
Zamani walikuwaga wanasema UMEKOSA HADI FOUR YA UPOLISI NA UALIMU

JUA KUA HILO NI JANGA POLISI WETU HUWEZA KUWAKIMBIA WAZUNGU AU WATU WANAO ZUNGUMZA KIINGEREZA POLISH HUPATA WAKATI MGUMU

😊😊☺️

NDIPO UTAKAPO JUA NGUVU YA ZILE MORNING SPEECH NA DEBATE SHULENI ENZI ZILE..
 
Sasa ikiwa wataendelea kuwakimbia wazungu na wayalii,

Ujasusi utafanyika vp kujua malengo yao?

Kumbe ndio maana wanareact haraka sana kwenye mambo madogo yasio na kichwa wala miguu!
 
kwani polisi wa ufaransa wanajua kingereza?
Watoto wa polisi wengine husoma English medium,

Sasa mtoto akiomba msaada kwa Mzazi amsaidie kufanya homework itakuwaje?

Achilia mbali akikutana na mhalifu asiyejua kiswahili!!
 
Back
Top Bottom