G
guest-1790917349
Guest
😂😂😂Unajua sifa za mtu kuajiriwa kama polisi?
1mbio
2. Urefu
3. Kifua kipana kama mchengerwa. Yule mkwe wa mama
Hapo language proficient ipo wapi?
😂😂😂Unajua sifa za mtu kuajiriwa kama polisi?
1mbio
2. Urefu
3. Kifua kipana kama mchengerwa. Yule mkwe wa mama
Hapo language proficient ipo wapi?
Ongezea d mbiliFighting For Food Four Year🙄
Unamaanisha FFFF, miswaki sio?
Sasa watawezaje kusaidia watoto wao kufanya homework zilizo kwa Kiingereza?St kayumba kanumba ni tatizo
Askari?... wee zungumzia mawaziri na watumishi wengi serikalini, kama hutaki kupata huduma wee zungumza kimombo kidogo tu utaona.Hellow!
Hili limesababishwa na Nini?
Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka,
Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii?
Karibuni 🙏
Kumbe tatizo ni kubwa🤔Askari?... wee zungumzia mawaziri na watumishi wengi serikalini, kama hutaki kupata huduma wee zungumza kimombo kidogo tu utaona.
Sasa watawezaje kusaidia watoto wao kufanya homework zilizo kwa Kiingereza?
Failier ❌Form four failier
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Ila ajira zikitokea mnahangaika kuomba afu mnasema hawajasoma
Ila Tanzania 🇹🇿 ♥️
Kazi ya mzazi kumsaidia kyfanya homework mtoto? Aisee .Mzazi gani wewe?Sasa mtoto akiomba msaada kwa Mzazi amsaidie kufanya homework itakuwaje?
Kumbe !Kazi ya mzazi kumsaidia kyfanya homework mtoto? Aisee .Mzazi gani wewe?
Homework anatakiwa afanye mwenyewe sio afanye mzazi halafu mtoto apeleke shule mwalimu akasahihishe
Hapo atakuwa mzazi ndie anasoma shule sio mtoto
Kazi ya Polisi sio kumsaidia mtoto homework
Kiingereza Cha kukopi na kupaste.Wana kiingereza chao huwa wanasema
IM NOT YOUR FRIEND MY FRIEND
Utajua huji