Je, ni kwanini askari wetu wengi hawajui kuwasiliana kwa Kiingereza?

Je, ni kwanini askari wetu wengi hawajui kuwasiliana kwa Kiingereza?

kwani polisi wa ufaransa wanajua kingereza?
PGO kiswahili chake ni kipi?

Wangemjua kusoma na kuchanganua Sheria ambazo ni kwa Kiingereza,

Wasingevunja mlango kumteka Mdude ambaye hata SI mhalifu pasi kufanya uchunguzi na ushahidi juu ya uhalifu wake.
 
Sheria zote zipo kwa Kiingereza,

Sasa mtatenda vipi haki ikiwa hamujui kutafsiri Sheria kabla ya kumkamata mhalifu?
Kazi ya polisi ni kuzuia uhalifu, kukamata wahalifu , kukamata wahalifu. Sheria zinatafsiriwa mahakamani
 
Sasa zote ziko kwa kiswahili
Unaishi dunia ipi?
Tena kwa taarifa yako, kubadili Sheria iliyo kwa Kiingereza kuingia kiswahili ndo ngumu zaidi.

Kwani kuna shd gani mkienda English course?
 
Wao wapo active kupiga watu tu ila kichwani ni weupe mno
Wangekuwa na Shule kidogo,

Wangeelewa kuwa mtoto kukataa kufanya homework ni uasi wa Amri ya Mzazi,

Uasi huo haupigwi RUNGU,au kuwekwa Lock up.
 
Askari morale tu, mengine wao ni maelekezo.
 
Back
Top Bottom