Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

Mkuu kwanza kwenye hiyo vita hakukuwepo na battle yeyote kupigania miji hivyo maeneo mengi Israel iliyateka bila ya mapigano yeyote baada ya majeshi ya kiarabu kujiondoa na kurudi nyuma hasa baada ya Ambush ya ghafla na isiyo tarajiwa iliyo fanywa na Israel na kuteketeza vifaa vingi vilivyo tarajiwa kutumika kwenye hiyo vita.

Battle mfano wa ile ya Maliupol na Bhakhiumut sioni Israel ikitoboa hata kwa dawa.
 
Ya Bakhmut gani

Acha kumpa mzayuni mzigo mzito namna hio mzeee

Kama beto af ghaza tu ndio hvyo Bakhmut a thubutu

Lazma atumie nyuklia kama hapo tu leo katumia tena white phosphorus
 
Reactions: ITR
Kabisa mkuu yaani ni sawa na kuchambua sukar kwenye mchanga kazi ngumu ila mwishowe vinajitenga tu
 
Mataifa matano yaliungana na bado yakafeli. Ni uwendawazimu kuamini kikundi tu kinaweza kuwafuta hawa jamaa.

Kuna haja ya kubadili strategy ya kusolve huu mgogoro. Vita hapana asee.
 
Bro TZ tulipigana Vita Uganda, Amin akakimbia, tukapigana Vita kusini mwa Africa, makaburu wakasalimu amri,lakini mbona mpaka Leo komando yoso(1990)Panya road(2000+, vibaka kibao wanatutesa, na hawaishi!
Critical thinking tu
 
Bro TZ tulipigana Vita Uganda, Amin akakimbia, tukapigana Vita kusini mwa Africa, makaburu wakasalimu amri,lakini mbona mpaka Leo komando yoso(1990)Panya road(2000+, vibaka kibao wanatutesa, na hawaishi!
Critical thinking tu
Tanzania ni nchi ya propaganda sana
 
Bro TZ tulipigana Vita Uganda, Amin akakimbia, tukapigana Vita kusini mwa Africa, makaburu wakasalimu amri,lakini mbona mpaka Leo komando yoso(1990)Panya road(2000+, vibaka kibao wanatutesa, na hawaishi!
Critical thinking tu
Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani kama sio uwongo na utaahira wa kujiona wewe una kasi ya duma (cheetah) wakati wewe ni kinyonga mlevu?
 
Hawokuwa Israel, ilikuwa Wamarekani na NATO nzima, kama. Kawaida yao.

Mashoga wa Kizayuni hawana uwezo wowote bila wanaume zao.
 
Mazayuni ni wahamiaji kutoka yuropa ambao hawana asili ya kiyahudi.
Waebrania wa asili ni weusi kama mimi na wewe. Uyahudi ni dini yao ambayo ilikuwepo kabla ya Ukristo na Uislam. Ukristo na Uislam ukayabeba baadhi ya mafundisho ya Kiyahudi na kuyatohoa na kuyabadilisha badilisha na kuanza kujimwambafai kwamba ni dini za Mwenyezi Mungu.
 
Eti eeeh!!
 
Ngonjera na hizi Riwaya uliziokota wapi ewe mwana wa chifu mkwawa!?
 
Hizo story za Hollywood hamna kitu zamani media zote zilikuwa zao propaganda zote walikuwa wanawalisha matango pori wajinga wengi, ndiyo maana unaona Al Jazeera wanaonyesha udhaifu wao wanawashambulia waandishi wao wa habari.
 
ndo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…