ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Mkuu kwanza kwenye hiyo vita hakukuwepo na battle yeyote kupigania miji hivyo maeneo mengi Israel iliyateka bila ya mapigano yeyote baada ya majeshi ya kiarabu kujiondoa na kurudi nyuma hasa baada ya Ambush ya ghafla na isiyo tarajiwa iliyo fanywa na Israel na kuteketeza vifaa vingi vilivyo tarajiwa kutumika kwenye hiyo vita.Israel ilipigana na conventional armies za Misri, Syria, Jordan ila Hamas sio conventional army yaani ni wapiganaji wa kuvizia tu tena wanaojichanganya na raia hivyo sio rahisi kuwafahamu.
Hamas wanapigana kwa kushambulia kwa kushtukiza na kutokomea kwenye mahandaki tofauti na majeshi kamili.
Battle mfano wa ile ya Maliupol na Bhakhiumut sioni Israel ikitoboa hata kwa dawa.