Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

Israel ilipigana na conventional armies za Misri, Syria, Jordan ila Hamas sio conventional army yaani ni wapiganaji wa kuvizia tu tena wanaojichanganya na raia hivyo sio rahisi kuwafahamu.

Hamas wanapigana kwa kushambulia kwa kushtukiza na kutokomea kwenye mahandaki tofauti na majeshi kamili.
Mkuu kwanza kwenye hiyo vita hakukuwepo na battle yeyote kupigania miji hivyo maeneo mengi Israel iliyateka bila ya mapigano yeyote baada ya majeshi ya kiarabu kujiondoa na kurudi nyuma hasa baada ya Ambush ya ghafla na isiyo tarajiwa iliyo fanywa na Israel na kuteketeza vifaa vingi vilivyo tarajiwa kutumika kwenye hiyo vita.

Battle mfano wa ile ya Maliupol na Bhakhiumut sioni Israel ikitoboa hata kwa dawa.
 
Ya Bakhmut gani

Acha kumpa mzayuni mzigo mzito namna hio mzeee

Kama beto af ghaza tu ndio hvyo Bakhmut a thubutu

Lazma atumie nyuklia kama hapo tu leo katumia tena white phosphorus
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Unataka kuona show ya vita? Waambia hamas/hesbollah wafanye mashambuli israel halafu nchi za kiarabu ziingilie ndio utajua ile vita ya siku sita ilikuwa cha mtoto. Kipigo wanachopewa hamas kwa sasa ni cha kistaarabu sana israel haitaki kufanya maangamizi makubwa inapiga kwa kuchagua walipo maadui tu ndio maana unaona zoezi linaenda taratibu, wanapiga kwa kuchambua
Kabisa mkuu yaani ni sawa na kuchambua sukar kwenye mchanga kazi ngumu ila mwishowe vinajitenga tu
 
Mataifa matano yaliungana na bado yakafeli. Ni uwendawazimu kuamini kikundi tu kinaweza kuwafuta hawa jamaa.

Kuna haja ya kubadili strategy ya kusolve huu mgogoro. Vita hapana asee.
 
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.

Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita. Kila mzozo wa mapigano, makubwa na madogo, uliacha alama yake.

Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.

Swali:-
Imekuwaje Israel imepoteza uwezo huo mbele ya Hamas, ili vita ya siku sita ni porojo tu na propaganda za Wazayuni?

Angalizo:-
Huu sio mjadala wa kidini.
Bro TZ tulipigana Vita Uganda, Amin akakimbia, tukapigana Vita kusini mwa Africa, makaburu wakasalimu amri,lakini mbona mpaka Leo komando yoso(1990)Panya road(2000+, vibaka kibao wanatutesa, na hawaishi!
Critical thinking tu
 
Tanzania ni nchi ya propaganda sana
 
Bro TZ tulipigana Vita Uganda, Amin akakimbia, tukapigana Vita kusini mwa Africa, makaburu wakasalimu amri,lakini mbona mpaka Leo komando yoso(1990)Panya road(2000+, vibaka kibao wanatutesa, na hawaishi!
Critical thinking tu
Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani kama sio uwongo na utaahira wa kujiona wewe una kasi ya duma (cheetah) wakati wewe ni kinyonga mlevu?
 
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.

Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita. Kila mzozo wa mapigano, makubwa na madogo, uliacha alama yake.

Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.

Swali:-
Imekuwaje Israel imepoteza uwezo huo mbele ya Hamas, ili vita ya siku sita ni porojo tu na propaganda za Wazayuni?

Angalizo:-
Huu sio mjadala wa kidini.
Hawokuwa Israel, ilikuwa Wamarekani na NATO nzima, kama. Kawaida yao.

Mashoga wa Kizayuni hawana uwezo wowote bila wanaume zao.
 
Mazayuni ni wahamiaji kutoka yuropa ambao hawana asili ya kiyahudi.
Waebrania wa asili ni weusi kama mimi na wewe. Uyahudi ni dini yao ambayo ilikuwepo kabla ya Ukristo na Uislam. Ukristo na Uislam ukayabeba baadhi ya mafundisho ya Kiyahudi na kuyatohoa na kuyabadilisha badilisha na kuanza kujimwambafai kwamba ni dini za Mwenyezi Mungu.
 
Mkuu kwanza kwenye hiyo vita hakukuwepo na battle yeyote kupigania miji hivyo maeneo mengi Israel iliyateka bila ya mapigano yeyote baada ya majeshi ya kiarabu kujiondoa na kurudi nyuma hasa baada ya Ambush ya ghafla na isiyo tarajiwa iliyo fanywa na Israel na kuteketeza vifaa vingi vilivyo tarajiwa kutumika kwenye hiyo vita.

Battle mfano wa ile ya Maliupol na Bhakhiumut sioni Israel ikitoboa hata kwa dawa.
Eti eeeh!!
 
Kihistoria Israel ni taifa la vita, wamepigana vita nyingi tu hivyo hakuna cha ajabu kuwa ilizikung'uta nchi za kiarabu kwa siku 6. Kama ambavyo inaweza kuuwa mahasimu wao walio Iran, Lebanon n.k na watu wakashangaa sana inawezekanaje.

Kwa taarifa tu bado kuna vita kubwa sana 2 ambapo katika vita mojawapo Israel itapigana na mataifa ya kiislamu na russia ikiwemo na mataifa mengine
Vilevile mfano Libya na sehemu kubwa tu ya nchi za afrika na still mataifa hayo yatashindwa so jiandae kushangaa na hii!!!
Kuna vita nyingine inakuja Israel itapambana na sehemu kubwa sana ya dunia jumuia ya ulaya ikiwemo na nchi za kiislamu zikiwemo russia, china na zingine zikiwemo na bado Israel itashinda na vita hii itachukua miaka 3.5 au zaidi sasa kama umeshangaa hii vita ambayo hata miezi 6 haijafika basi jiandae kushangaa na hii ya miaka 3.5 na pengine zaidi!
sio lazima kuwa eti kama vita hii ilichukua siku 6 basi vita nyingine ichukue siku fulani vita sio hesabu za cross multiplications. Ndo maana russia pamoja na nguvu kubwa ya kijeshi mpaka leo anastruggle huko ukraine.

MUHIMU Ikumbukwe kuwa katika vita hizi Mungu Yehova, Yesu ndiye msaada wa Isrrael kushinda na sio kwa nguvu zao wenyewe. Ikumbukwe pia kuwa ukiona Israel iko vitani mara nyingi jua ni vita kati ya Mungu na shetani.
Ngonjera na hizi Riwaya uliziokota wapi ewe mwana wa chifu mkwawa!?
 
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.

Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita. Kila mzozo wa mapigano, makubwa na madogo, uliacha alama yake.

Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.

Swali:-
Imekuwaje Israel imepoteza uwezo huo mbele ya Hamas, ili vita ya siku sita ni porojo tu na propaganda za Wazayuni?

Angalizo:-
Huu sio mjadala wa kidini.
Hizo story za Hollywood hamna kitu zamani media zote zilikuwa zao propaganda zote walikuwa wanawalisha matango pori wajinga wengi, ndiyo maana unaona Al Jazeera wanaonyesha udhaifu wao wanawashambulia waandishi wao wa habari.
 
Kiuhalisia ni kuwa ,mataifa manne ikiwemo USA, Uingereza, French na Israeli yalitumia taarifa zilizovujishiwa na Morocco kama msaliti wa nchi 3 za kiarabu yaani Jordan, Misri na Syria kushinda vita kiurahisi. Haikuwa nchi zoote za kiarabu, wala haikuwa Israeli peke yake . Leo hii kuna utandawazi kila kitu kama uwanja wa mpira mnavyofuatilia ndo maana ukweli unajulikana.
ndo hivyo
 
Back
Top Bottom