Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

Unadhani watakuelewa hawa
Wanachowaza ni uchaguzi na teuzi

Kumsifia mtawala
 
Inaonekana Makamba, mtoto mdogo tu, anawatoa jasho kweli kweli. Hampati usingizi wala utulivu kwa ajili yake; kutwa kucha mpo katika harakati za kumtafuta kwenye hili na lile. Kijana yupo kimya anawacheki tu na kufanya calculations zake. Kimsingi mpaka sasa ameshaonesha ukomavu wa akili zaidi yenu nyote. Kama ingekuwa ni mechi ya mpira basi sasa ingekuwa ni mapumziko na Makamba 3: nyie (kundi la wanga na wachawi) 0
 
Mkuu mwaka huu mvua azikuwa nyingi ila zilinyesha vizuri
 
MTALIA KILA KILIO.

TATIZO KUBWA LA HI NCHI NI CCM.

CCM IMEJAWA NA VIONGOZI ,


Wezi.
Wapumbafu.
Wajinga.
Mazwazwa.
Ma lofa.
Mafisadi.
WASIO na akili.
WASIO na Maono.
VICHAA nk.

HAIWEZEKANI DUNIA YA LEO KUTEGEMEA UMEME WA MAJI.
 
Kuna UMEME MBADALA kama
Gesi.
Upepo..
Nyuklia.
Soral.
Tidal.
Biomass
 
Whatever is happening now consernig umeme, sisi lawama zote tunamtupia ⌚💯. Kalemani alifanya dhambi gani hata akaondolea kwenye ile wizara. Enzi za kalemani haya mambo tulikuwa tushayasahau. ⌚💯 ni Rais wa hovyo.
 
Usimtetee sana. Baada ya JPM kushinda uraisi uliona katuni aliyopost Kipara kwenye ukurasa wake wa twitter? kama hukuiona, itafute
 
"Lice" ndugu choiceVariable anakuja kulitolea ufafanuzi!!
 

Maji yamwagike bure toka ndani ya bwawa la Mtera na kuelekea wapi?

Kwa nini itajwe kwamba umeme wa maji usipokuwepo basi uzalishaji wa umeme wa gesi utaongezeka ilihali uwezo wa mitambo ya gesi kuzalisha umeme ni ule ule?
 
Aliyekwambia na yeye kaambiwa. Yaan ni uzushi juu ya uzushi
 
Unaandika nn hata majina yanakushinda si bora usiandike tu?
 
January kilaza na maharage yake kilaza pia kwa hiyo combination unategemea nn kigunduliwe?
 

Lisemwalo lipo kama halipo laja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…