Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Unadhani watakuelewa hawaKuwa megawatt 80 za mtera ndio zinaleta mgao ,bado tunahitaji kuwekeza zaidi kwenye uzalishaji wa umeme bado tunazalisha kidogo hakuna plant ya uzalishaji yenye uwezo wa kutoa megawatt 500 au 1000 independently hapa nchini wakati ukienda misri kituo kimoja cha gesi kimejengwa 1979 kinazalisha megawatt 1200 rejea uzaloshaji wetu nchi nzima kusanya vyote ni 1600+ megawatt ,sasa ukiangalia vituo vya kisasa vya misri viliyojengwa 2018 vinazalisha megawatt 4800 na vipo 5 pale kwao yaani kimoja tu kinazalisha mara tatu yetu sasa kama proved reserve ni 55cubic trillions za gesi hapa kwetu na misri wao ni 65trillions cubic ni wakati sasa tujenge magasi turbine makubwa yaani stations plant kubwa tuachane na hizi gas stations za megawatt 120, 200 sijui 45 its time we go big nyerere dam ipo lakini suala la ukame ni issue hapa kwetu nyerere iendelee lakini kuna haja ya kuwa na stations ya kuzalisha kubwa ya maana na pia ni wakati productions policy yetu iwe ni kuanzia megawtt 500,1000 kuendelea na sio hivi vidogo vidogo kwa kuwa kasi ya miji kukua ni kubwa na mahitaji mapya ya viwandani na majumbani yanaongezeka kila siku inawezekana tunaweza.
Wanachowaza ni uchaguzi na teuzi
Kumsifia mtawala