Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
wewe umesoma historia ? mbona unanishauri kusoma wakati umesema ni zaidi ya miaka 2000 imepita na hujui msingi wa imani yako kuwa ni vipi petro awe ni mwanzilishi wa romaukitaka kuelewa haya mambo usisome kama upo kwenye dini fulani
soma tu historia kikawaida kama unvosoma historia ya Tanzania kabla ya uhuru hadi sasa
soma ki kawaida ujue ukristo ulianzaje mgawanyiko kwenye kanisa ulianzaje na ni kwanini ikazaliwa kanisa gani hadi baadae utakuja kukutana na kanisa lako
nyie wasabato kanisa lenu limeanza miaka ya 1800
mkuu usikuze mambo mbona mjadara ulikuwa mzuri hakuna matusi
Unasoma kwanza kabla ya kum quote mtu?Siyo kweli petro hajui hata ukatoliki ni kinyesi gani.
Na siwezi kufanya uchambuzi nje ya watu nitajifunzaje?asante kwa uchambuzi lakini usifanye tena uchambuzi mbele za watu maana unaweza kudhalilika huna skills ya kile unacho kiongea
huyu hakuwepo kwenye mjdara huyu alikuwa mpitaji tu kwenye majukwaa juu juuUnasoma kwanza kabla ya kum quote mtu?
Sio kila jambo lazima ulichangie. Mengine kubali yakupitesuala la lugha halina maana sana
Sasa kwa nini uniambie mjadala haukuwa na matusi ili hali sikuku quote wewe?huyu hakuwepo kwenye mjdara huyu alikuwa mpitaji tu kwenye majukwaa juu juu
kwani replies zinafitika ? em soma upya kama unayoongea hata moja utakuta nimesema hivyo ?wewe umesoma historia ? mbona unanishauri kusoma wakati umesema ni zaidi ya miaka 2000 imepita na hujui msingi wa imani yako kuwa ni vipi petro awe ni mwanzilishi wa roma
ulivyo banwa mara sijui roma sio katoliki unadai hivi nilivyo kubana uniambie msingi wa imani yako kuhusu mtume paul kuwa muuwaji wa dola hilo kwa wakristo hujui alafu sahivi sijui unaongea nini so negative au unazani mimi ni mbumbumbu
wewe hujui hata unacho amini ni nini inasikitisha sana hii inatokana na mtizamo wako kuhusu mambo ya kiroho, mitizamo unajenga imani flani. pia angalau wasabato wanaweza kujielezea msingi wa imani yao japo mimi sio msabato, mimi sitambui usabato na Roman kama makanisa ya mungu kwasababu mungu haja yataja kwenye maandiko iweje yawe ya mungu alafu asiyataje huu ndio msingi wa imani yangu sikallilishwi bali naenda na uelewa na ushahidi.ukitaka kuelewa haya mambo usisome kama upo kwenye dini fulani
soma tu historia kikawaida kama unvosoma historia ya Tanzania kabla ya uhuru hadi sasa
soma ki kawaida ujue ukristo ulianzaje mgawanyiko kwenye kanisa ulianzaje na ni kwanini ikazaliwa kanisa gani hadi baadae utakuja kukutana na kanisa lako
nyie wasabato kanisa lenu limeanza miaka ya 1800
sehemu gani Mungu ametaja makanisawewe hujui hata unacho amini ni nini inasikitisha sana hii inatokana na mtizamo wako kuhusu mambo ya kiroho, mitizamo unajenga imani flani. pia angalau wasabato wanaweza kujielezea msingi wa imani yao japo mimi sio msabato, mimi sitambui usabato na Roman kama makanisa ya mungu kwasababu mungu haja yataja kwenye maandiko iweje yawe ya mungu alafu asiyataje huu ndio msingi wa imani yangu sikallilishwi bali naenda na uelewa na ushahidi.
hebu tufunge huu mjadara mkuukwani replies zinafitika ? em soma upya kama unayoongea hata moja utakuta nimesema hivyo ?
sijui unaongea nini yani wapi nimesema makanisa yametajwa kwenye biblia hebu nukuu hilo nenosehemu gani Mungu ametaja makanisa
ni yapi hayo yaliyotajwa ?
Kwa hiyo nikisema ...kinyesi cha kuku nimetukana tusi ...kweli wanafiki amna akili.Duh, mpendwa, unapojibu hoja, tumia lugha ya heshima
Ni kanisa gani unaloamini limetajwa kwenye maandiko?wewe hujui hata unacho amini ni nini inasikitisha sana hii inatokana na mtizamo wako kuhusu mambo ya kiroho, mitizamo unajenga imani flani. pia angalau wasabato wanaweza kujielezea msingi wa imani yao japo mimi sio msabato, mimi sitambui usabato na Roman kama makanisa ya mungu kwasababu mungu haja yataja kwenye maandiko iweje yawe ya mungu alafu asiyataje huu ndio msingi wa imani yangu sikallilishwi bali naenda na uelewa na ushahidi
hakuna biblia iliandikwa na wayahudi yote iweje wasiwe na agano jipya alafu waandishi wa agano hilo jipya wawe hao hao wayahudi hivi unaongea maneno unayo yaelewa au umekalilishwa ?Ni kama maelezo uliyotoa huko juu, ndio maana nikataka kukurekebisha hapo kwenye tafsiri.
Lakini pia tukumbuke wayahudi hawana agano jipya, Biblia yao ina agano la kale tu. Tunachanganya kati ya Tanakh na Masoretic, Tanakh iliandikwa kiebrania lakini iliandaliwa chini ya uongozi wa kanisa katoliki, ikijumuisha hivyo vitabu vilivyokua vinatumika na wayahudi (Torah, Neviim na Ketuviim) pamoja na vitabu vya agano jipya.
wewe hujui hata unacho amini ni nini inasikitisha sana hii inatokana na mtizamo wako kuhusu mambo ya kiroho, mitizamo unajenga imani flani. pia angalau wasabato wanaweza kujielezea msingi wa imani yao japo mimi sio msabato, mimi sitambui usabato na Roman kama makanisa ya mungu kwasababu mungu haja yataja kwenye maandiko iweje yawe ya mungu alafu asiyataje huu ndio msingi wa imani yangu sikallilishwi bali naenda na uelewa na ushahidi.
kwahiyo nikisha kuwa na ushahidi na kuelewa ndio sasa naamini lakini siamini kitu ambacho sijakielewa wala hikina ushahidi huu ndio msingi wa imani yangu.
Tongue twistersijui unaongea nini yani wapi nimesema makanisa yametajwa kwenye biblia hebu nukuu hilo neno
Huyu ndugu yetu Mr Genius Man spanner zimemuingia kisawa sawa lakini anakufa na tie shingoni hataki kukubali.Sasa kwa nini uniambie mjadala haukuwa na matusi ili hali sikuku quote wewe?
Na kwa nini hukusoma kwanza niliemkosoa kabla hujanikosoa?
Nilikuwa namzingatia mwanzoni kabla sijaanza kuhisi napoteza muda.Huyu ndugu yetu Mr Genius Man spanner zimemuingia kisawa sawa lakini anakufa na tie shingoni hataki kukubali.
Alipo sasa hivi akili na nafsi vinakinzana roho inasema kubali kushindwa akili inasema endelea kukataa,najua atakuja na hii kuikataa.
mimi imani yangu imejengwa kwa misingi ya ushuhuda wa yesu kristo ushuda wa yesu kristo ndio roho ya unabii, kwasababu imeandikwa kwenye unabii wenye ushuhuda wa yesu kristo ndio watakao okolewa "ASOMAE NA AFAHAMU"Ni kanisa gani unaloamini limetajwa kwenye maandiko?
Naona sasa kijana unaanza dharau mimi huwa sipo kwenye mijadala kama hii kuna mtu ameniweka hapa ninasikitishwa ninapo jaribu kuwaelekeza watu maarifa lakini wamekuwa shingo ngumu sana ngoja nifunge huu mjadara kwa kulinda heshima yangu mimi ni mtu mkubwa sanaNilikuwa namzingatia mwanzoni kabla sijaanza kuhisi napoteza muda.
Kingine lipe basi hili jina heshima yake stahiki.mimi imani yangu imejengwa kwa misingi ya ushuhuda wa yesu kristo ushuda wa yesu kristo ndio roho ya unabii, kwasababu imeandikwa kwenye unabii wenye ushuhuda wa yesu kristo ndio watakao okolewa "ASOMAE NA AFAHAMU"
Mimi nina mshuhudia yesu hakuwa msabato nina mshuhudia yesu hakuwa mkatoliki wala mlokole, wala hao mitume na manabii wote, nina shuhudia kweli yote kuwa hakuna andiko au maelekezo yanayo nitaka kujiunga na dhehebu lolote lile je wewe unaniuliza nipo kwenye dhehebu gani kwa maagizo ya nani ?
jiulize na wewe upo kwenye dhehebu flani kwa maagizo ya nani ndivyo mungu alivyotuagiza hivi au upo upo tu unaamini lakini huelewi ?