Duh, wewe inaonekana Biblia hujawahi kuisoma kabisa. Katika vifungu vifuatavyo, Askofu na Mchungaji wanatajwa:Unaumwa wewe! Ni Biblia gani inazungumzia upadre, uaskofu, uchungaji?
Infropreneur tumempa ushahidi mwingi wa uwepo wa Mungu. Ameanza kutambua Mungu yupo.Si umetoka kusema Mungu hayupo??😆😆😆
Ndugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo.
Kwanza ninawapongeza: mkiwa Kanisani, mnaonyesha heshima kubwa kwa Mungu. Sasa naomba mnijibu swali hilo: Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?
Nimesikia mnafundisha kwamba Mtume Petro ndiye aliyeteuliwa na Yesu kuwa msingi wa Kanisa au Papa wa kwanza. Mnanukuu Mathayo 16:18 na kusema kwamba katika Andiko hilo Yesu alimwambia Petro, “Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu.” Kwa tafsiri yenu, “mwamba” huo ni Petro mwenyewe, na hivyo mnamuona kama Papa wa kwanza. Mnaamini kwamba, mamlaka ya Petro kama kiongozi wa mitume yaliendelezwa na Mapapa waliomfuata, wakiwa viongozi wa juu wa Kanisa la Kristo duniani. Ni kweli?
Kama ni kweli, mbona mtazamo wa Kiprostestanti unatofautiana na mafundisho yenu. Waprotestanti wanasisitiza kuwa msingi wa Kanisa sio mtu binafsi, bali ni Yesu Kristo mwenyewe (1 Wakorintho 3:11), na kwamba “mwamba” aliouzungumzia Yesu ni Yeye mwenyewe(Yesu) kama Petro alivyokiri: “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” (Mathayo 16:16).
Kwa mtazamo wa Kiprostestanti, Petro hakuwa Papa, kwa sababu hakuna ushahidi wa kibiblia unaoonyesha kuwa alipewa mamlaka ya kipekee juu ya mitume wengine. Na wakati wa Kanisa la kwanza mfumo uliopo leo wa kipapa, haukuwepo.
Waprotestanti wanaeleza tena kwamba Viongozi wa kwanza wa Kanisa walifanya maamuzi yao kwa ushirikiano (Mdo 15), sio kwa mamlaka ya mtu mmoja(Papa). Wanasimama na Andiko la Waefeso 5:23 linalosema kwamba Yesu ndiye Kichwa cha Kanisa. Wanaamini pia kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayeliongoza Kanisa lote sasa, na sio kiongozi mmoja wa kimwili. Wananukuu Yohana 16:13
"Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote."
Hoja hizo mnazijibuje?
Ntashukuru sana nikipata majibu ya swali langu na majibu kuhusu hoja hizo za Kiprotestanti. Majibu yajengwe kwenye Maandiko Matakatifu(Biblia). Tumsifu Yesu Kristo.
Pascal MayallaNdugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo.

Mungu ambaye anahangaikiwa na kutetewa na wanadamu ili aonekane yupo, Ni Mungu mchovu na mdhaifu sana.Infropreneur tumempa ushahidi mwingi wa uwepo wa Mungu. Ameanza kutambua Mungu yupo.
Unauliza Swali kwa Catholic alafu wakati huohuo unasema "Waprotestant wenzenu" are you serious? Unaelewa maana ya neno "Protestant", Hao walitofautiana mtazamo hivyo wakajitenga na hiyo ndiyo sababu kuu, Sasa iweje utake tuwe na mtazamo sawa na protestant?Ndugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo.
Kwanza ninawapongeza: mkiwa Kanisani, mnaonyesha heshima kubwa kwa Mungu. Sasa naomba mnijibu swali hilo: Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?
Nimesikia mnafundisha kwamba Mtume Petro ndiye aliyeteuliwa na Yesu kuwa msingi wa Kanisa au Papa wa kwanza. Mnanukuu Mathayo 16:18 na kusema kwamba katika Andiko hilo Yesu alimwambia Petro, “Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu.” Kwa tafsiri yenu, “mwamba” huo ni Petro mwenyewe, na hivyo mnamuona kama Papa wa kwanza. Mnaamini kwamba, mamlaka ya Petro kama kiongozi wa mitume yaliendelezwa na Mapapa waliomfuata, wakiwa viongozi wa juu wa Kanisa la Kristo duniani. Ni kweli?
Kama ni kweli, mbona mtazamo wa Kiprostestanti unatofautiana na mafundisho yenu. Waprotestanti wanasisitiza kuwa msingi wa Kanisa sio mtu binafsi, bali ni Yesu Kristo mwenyewe (1 Wakorintho 3:11), na kwamba “mwamba” aliouzungumzia Yesu ni Yeye mwenyewe(Yesu) kama Petro alivyokiri: “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” (Mathayo 16:16).
Kwa mtazamo wa Kiprostestanti, Petro hakuwa Papa, kwa sababu hakuna ushahidi wa kibiblia unaoonyesha kuwa alipewa mamlaka ya kipekee juu ya mitume wengine. Na wakati wa Kanisa la kwanza mfumo uliopo leo wa kipapa, haukuwepo.
Waprotestanti wanaeleza tena kwamba Viongozi wa kwanza wa Kanisa walifanya maamuzi yao kwa ushirikiano (Mdo 15), sio kwa mamlaka ya mtu mmoja(Papa). Wanasimama na Andiko la Waefeso 5:23 linalosema kwamba Yesu ndiye Kichwa cha Kanisa. Wanaamini pia kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayeliongoza Kanisa lote sasa, na sio kiongozi mmoja wa kimwili. Wananukuu Yohana 16:13
"Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote."
Hoja hizo mnazijibuje?
Ntashukuru sana nikipata majibu ya swali langu na majibu kuhusu hoja hizo za Kiprotestanti. Majibu yajengwe kwenye Maandiko Matakatifu(Biblia). Tumsifu Yesu Kristo.
Ni uongo wa wakatoliki, Biblia haisemi hivyo.Ndugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo.
Kwanza ninawapongeza: mkiwa Kanisani, mnaonyesha heshima kubwa kwa Mungu. Sasa naomba mnijibu swali hilo: Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?
Nimesikia mnafundisha kwamba Mtume Petro ndiye aliyeteuliwa na Yesu kuwa msingi wa Kanisa au Papa wa kwanza. Mnanukuu Mathayo 16:18 na kusema kwamba katika Andiko hilo Yesu alimwambia Petro, “Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu.” Kwa tafsiri yenu, “mwamba” huo ni Petro mwenyewe, na hivyo mnamuona kama Papa wa kwanza. Mnaamini kwamba, mamlaka ya Petro kama kiongozi wa mitume yaliendelezwa na Mapapa waliomfuata, wakiwa viongozi wa juu wa Kanisa la Kristo duniani. Ni kweli?
Kama ni kweli, mbona mtazamo wa Kiprostestanti unatofautiana na mafundisho yenu. Waprotestanti wanasisitiza kuwa msingi wa Kanisa sio mtu binafsi, bali ni Yesu Kristo mwenyewe (1 Wakorintho 3:11), na kwamba “mwamba” aliouzungumzia Yesu ni Yeye mwenyewe(Yesu) kama Petro alivyokiri: “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” (Mathayo 16:16).
Kwa mtazamo wa Kiprostestanti, Petro hakuwa Papa, kwa sababu hakuna ushahidi wa kibiblia unaoonyesha kuwa alipewa mamlaka ya kipekee juu ya mitume wengine. Na wakati wa Kanisa la kwanza mfumo uliopo leo wa kipapa, haukuwepo.
Waprotestanti wanaeleza tena kwamba Viongozi wa kwanza wa Kanisa walifanya maamuzi yao kwa ushirikiano (Mdo 15), sio kwa mamlaka ya mtu mmoja(Papa). Wanasimama na Andiko la Waefeso 5:23 linalosema kwamba Yesu ndiye Kichwa cha Kanisa. Wanaamini pia kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayeliongoza Kanisa lote sasa, na sio kiongozi mmoja wa kimwili. Wananukuu Yohana 16:13
"Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote."
Hoja hizo mnazijibuje?
Ntashukuru sana nikipata majibu ya swali langu na majibu kuhusu hoja hizo za Kiprotestanti. Majibu yajengwe kwenye Maandiko Matakatifu(Biblia). Tumsifu Yesu Kristo.
Kitabu cha Matendo ya mitume hakijamtaja Petro kama Papa...Wengine hawaamini ivo, Biblia haisemi kwa uwazi sana juu ya hilo, Ila kwa Msaada zaidi soma kitabu cha matendo ya Mitume ukiwa na ufahamu Huru.
Asante MwananchiOG kwa mstari huo.Mathayo 16 : 18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Che mittogaIngawa haifahamiki kiundani kuwa Papa wa kwanza ni Simon Petro, lakini Yesu alitaka Petro awe na mamlaka kama Papa katika Ukristo:
Utawala wa Papa na Vatican umefanya jitihada kubwa kuutangaza na kuueneza Ukristo kuliko utawala wowote ule ulio katika imani ya Kikristo:
Tukianzia kabla ya ukoloni, Wamisionary wengi wa kwanza kuja maeneo mengi ya Afrika walikuwa ni Wakatoriki chini ya Utawala wa Papa.
Leo Waafrika wengi ni wakristo kwa juhudi za Papa:
Wakati wa Ukoloni utawala wa Papa uliendelea kueneza dini ya Kikristo kwa kujiwekea mamlaka maeneo ambayo waliyatawala ili kuilinda dini ya Kikristo:
Ndio maana utaona katika kila Nchi, kuna Jimbo, Parokia, Kigango, kama mamlaka ya kiutawala ya Ki-Papa ili kufuatilia kwa karibu maendeleo ya Wakristo katika maeneo husika:
Katika maeneo hayo ya Mamlaka Papa alihakikisha kunajengwa Makanisa na huduma za Kijamii kama Hospitali, Shule, Vyuo na taasisi nyingine za kimaendeleo ili kuwahudumia Wakristo na raia wengine:
Pia mamlaka ya Upapa ilihakikisha inajiingiza katika mahusiano na Kila serikali ya nchi ili kuupa nguvu Ukristo:
Hivyo Papa alihakikisha kila nchi ina mwakilishi toka makao makuu ya Upapa Vatikan {Ubalozi wa Vatikan}
Katika dunia ya sasa Papa anaendela kutumia njia za Kidiplomasia, kimataifa ili kuulinda na kuueneza Ukristo katika nchi ambazo zimeupiga marufuku Ukristo:
Nchi kama Cuba, China, North Korea, na zile zenye utawala wa Kiislamu, Papa anaendelea kuzishawishi ili ziupokee Ukristo na anaendelea kufanikiwa siku hadi siku:
Leo nchi kama Cuba, China, Saudi Arabia, Somalia, zimeanza kuupokea Ukristo kwa Nguvu ya Upapa:
Mamlaka ya Upapa yana nguvu na ushawishi mkubwa kimataifa katika nyanja zote za maisha, ndio mana watumishi wake, Mapadre, Maaskofu nk, ni wasomi wabobevu katika fani zote:
Pamoja ya kuwa Papa kama binadamu na ana mapungufu yake, lakini Mamlaka ya Upapa ina utawala makini, na pia ina nguvu na ushawishi mkubwa katika hii dunia kama Yesu Kristo alivyo msimika
Simon Petro:
Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Sio kweli Pascal MayallaNi kweli!.
P
NakaziaHayo maswali yote ulitakiwa uwaulize Waprotestant wenyewe. Yaani kwa ufupi, huu uzi ni wa Waprotestant kutetea wanachopinga