Unatuona sisi ni wanakijiji wa Namtumbo, tuletee picha akiwa kwenye majukumu mengine.Ratiba ya Dr.Samia Suluhu Hassan akiwa AU ni tyty kuliko akiwa kazini kwake Tanzania ikulu ya chamwino au magogoni. Muda na ratiba ya kujumuika na hao mnao wataja hakua nayo kabisa, kwasababu ya ubize wa majukumu alionayo kwenye kamati na tume mbalimbali za jumuiya hiyo.
hao marais wengine wanawake waliokutana na wakawa na kamkutano hawana ratiba wala majukumu ya ziada ukilinganisha na Dr.Samia Suluhu Hassan.
Na katika muda usio mrefu, ni hivi punde mtaskia tena kijana shupavu miongoni mwa wasomi hazina ya taifa letu anatumwa na taifa na anakwenda kutumika au kua boss wa miongoni mwa taasisi nyeti na nzito sana Africa, na ndipo wenye akili na maono watatambua umuhimu wa ubize na ratiba ngumu ya Dr.Samia akiwa AU, hata asiweze kuhudhuria baadhi ya mikutano hasa isiyo na tija wala maslahi kwa Tanzania
Sio kusitaafu maana muda wake wa kustaafu kikatiba ulikuwa haujaisha.Ndio maana nakuambia Samia angestaafu kama marais wengine na maisha yangeendelea licha ya awamu yake kuvunja rekodi ya utekaji, lakini Watanzania walishasahau na wakaona maisha yasonge...
Kilichokuja tibua watu ni hili la mauaji ya Oct 29, hata JPM mwenyewe angefanya huo ushenzi angekutana nacho tu... hakuna upendeleo...
hapana,Unatuona sisi ni wanakijiji wa Namtumbo, tuletee picha akiwa kwenye majukumu mengine.
Unapoteza muda wako na maroboti.
hapana,
siwaoni ninyi kama wanakijiji, bali ni wazi mnaonekana na kila mtu kwamba nyinyi ni mamluki malofa wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi
Soma comments humu utafute percentages za waliofurahi Samia muuaji kutengwa na ambao hawajafurahia, haina hata haja ya kuvuka border kwa presenter wa CNN kupata mitazamo ya kimataifa.Gentleman,
peleka porojo na uzushi wako nonsense kwa reporter wenu useless Lary Madow mkalenjini wa Eldoret pale Kenya, ndie pekee anaweza kufurahia porojo zako za kimamluki
Gentleman hii kamba gentleman 😁😁😁Ratiba ya Dr.Samia Suluhu Hassan akiwa AU ni tyty kuliko akiwa kazini kwake Tanzania ikulu ya chamwino au magogoni. Muda na ratiba ya kujumuika na hao mnao wataja hakua nayo kabisa, kwasababu ya ubize wa majukumu alionayo kwenye kamati na tume mbalimbali za jumuiya hiyo.
hao marais wengine wanawake waliokutana na wakawa na kamkutano hawana ratiba wala majukumu ya ziada ukilinganisha na Dr.Samia Suluhu Hassan.
Na katika muda usio mrefu, ni hivi punde mtaskia tena kijana shupavu miongoni mwa wasomi hazina ya taifa letu anatumwa na taifa na anakwenda kutumika au kua boss wa miongoni mwa taasisi nyeti na nzito sana Africa, na ndipo wenye akili na maono watatambua umuhimu wa ubize na ratiba ngumu ya Dr.Samia akiwa AU, hata asiweze kuhudhuria baadhi ya mikutano hasa isiyo na tija wala maslahi kwa Tanzania
Hilo la Kizimkazi nusu Konyagi tu unajichapia na utakula mema ya nchi kikubwa uanzie Uvinza.Imagine napata limshangazi First lady
Mishangazi mnaipatapateje
Nami naipatapateje
Mbwa wa Mama Samia anabweka Whow! Whow! Whow !nonsense
Do u know you are an exaggerate Inchief?relax,
do not exaggerate nonsense plz
Kahaba hakubaliki kivyovyote 2025 hakuna uchaguzi uliofanyika nchi ...muhuni kakaa kitini kihuni.Hakuonekana akijichanganya na wenzake, inasemekana wengi walikuwa wanakwepa hata kupiga naye picha.
Mwenye picha zaidi ya hizo atuwekee hapa, nitamshukuru.
View attachment 3545560View attachment 3545559View attachment 3545561View attachment 3545562
Usinukuu vitu kwa ujinga.huna haja ya kubabaika na mambo ya vitabu vitakatifu gentleman,
kwasababu imeandikwa wazi kuhusu KUTII MAMALAKA ZA DUNIA,
Warumi 13.
13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.
6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.
Haki ya muhaini iko wazi hata kwenye biblia
Nimezungumzia upande wake endapo angetaka kuepuka kuzongwa, angeishia alipoishia mengine yangeendelea. Maana hata CCM kwenyewe walikuwa hawamtaki. Kwa sababu kura za maoni asingepita na ingekuwa aibu, hivyo ni vyema tu angejiweka kando mwenyewe akaachia madaraka kwa heshima.Sio kusitaafu maana muda wake wa kustaafu kikatiba ulikuwa haujaisha.
Unacho takiwa kusema ni alitakiwa kuweka uwanja sawa kwenye uchaguzi na uwanja wa siasa kwa vyama vingine ili ashinde kwa haki.
Alafu mkuu kilicho fanywa na samia kwenye huu uchaguzi kupika matokeo hakina tofauti na kilicho fanywa na jpm mwaka 2020 hivyo samia kaiga na ndo maana nasema jpm ni mfano mbaya kwa viongozi wajao.
ukitaka usiwe mamluki lofa wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ni muhimu kuondokana mihemko ya kinyumbu na kuandika mabandiko yaliyojaa porojo na uzushi wa kutafuta tension na public sympathy, vitu ambavyo ni nonsense kabisaUkitaka usiwe lofa, usiwe mamluki, kibaraka wa mabwenyenye wa magharibi unatakiwa kuandika habari zipi? Za mtu Ambae amejenga vyoo vya shule since 2022 hakulipwa mpaka Leo?
Au tuandike ubovu wa huduma mbovu za mabasi ya mwendokasi?
Au tuombe picha za rais akiwa na maraisi wenzeke wanawake? 😂 😂
Nani alimshauri aende akajichoreshe huko AU.?? Si angendelea kujifungia huko Kizimkazi...Uko vizr kwenye kutaftiza vijihabari. So baada ya kutengwa ndo kaachia URais!?
malofa kama nyie ndio huangamia kwa kukosa maarifa,Usinukuu vitu kwa ujinga.
Hivi unajua watawala walivyokuwa wakipatikana wakati huo? Wafalme wakati huo walikuwa wanapakwa mafuta na manabii. Kwa hiyo walikuwa wanateuliwa na Mungu mwenyewe kupitia manabii wake. Kasome Daud alivyopatikana. Hawa hawakuwa tofauti na manabii kwa sababu walikuwa wateule wa Mungu.
Hawa wanaoua watu ili watawale, ni wateule wa shetani. Na ukijishikamanisha nao, nawe unakuwa sehemu ya uovu wao, na laana itakuwa juu yako.