Sasa niwashauri zile timu zitakazocheza na Portugal wahakikishe wanapiga mashuti ya mbali ili refa asiseme offside. Pia, viungo wajitahidi wakabie katikati wasiruhusu fowadi wa Portugal kuingia kwenye boksi na ikitokea wameingia kwenye boksi wahakikishe hawachezi faulo ya aina yoyote hata kama ni nyepesi mana refa atatenga penati mana mtoa taarifa kasema kuna tetesi imepangwa Portugal achukue kombe!Wakuu!
Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri.
Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika “The Cartridge Family” (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup.
Wengine wanaingiza vita ya Adidas na Nike, wakisema World Cup iliyopita ilikuwa ya Messi, sasa hii ni ya Ronaldo.
Kama kweli kuna watu wamekaa mahali wakapanga Portugal awe bingwa...
👉 Ni kina nani hao?
👉 Na wanafaidika na nini?
👉 Hizi timu nyingine 47 hazijui?
👉 Kama zinajua, mbona zinaendelea kujitutumua, kutumia mabilioni na kupambana uwanjani,wakiumia na mbaya zaidi wametumia miaka 4 ya maandalizi? 😂😂😂
👉 Na kama hawajui kwa nini tusiwasanue?😅
Nauliza tu wakuu...
Uholanzi anakutana na Morocco 32 Bora anaweza kutolewaMbona ilishatabiliwa tangua mwanzoni mwaka ya kuwa, mshindi wa FIFA WORLD CUP 2026 ni NETHERLANDS 🇳🇱
Uingereza huyu alietoka 0-0 na Ghana ambayo ht Afcon walishindwa kufuzu, Wana Ligi Bora sana Duniani lakini national team haiwanufaishi moja Kwa moja lbd wageni ht wao pembeni wanasemaga hivyo, labda tuone mwaka huu japo mmh!!!Itapendeza maana wamelitafuta sana
Mizimu,secret society,watawa wa dini kubwa wakisingizia watakatifu au wazee wamesema hivi au vile!!Hayo ya rohoni yanapangwa na watu au kina nani?
Wao hawana hizi taarifa tunazo sisi tu😂Sasa niwashauri zile timu zitakazocheza na Portugal wahakikishe wanapiga mashuti ya mbali ili refa asiseme offside. Pia, viungo wajitahidi wakabie katikati wasiruhusu fowadi wa Portugal kuingia kwenye boksi na ikitokea wameingia kwenye boksi wahakikishe hawachezi faulo ya aina yoyote hata kama ni nyepesi mana refa atatenga penati mana mtoa taarifa kasema kuna tetesi imepangwa Portugal achukue kombe!
Labda hadi wapinzani wameshapangwa.Labda wawatumie marefu tu vinginevyo watadhalilishwa tu hakuna soka portugal
Ila mizimu😂Mizimu,secret society,watawa wa dini kubwa wakisingizia watakatifu au wazee wamesema hivi au vile!!
Neno wazee maana yake nini!!?
Yaani waliotangulia kufa kimwili lakini walikua viongozi unaambiwa Huwa hawafi na wanatupangia ya huku kwetu duniani!!
Kifupi ni kwamba miili mipya inazaliwa ulimwenguni ya watu lakini roho za mababu zinazotenda na kuambatana nao ni zile zile!!
Elewa neno wazee ndio hao wa dareeslam na ndio wawakilishi wa wale waliotangulia,neno wazee wa dar eslaam ni nahau inayowakilisha wachawi wa matambiko ya nchi yetu!!
Hivyo
Wala usifikirie Mara mbili kwa sasa hilo jambo jepesi sanaSasa hapa tutofautishe na ile situation ya Yanga maana ile ilitokea ghafla pale pale lakini hii ya kupanga kabla inafikirisha.
Wabongo wengi mnapenda sana Conspiracy Theories.Wakuu!
Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri.
Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika “The Cartridge Family” (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup.
Wengine wanaingiza vita ya Adidas na Nike, wakisema World Cup iliyopita ilikuwa ya Messi, sasa hii ni ya Ronaldo.
Kama kweli kuna watu wamekaa mahali wakapanga Portugal awe bingwa...
👉 Ni kina nani hao?
👉 Na wanafaidika na nini?
👉 Hizi timu nyingine 47 hazijui?
👉 Kama zinajua, mbona zinaendelea kujitutumua, kutumia mabilioni na kupambana uwanjani,wakiumia na mbaya zaidi wametumia miaka 4 ya maandalizi? 😂😂😂
👉 Na kama hawajui kwa nini tusiwasanue?😅
Nauliza tu wakuu...
Jepesi kivipi mkuu?Wala usifikirie Mara mbili kwa sasa hilo jambo jepesi sana
Inasemekana kuna kundi la siri la watu limekaa linaendesha dunia watakavyo.Wabongo wengi mnapenda sana Conspiracy Theories.
Kama imepangwa hata wakikutana na hao watapita tu hujaona bao la Colombia lilivyokataliwa?Acha tu wapangwe, ila ila ilaa wakiangukia kwa akina messi jeshi lake au hakimi na jeshi lake basi wamekwisha.
Unaweza kukuta mleta mada anaaminiwa kabisa na shemeji yake kupewa hela akanunue mafuta ya kula ya kupima kwa mangi na wanamuamini kabisa kua hawezi kudondosha hizo hela njiani.Utakuta mleta mada shemej yake anamuamini kabsa na kumpa wanae awapeleke stend wakasubirie school bus
Mimi niliona walitabiri ushindi wa yule mmaza.Kumbe wanatupanga maana niliona walitabiri hadi ushindi Trump.
Shemeji amesafiri ameniachia kazi ya kuangalia vifaranga vya kuku kuhakikisha vinapata chakula na maji na havipati magonjwa.Unaweza kukuta mleta mada anaaminiwa kabisa na shemeji yake kupewa hela akanunue mafuta ya kula ya kupima kwa mangi na wanamuamini kabisa kua hawezi kudondosha hizo hela njiani.
Usiridhike sana na habari za "inasemekana", ukiridhika nazo unaweza kulishwa hata mavi.Inasemekana kuna kundi la siri la watu limekaa linaendesha dunia watakavyo.