Prince_Nurudin_Tz
Senior Member
- Jun 28, 2024
- 172
- 133
Ana jitoa akili wakati na hii mada kaanzisha mpumbavu mwenzieHakuna mkiristo mwenye muda na waisilam wakati kila siku wakristo wanaanzisha nyuzi zaidi ya 5 za kufanya kejeli dhidi ya waisilam kila siku?
Ww kweli utakuwa na mavi kichwani.
Swali katoa mtoa mada , mimi nikamwambia huyo sheikh yupo sahihi , sasa wewe unaye mpinga huyo sheikh hayo menono umeyatoa wapi , ktk quraan au sunnah,Kwahiyo hilo uliloleta siyo swali! Haya sheikh.
Wanawake wakienda makaburini kuna tatizo gani au wanapata madhara gani?Siyo kweli,Muislamu anahudhuria misiba ya wakristo na hata ya wale wasioamini dini yoyote isipokuwa haruhusiwi kushiriki ibada na wanawake hawaruhusiwi kwenda makaburini haijalishi msiba wa Mkristo au Muislamu.
Dini Yako, lkn ya kiislam inakataza, sababu hizo ni ibada na haziwezi endana kama kanisani na msktini wasivyo shirikiana, pia elewa dini ni maelekezo na siyo matakwa ya watu au jamiiLakin din hainikatazi kushiriki mazishi ya kiislamu
Mkuu, kwa uislamu siyo lazima, nina maana ya kwamba haulazimishi kua muislamu, pia Allah hato pungukiwa chochote au kuzidi chochote wewe ukiwa muislamu au kutokua muislamu, hivo ni maamuzi yakoWaafrika ndio waliingizwa mkenge na hizo walizo danganywa kwamba ni dini wakati ni tamaduni tu za watu waliowazidi akili.
Unabadilishiwa jina unapewa la kwao eti ndio utaingia mbinguni.😂😂😂
Huu ndiyo msimamo sahihi! Mwenye akili na aelewe!Siyo kweli,Muislamu anahudhuria misiba ya wakristo na hata ya wale wasioamini dini yoyote isipokuwa haruhusiwi kushiriki ibada na wanawake hawaruhusiwi kwenda makaburini haijalishi msiba wa Mkristo au Muislamu.
Wataenda kumfukia kuondoa harufu, kuzika hawataweza sababu ya imaniNgoja tukaulize kwa ma sheikh , lakini hapo hapana maziko in short huyo atazikwa na city , kama ingelikuwa mtoto sawa
Huo ni msimamo wako na si dini , mtume au maswahaba pia mnafiki ni daraja la juu kuliko hata kafiriHuu ndiyo msimamo sahihi! Mwenye akili na aelewe!
ujafafanua Vizuri labda sababu ya ujinga wako na elimu yako ya Dini. Mazishi ni ibada na hizi ibada zimetofautia kuna ibada za kishetani yaani zimeanzishwa na binadamu mfano kuaga maiti kwa mara ya mwisho hiyo Muisilamu amekatazwaNimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
Sahihi kabisa lakini kwa swali lake kalenga Zanzibar na huko serikali ipo basi itamzikaWataenda kumfukia kuondoa harufu, kuzika hawataweza sababu ya imani
Swali je unaenda kuzika kwa misingi ipi , na kule msibani unaenda kusikia nini na kujifunza nini,ujafafanua Vizuri labda sababu ya ujinga wako na elimu yako ya Dini. Mazishi ni ibada na hizi ibada zimetofautia kuna ibada za kishetani yaani zimeanzishwa na binadamu mfano kuaga maiti kwa mara ya mwisho hiyo Muisilamu amekatazwa
lakini jirani akifa tunaruhusiwa kwenda msibani hayo mengine tunawaachia wenyewe
Hiyo ruhusa ya kushiriki misiba ya kinaswara, ki yahudi na ki Pagani , ki kafiri umeitoa wapi ,ujafafanua Vizuri labda sababu ya ujinga wako na elimu yako ya Dini. Mazishi ni ibada na hizi ibada zimetofautia kuna ibada za kishetani yaani zimeanzishwa na binadamu mfano kuaga maiti kwa mara ya mwisho hiyo Muisilamu amekatazwa
lakini jirani akifa tunaruhusiwa kwenda msibani hayo mengine tunawaachia wenyewe
Kama unaona ni upuuzi hilo ni tatizo lako na si letuWaafrica tunajidai tunapenda dini kuliko waliotuletea, nchi maskini mtu anawaza dini!
Upuuzi wa mwisho!
Maneno mengi lakini hamna kitu na ndio maana kila siku masheikh wana tuhusia tusome tusidharau na kuicha kusoma dini, ipo wazi mtume kaamrishwa kuhusu jirani, pia ktk jirani pa ku angalia sana , ndio maana nikasema ikiwa jirani yu mgonjwa hapo sawa ila andiko lina kubali ila siyo kumzika kwa sababu ukimzika utashiriki ibada za ukristo, pili kuna kuchangamana na wanawake, kwanza kikao chochote asichotajwa Allah na mtume hicho kikao ni batili, pili hapo muislamu ata ingizwa mafundisho yasiyo sahihi kwake pia kuna hii ayaKwanza ifahamike si kila mtu anayevaa kanzu au kujiita Sheikh ni Sheikh kweli,kwahiyo msiyapokee mambo kibubusa tu
Pili,Uislamu umeweka mkazo mkubwa sana katika utengamano na jamii,yani ni muhimu sana jamii kushirikiana kwa hali na mali,ndio maana ujirani katika mtazamo wa kiislamu ni jambo kubwa na muhimu sana.
Mtume Muhammad rehema na amani ziwe juu alikuwa anahusiwa sana na Malaika Jibril mara kwa mara wanapokutana juu ya swala zima la kuwajali majirani
Sasa je utawajali vipi majirani kama hauhudhurii furaha yao au wakati wa huzuni yao?
Kwahiyo kuhudhuria misiba inaruhusiwa ila kuna baadhi ya mambo hatutakiwi kushiriki kama kuangalia maiti kama wasio waislamu wanavyofanya,hata ndani ya uislamu maiti inaangaliwa na ndugu wa karibu tu lkn sio kila mtu anaweza kumuangalia maiti
Kwahiyo kushiriki misiba ni ruhusa na hata kuzika ila kuna baadhi ya ibada tunajitenga nazo,je kuna mwenye shida na hilo?
Nyinyi ndio ndugu zetu ambao mnasoma dini kisha huelewa wenu unakuwa una mashakaManeno mengi lakini hamna kitu na ndio maana kila siku masheikh wana tuhusia tusome tusidharau na kuicha kusoma dini, ipo wazi mtume kaamrishwa kuhusu jirani, pia ktk jirani pa ku angalia sana , ndio maana nikasema ikiwa jirani yu mgonjwa hapo sawa ila andiko lina kubali ila siyo kumzika kwa sababu ukimzika utashiriki ibada za ukristo, pili kuna kuchangamana na wanawake, kwanza kikao chochote asichotajwa Allah na mtume hicho kikao ni batili, pili hapo muislamu ata ingizwa mafundisho yasiyo sahihi kwake pia kuna hii aya
Hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfuate mila zao
Pia ku changamana kati ya mtume na manaswara kupo wazi , rejea Quran , Hadith case study mikataba ya waislamu chini ya mtume na makafiri
Ikiwa mzee Ibrahimu ali ammliwa kumuacha baba yake asiyefuata uislamu, vipi kuhusu sisi ni Bora kuliko ibrahimu
Yaani badala ya kusema umesoma sehemu flan wewe unaleta habar ( chanzo ) kikiwa tick taka?Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
Kwa mantiki iyo basi haitakiwi kuzikanaDini Yako, lkn ya kiislam inakataza, sababu hizo ni ibada na haziwezi endana kama kanisani na msktini wasivyo shirikiana, pia elewa dini ni maelekezo na siyo matakwa ya watu au jamii