Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

Matusi ya nini?
 
Kidogo wewe umefafanua vzr
 
Ikiwa mkono utaadhibiwa kwa kugusa kisicho stahili, vipi kuhusu sikio liliosikiliza uovo kwa makusudi , je litaachwa, Allah atazungumzisha viungo vya mwanadamu, kama ulipatamuda wa kusikiliza mahubiri na Misa za msiba na risala ya maremu, basi hilo sikio litasema ukweli wote, si maneno yangu hapana kama una bisha sikio haliulizwa kilicho sikiliza basi sawa hata macho pia
 
Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
Uislam ni dini iliyoundwa kwa misingi ya ubaguzi, fuatilia historia ya Muddy enzi zake akiwa anabaka wake za watu na kuua waume zao. Alitaka kuangamiza wasiomuabudu na kuzaa na wake zao ili kueneza Uislam na akawa anatawala kimabavu ili mradi tu Muislam awe mtu wa maana katika jamii. Usikute hata huyu Shehe hajuwi lolote kama ilivyo kwa waislam walio wengi, wao wanaabudu tu ila hawajuwi lolote kuhusu dini yao. Ukiwafungua macho wanatishia kukusomea albadiri au kukuchoma kisu ufe ili mradi tu usiongee ukweli wasioutaka.
 
Mkuu unahudhuria kwenye mazishi ya kiislam au ibada ya mazishi ya kiislam

Na je waislam wamekatazwa kuhudhuria mazishi au ibada ya mazishi?
Hakuna mahali ilipokatazwa. Huku kwetu, Jamii yote bila kujali Imani ya mtu wote tunashiriki mazishi awe mwislamu au mkristo au asiye na dini. - tunakutanaga kuanzia nyumbani kwa marehemu, Kanisani (tena ndani ya kanisa)hadi makaburini. Hakuna shida. La msingi hapo ni kuheshimu kinachoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…