Nanukuu:Haikatazwi kuhudhuria misiba ya wasio waislamu ila usivuke mipaka. Kwa mfano waislamu huwa hawaagi maiti kwa hivyo watu wakiwa wanaaga wewe unakaa pembeni. Na pia kwa upande wa wanawake hawatakiwi kwenda makaburini, sasa unakuta mwanamke muislamu lakini anaenda mpaka makaburini kuzika ndio mana mashehe wanagomba.
Huyo sio shehe wa kweli,ni shehe ubwabwaNimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
Ok. Leo nimejua Kumbe shehe ubwabwa anaitwa sheeee.Huyo sio shehe wa kweli,ni shehe ubwabwa
Wapo kibao. Ungia TikTok na Instagram. Na uzuri waumini wanawalewa sana, wana wapa big up.Huyo sheeee (kama yupo kweli) alichosema sio cha Mungu.
OooooH! Kumbe ni mkakati wa watu fulani wanaovaa baraghashia na kujitanda nguo nyekundu shingoni. Labda watawapata watakaochangia ujenzi wa madrasa.Wapo kibao. Ungia TikTok na Instagram. Na uzuri waumini wanawalewa sana, wana wapa big up.
Ndiyo kwani lazima?Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
Hawajalazimishwa lakini machoni mwa Jamii jambo hilo sio poa kwani linachipusha mbegu ya Ubaguzi wa kidini na kuigawa Jamii mahalia. Kwani wakihudhuria walau kama wasindikizaji tu kuna shida gani??Ndiyo kwani lazima?
Kwani lazima?Hawajalazimishwa lakini machoni mwa Jamii jambo hilo sio poa kwani linachipusha mbegu ya Ubaguzi wa kidini na kuigawa Jamii mahalia. Kwani wakihudhuria walau kama wasindikizaji tu kuna shida gani??
Sio lazima. Dhamiri yako (karma)ndo itakulazimisha.Kwani lazima?
Msilazimishe. Kama hamtakiwi achaneni na misiba siyo lazima au kulia liaSio lazima. Dhamiri yako (karma)ndo itakulazimisha.
Ninachojua muislam inabidi atangulie halafu Maiti ifuate na makaburini asikae upande ambao msalana utakuwa mbele Yake.kaongopa
Nimesema haujalazimishwa. Ni maamuzi yako kusuka au kunyoa. Kumbuka huyo ni sheeee (sio Shekhe)aliyesema sio Mamlaka au Msemaji katika Imani. Ni mhubiri tuu na anaweza akawa anahubiri ya kwake anavyojisikia.Msilazimishe. Kama hamtakiwi achaneni na misiba siyo lazima au kulia lia
Kuna mipaka yake.Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
Naona wenzake hapo wamesema eti ni sheeee ubwabwa. Manake sio mkweli.Viongozi na watoto wengi wa imani ya Kiislamu wamesoma shule nyingi za kikristo. Na wanaifahamu vizuri Quran na Biblia
Uyo jamaa ajitafakari
Umenena vyema. Cha msingi hapo ni Wameshiriki. Huo ndo uungwana kuliko kujifungia nyumbani au kuendelea na mishe zako kana kwamba aliyekufa ni kuku na Haikuhusu.Kuna mipaka yake.
Hairuhusiwi kuingia kanisani , kuomboleza kama wanavyoomboleza wakiristo
Msilazimishe. Kama hamtakiwi achaneni na misiba siyo lazima aSio lazima. Dhamiri yako (karma)ndo itakulazimisha.