Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Hata ukiingia kwa proffesional mafunzo ya kijeshi ni lazimaKwani watu wote wanaojiriwa kama wanajeshi ni kwa ajili ya kupigana vita vya ardhini kwa miguu??
Hakuna marubani wa ndege, madaktari, wapishi, mabaharia, IT, mafundi n.k?
Ipo hiyo mkuu. Kuna broo wa mtaani mmoja hivi hata form 4 hakumaliza. Baba ake alikua mstaafu wa jeshi akamfanyia mipango akaingia. Connection ni janga lipo kila sekta nchi hiiHadi jeshini nako ipo hii
Naona kuanzia urais hadi kufanya usafi toilet kote unahitaji connection, mai kantreIpo hiyo mkuu. Kuna broo wa mtaani mmoja hivi hata form 4 hakumaliza. Baba ake alikua mstaafu wa jeshi akamfanyia mipango akaingia. Connection ni janga lipo kila sekta nchi hii
Unaongea na MTU via radio call, italeta shida sana, labda abadilishiwe position.Inawezekana sana tuu
Vifaa vya kisasa, hatuwezi kutumia watu tuliowasomesha kwa muda mrefu kwenye mambo ya kisiasaTeknolojia ipi mkuu
Kwa Maelezo haya ww itakuwa ni mtaalamu wa afya, probably specialist... Maelezo yako very clear, precise.Unataka tukuelekeze kidaktari au tukuache anyways let me tell you
Mwili una normal body weight distribution ambayo inategemea mostly how the foot arch iko
Foundational bones kama talus kwa watu wenye flat foot inashuka chini na kupelekea talar plantarflexion and adduction ikishuka chini ina displace the navicular bones from its normal place hii cascade inaendelea kwenye cuneiform bones ambazo ziko
Lastly ni kwamba pressure ya mwili mzima inakuwa distributed kwenye metatarsal bones
Why this is disadvantage
1. Unachoka haraka nenda jeshi hawatohitaji kukufukuza
2. Huwezi kutembea umbali mrefu
3. Hard for you to wear hard army gears
So hakuna mtu akachukia
Watu wenye diabetes (kisukari ) hawana flat foot ila natural distribution kukosekana wanapata charcoal foot and it's bad
MDKwa Maelezo haya ww itakuwa ni mtaalamu wa afya, probably specialist... Maelezo yako very clear, precise.
HahaNext time uwe unaangalia majina ya mfuko wa shati kwa makanzerrr
#kama unamabega mazito
Sio woteIna maana majamaa waliopo chomboni wote wazima
Aiseee😅😅😅ila miguu yao mizuri kama bata
Kigugumizi ni sawa mkuu cuz jeshini ni kuchangamka ukipewa order inatakiwa fasta unaitikia "yes sir" na haraka unaondoka kutekeleza order.Vigezo ambavyo naona ni unfair ni
- Kigugumizi
- kukosa meno kadhaa
- Makovu madogo (japo siyo yote)
Hapa madogo wengi wanatemwa sana asee
na we una miguu ya bata😊Aiseee😅😅😅
Hiyo ni aina mojawapo ya ulemavu japo utotoni kulikuwa na jamaa mtaalam wa kupiga mitama licha ya kuwa na nyayo za chapati.Wasalaam wanagenzi na wakuu katika ujenzi wa maendeleo
Hili suala nimekuwa nikilisikia sana kuwa watu wasio na uvungu miguuni hawakubaliki jeshini?
Je ni kweli? Kama ni kweli kwanini
Zipi sababu hasa zinazopelekea wakataliwe? Wajuzi wa mambo mtuambie...
Hii fact kabisaKigugumizi ni sawa mkuu cuz jeshini ni kuchangamka ukipewa order inatakiwa fasta unaitikia "yes sir" na haraka unaondoka kutekeleza order.
Sasa ukiwa na kigugumizi mpaka umalize kusema yes sir umesha chelewa.
Mfano
Ambaye hana kigugumizi atasema "yes sir" na kuondoka fasta.
Mwenye kigugumizi atesema "yeyeyeyeyeyeyyeyes sir". Hapo kasha delay sekunde nyingi bomb 💣 lishawalipukia.
Namjua mwanajeshi mwenye mapengo mawili ya mbeleVigezo ambavyo naona ni unfair ni
- Kigugumizi
- kukosa meno kadhaa
- Makovu madogo (japo siyo yote)
Hapa madogo wengi wanatemwa sana asee