Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

Umeona kasheshe hii?

Halafu wiki kadhaa zilizopita waliitana kindugu kufanya press eti kusapotiana kimataifa

Ndio maana Afisa Habari wa Simba hakuenda, kwasababu walikuwa wanafanya unafiki tu.
Duh 🀣
 
Pamoja na kuwawekea video watasema ni propaganda
Timu walizozipokea

1. Rs Berkane
2. Platou
3. Asec Mimosa ya misimu miwili iliyopita
4. Jwaneng Galaxy

Halafu hiyo timu ikaja kufanya press eti tusapotiane kimataifa.
 
Hatuui mada tuna expose ushamba wa Yanga.

Kuna baadhi ya vitu huwezi kushangazwa kuviona kwasababu vinafanywa na mashabiki.

Lakini kuona kiongozi wa juu kabisa wa Club anavaa hadi jezi ya timu pinzani huo ni ushamba
Sasa si umeona ushaaribu mada
 
Wee usitudanganye hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kambaa haumfungi aseeeeh.
 
Hazijawahi kuacha kuwa kitu kimoja kwenye maslahi ya kitaifa...

Hizi ni habari ambazo wanachama wa kawaida hawatakiwo kujua...

Hivi unajua kuwa kwenye mechi kubwa hawa jamaa wanaweza tumia mchawi/wachawi wale wale...?
Mmmh kwa hili hapanaaa, tuachee kwani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora wee umesemaa hapa. Lol
 
Hatuui mada tuna expose ushamba wa Yanga.

Kuna baadhi ya vitu huwezi kushangazwa kuviona kwasababu vinafanywa na mashabiki.

Lakini kuona kiongozi wa juu kabisa wa Club anavaa hadi jezi ya timu pinzani huo ni ushamba
Nakazia ni USHAMBAAAAA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu anatoka mtu huko.kavimbiwa ugali wa muhogo anasema hersi ni kichwa cha mpira
Wapumbavu kabisa hao
Kichwa cha mpira atakuwa yule?

Hata kwenye mechi yao na Cr Belarouzidad nilishangazwa na baadhi ya watu waliokuwa wanasema viongozi wa Simba wajifunze kutoka kwa Hersi.

Wakasema sijui Simba inafanya Magumashi kwenye usajili na ndio gape ambalo Hersi amekuwa akiwapita.

Wamesahau kuwa ni Hersi huyo huyo aliyemleta Michael Sarpong na mashabiki walimbeba mabegani wakijua wamepata mtu.

Na Hersi akawaambia mashabiki wasipopata ubingwa aulizwe yeye, na mashabiki walivyokuwa watu wa hisia wakajaa kweli.

Lakini jamaa katika miezi mitano yote hata goli moja hakupata na hao hao mashabiki waliombeba wakamgeuka na kuamza kumzodoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…