[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona yanavyokimbizana kurudi kwako. Huku yakiwa yanalia "mkuu tumeishiwa nguvu, tusaidie" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] Utazimia
ππ€£πππYatanirudisha kigamboni nikilia π€£ππππ no aisee ntakutupia nikumbeleze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona yanavyokimbizana kurudi kwako. Huku yakiwa yanalia "mkuu tumeishiwa nguvu, tusaidie" [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udi na ubani wa Cairo, ni kiboko ya majini uchwara wa Avic Town.[emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]Yatanirudisha kigamboni nikilia [emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] no aisee ntakutupia nikumbeleze
π€£π Duh π€£π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udi na ubani wa Cairo, ni kiboko ya majini uchwara wa Avic Town.
Huyu mwamba anavyotema madini humu halafu ghafla mpira unakuja katikati na kumtemesha pumba kama hizi inasikitisha sana!!Lakini kwa Yanga utaona hilo lipo tofauti.
Kwani hadi viongozi wanahusika kama mpango kazi wa kuifelisha Simba.
Yanga ndio timu pekee ambayo viongozi wake waliwahi kwenda kuwapokea wapinzani wa Simba ili Simba ifungwe.
Yanga ndio timu pekee ambayo imewahi kuwatengea semina ya kuwapa mbinu wapinzani wa Simba ili waifunge Simba.
Yanga ndio timu pekee ambayo viongozi wao waliwahi kutoa shutuma za uongo kwa timu pinzani kuwa iwe makini na vyumba vya kubadilishia nguo kwa maana Simba hupulizia sumu.
Na jana tulisikia hizi tetesi za Jwaneng Galaxy kupokelewa hapo Kigamboni
Japo hiyo habari bado haijawa confirmed ila kupitia rekodi hizo hapo juu naona hilo linauwezekano mkubwa kuwa ni kweli.
Tatizo la kuanza kushabikia mpira juzijuzi. Nataka nikupe taarifa maana hata nikikukumbusha sina hakika kama unajua. Kuna match ilichezwa ya Yanga na TP Mazembe mwaka kati ya 2014 hadi 16. Nenda kafuatilie nini kilitokea nje ya uwanja. Yanga alikufa goli 1-0. Msipende kujiona nyie wasafi sana hizi propaganda zolianza muda sanaaYanga wameifanyia mangapi Simba, mpaka Raisi wenu alivaa jezi ya mpinzani.
Huu ni mwendelezo tu ya haya mnayofanya, oneni aibu hio sawa.
Hata kama ushabiki msitetee kila kitu, mjirekebishe, mbona nyie mechi zenu Simba hawahusiki kabisa !
Mmmh kwa hili hapanaaa, tuachee kwani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee usitudanganye hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kambaa haumfungi aseeeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umeamka? Unalala kwa amani au raha gani uliyonayoo?[emoji1787][emoji23] Duh [emoji1787][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmmh jamani jamani, mbona ghaflaa sanaa?Hahah umenifurahisha namna ulivyokataa...
Hizi ni mambo za siri huwezi elewa, tukubaliane tu kutokukubaliana...
YaΓ±ga umepata Kiongozi limbukeni .. haa anayafanya!Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?
Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...
Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo π , kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...
Na kama wamekula vya Avic na walishaji ni Yanga, wajue wamekula vya Simba pia π
Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?
Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...
Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo
Kwa roho mbaya ya viongozi na washabiki wa yanga, hilo halijawahi kutokea na halitatokea.Hazijawahi kuacha kuwa kitu kimoja kwenye maslahi ya kitaifa...
Hizi ni habari ambazo wanachama wa kawaida hawatakiwo kujua...
Hivi unajua kuwa kwenye mechi kubwa hawa jamaa wanaweza tumia mchawi/wachawi wale wale...?
Acha auwongo wewe; Jwaneng wametua Dar wakati Yanga pamoja na uongozi wote wakiwa Misri. Jukumu la kupokjea timu pinzani ni la timu mwenyejiInatusaidia nini sisi? Haya kiko wapi? Na kama Simba wangeshindwa sisi tungefaidika na nini? Hizi ni roho za kichawi tu. Viongozi badilikeni acheni huu upumbavu.
Mwishoni wote tunaonekana tu vilaza.
View attachment 2922583
π€£ππππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umeamka? Unalala kwa amani au raha gani uliyonayoo?
MABINGWA wa kihistoria Tanzania, YangaHatuui mada tuna expose ushamba wa Yanga.
Kuna baadhi ya vitu huwezi kushangazwa kuviona kwasababu vinafanywa na mashabiki.
Lakini kuona kiongozi wa juu kabisa wa Club anavaa hadi jezi ya timu pinzani huo ni ushamba
Kitu hiki nimetoka kukieleza sehemu. Mwaka Jana wakati Yanga anacheza Shirikisho dhidi ya TP Mazembe na Simba wanacheza Champion dhidi ya Wydad hapa Dar nilibahatika kukaa na timu ya Simba pale Hotelin Element Masaki.Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?
Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...
Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo π , kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...
Na kama wamekula vya Avic na walishaji ni Yanga, wajue wamekula vya Simba pia π
Kuna mtu humu kila Yanga ikicheza utasikia "nimewaandikia barua timu fulani kuhusu mambo wanayofanya Yanga ili washinde, nawapa tahadhari timu fulani" kwahiyo wewe kaa kwa kutulia... btw leteni ushahidi wa moja kwa moja ukionyesha hiyo timu kusaidiwa na hiyo timuInatusaidia nini sisi? Haya kiko wapi? Na kama Simba wangeshindwa sisi tungefaidika na nini? Hizi ni roho za kichawi tu. Viongozi badilikeni acheni huu upumbavu.
Mwishoni wote tunaonekana tu vilaza.
View attachment 2922583
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amka heka heka zikugandee, afu week nzima sasa.[emoji1787][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]