Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Kama imani inavyotaka mungu aaminiwe mimi ni mkristo nafunga na kusali na kutoa sadaka
Interesting, kuna jambo nataka kukuambia pengine litakusaidia ila kwa hapa siwezi kulisema
 
We unachekesha, wakae chini waongee nini yani? Tena huyu mwanamke mpole kmmk mi ndio ningemnyoosha huyo wa kujilaza ndani ka mlemavu mxiew!
Kumbe na wewe katili namna hii?
 
Fata ya kwako aisee,ugumu mwingine wa maisha ni wa kujitakia,achana nae,hata kama sio swala la kukataa kazi mimi nikiona maisha yamekuwa magumu nitamshauri mwanamke ajiongeze tuu
 
Nimesoma comments, wana chuki tu dhidi ya wanawake hawachangii mada wanamuattack mleta mada especially wakilinganisha hali zao halisi na kilichotokea hapa!
Mtoa mada mwenyewe sasa
 
Sana mpaka kaburini
Najivunia sana kuzaliwa Dume, ila kuna muda life linapeleka moto sio poa. Mwenetu anapitia kipindi kigumu, hii story tumepewa ni ya upande mmoja, sijui upande wake kuna lipi.
 
Naonge la mwisho, achana nae kaa nae mbali hujazaliwa nae. Focus na maisha yako achana na mpuuzi huyo. Kaanze maisha upya ukiona analeta vagi kwenye kuondoka muachie kila kitu kaanze moja
Mleta mada anahangaika kujibu vijana wavivu wanaotaka mwanamke mwenye mtoto mdogo awalishe! ila kizazi cha sasa ni mtihani mzito! Hili ni pigo aisee!
 
Nimesoma comments, wana chuki tu dhidi ya wanawake hawachangii mada wanamuattack mleta mada especially wakilinganisha hali zao halisi na kilichotokea hapa!
Unajua what lacks there ni mawasiliano. Huyo mwanamke anaumia ndani because hajui mumewe anapitia nini. Hajui yeye a nadhani ni rahisi. Hapo angeongea nae akajua nini kinamfanya akate tamaa ingemsaidia kujua wanaanza wapi
 
Kwa namna ulivyoeleza si kama kwamba unatafuta ushauri, nadhani umeona uelekeo wa ushauri uliopokea
Tupo humu kupata mitazamo ya watu tofauti unachoona ww ni kigumu kwa mwenzio chepesi na sio kila mtazamo na ushauri utauchukua ni kuchuja chuya na mchele basi
 
Mleta mada anahangaika kujibu vijana wavivu wanaotaka mwanamke mwenye mtoto mdogo awalishe! ila kizazi cha sasa ni mtihani mzito! Hili ni pigo aisee!
Dah nachoka shangazi yenu
 
Tupo humu kupata mitazamo ya watu tofauti unachoona ww ni kigumu kwa mwenzio chepesi na sio kila mtazamo na ushauri utauchukua ni kuchuja chuya na mchele basi
Sawa endelea kuchuja chuya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…