Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Haaaa ndo mana mnakufa mapema sasa kama huwezi kumwambia mkeo utamwqmbia nani ,changamoto gani ambao inakufanya usifanye kazi ikiwa una utimamu nasio mlemavu wala kiwete
 
Tuko single room wala hajisumbui kutafuta kaiz
 
Kuna husda amefanyiwa na mpenzi wake wa zamani sana,muweke sawa,mambo yatakuwa safi...(Maisha ya leo bila kuzunguka kidogo ngumu wivu wa kijinga umekuwa mwingi)
 
Huyo mvulana hata kama anasingiziwa vipi, kitendo cha kuchagua kazi,kujilaza geto na kula ukweni ni jipu tosha!
 
Mtu kapata milioni 3 , kakupa milioni moja halafu unasema biashara imekufa ukachukua mkopo.
Maelezo yako yana maswali mengi kuliko majibu.
 
Haaaa ndo mana mnakufa mapema sasa kama huwezi kumwambia mkeo utamwqmbia nani ,changamoto gani ambao inakufanya usifanye kazi ikiwa una utimamu nasio mlemavu wala kiwete
Yaweza kuwa mambo ya kutia fedhea mkuu aliyofanyiwa huko kwenye ajira za viwandani😂😂
 
Ni ngumu sana na kuna mikoa nimekaa yani mtu kulelewa kawaida kuna miaka nilikua mtwara wanavyoishi wamakonde unasema duuh mbona noma
 
Hawachekechi ni kulipuka tu ilimradi imegusa uhaisia wao!
 

Kuna husda amefanyiwa na mpenzi wake wa zamani sana,muweke sawa,mambo yatakuwa safi...(Maisha ya leo bila kuzunguka kidogo ngumu wivu wa kijinga umekuwa mwingi)
Nakataa husband nakutojishughulisha kutafuta kazi havihusiani
 
Huyo mvulana hata kama anasingiziwa vipi, kitendo cha kuchagua kazi,kujilaza geto na kula ukweni ni jipu tosha!
Ila hapo kwenye kula ukweni ni balaa. Inasikitisha sana, jamaa yaweza kuwa mtu wa Dar es salaam.
 
Yaweza kuwa mambo ya kutia fedhea mkuu aliyofanyiwa huko kwenye ajira za viwandani😂😂
Ni mengi ila nilimshika mkono na kumtafutia kazi sehemu nyengine lakini hashikiki
 
Una maanisha mimi ni nuksi ndo mana maisha yake yamevurugika nenda kwenye point unachomanisha
No, siamini kwenye hayo mambo ya nuksi na mikosi. Lakini wanawake mna influence kubwa sana kwenye saikolojia ya mwanaume. The na hua inakua vibaya sana kama jambo jema lika turn out kua painful. Sijamaanisha liwe baya, bado ni jema lakini ni painful.

Jifunze namna nzuri ya ku connect nae, then talk to him. Muokoe wakiti bado mambo hayajawa mabaya zaidi. Huo mpito wanaume wengi tunapitia, tofauti ni intensity tu, wengine wanazidi(kama huyo).

Thought hujatuambia ukweli wote(from your side), i think he worth fighting for. USIMKATIE TAMAA MWANAUME AKIWA BADO ANAPUMUA.
 
Niulize ntakujibu mimi ndo muhusika wala usijar mana siko hapa kumkandamiza huyu mwenzangu ila kuhitaji ushauri
Wewe ndio unaishi naye, unajua ukweli wote. Hakuna atakayekupa ushauri sahihi ila kwa umri wako tayari umekomaa kiakoli, chukua maamuzi unayoona yabafaa maana lolote litakalotojea hao unaohitaji ushauri kwao hautawaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…