Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Hapana nimesema kile ambacho wewe unacho lakini hukiandiki for the sake of survival.. 😂 Ndo kile huyu mleta mada anakikwepa ya kuwa every one has flaws ila anaona flaws za mumewe hazina mashiko kwa sababu ni mwanaume
Wala sina hiyo mindset kuna vitu ni kwaajiri ya kujifunza ila ww huwezi kuvimudu! Kwa sababu hiyo Narudia tena for ur own sanity let things go..
 
NILIJUA TU, Huwezi kuacha kitu kisitoke moyoni, hapo simuongelei my mom, hebu tuishie hapa kabla hatujavunjiana heshima!
Najua unanilinganisha na mzee wako which is ridiculously pointless. Mzee wako na wazee wengi hawakuwa na wanawake wajinga enzi zao. Wali ishi kwa kuheshimiwa... Haukuwa na ego play ambayo nyie mnaitukuza wakati in real physical world tukiwaachia majukumu mnatapika nyongo
 
Wewe kumbe una akili nyingi hivi?

Baadhi yao ndio wapo hivyo wanajificha kwenye kichaka cha mwanamke mpambanaji ili aanze kushinda kwenye kijiwe cha kahawa

Kama huyo kutoa hiyo 1M amejisahau na kulala ndani ili ahudumiwe
Noma sanaa!
 
Wala sina hiyo mindset kuna vitu ni kwaajiri ya kujifunza ila ww huwezi kuvimudu! Kaasababu hiyo Narudia tena for ur own sanity let things go..
Umejuaje? And why were you pretending to have known everything? Ulikuwa u najifunza au ulikuwa unacheza?
 
Kuachana na huyo mwanaume au kutoachana naye inategemeana na upendo wako juu yake kama unaupendo wa kweli juu yake utamvumilia kama huwezi kumvumilia mwambie ukweli kwamba usipobadilika siwezi kukuvumilia asipobadilika na kumvumilia huwezi achana naye tunafanya mambo yote kwenye maisha kwaajili ya kutafta FURAHA phia unaweza kumpuuza ukafanya mambo yako
 
Hakika wew ni senior lecture Udsm..unamwaga nondo kama professor wa maisha na familia tengefu
 
huyo mwanaume nyumbani kwa wazazi wa mkewe ni kwao pia
hahitaji kukaribishwa, labda kama na wao wakwe ni choka mbaya hoe hae
pangu pakavu tia mchuzi.
Kwani hana kwao? Anyways hakuna mtu asiyefaa kwa kila kitu!
 
Kwani hana kwao? Anyways hakuna mtu asiyefaa kwa kila kitu!
irl umewahi kumfukuza mtu mzima asile chakula ambacho hakushiriki kukiandaa? either kwa kutotoa pesa kinunuliwe au alijibweteka tu na kusubiria kulishwa/kupikiwa

irl =in real life
 
Mkuu kumbuka hii ni story ya mwanamke. Hatujasikia ya upande wa mwanaume. Usiwe mwepesi wa kumrushia lawama mwanaume kwa kusikiliza maelezo ya mwanamke pekee yake. Sio kwamba mwanaune hakosei lakini angalao ananyosha maelezo hata kama ana makosa unajua hapa alikosea. Lakini mwanamke mara zote story yake ni ya kupikwa
 
inawezekana jamaa ni boya
Mjinga fala na Hana akili tukitumia story yako ila kama tukitumia uhalisia mvumilie mchizi wanaume wanakuaga na mbanga nyingi ambazo wanawake wengi hawajui
Binafsi nakutana na hiyo hali ya kutotaka kazi ngumu na huwa napiga simu zisizo na maana kujifanya dalali?? Mvumilie mwana uku mtaa hakuna mzima
 
irl umewahi kumfukuza mtu mzima asile chakula ambacho hakushiriki kukiandaa? either kwa kutotoa pesa kinunuliwe au alijibweteka tu na kusubiria kulishwa/kupikiwa

irl =in real life
Sikuwahi wala sitowahi kufanya hivyo na katika vitu ambavyo siwezi kumnyima mtu ni chakula, nitakunyima pesa ila sio chakula!

Nb: ninachoandika hapa hakina uhusiano na maisha yangu dear lads.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…