Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Hata hivyo ugolikipa haufai. Mwanaume hakikisha umeoa mwanamke aliye enda shule na anayejua kufanya kazi. Hii itasaidia kufunza hata watoto wako wakike jinsi ya kujitegemeaWewe kumbe una akili nyingi hivi?
Baadhi yao ndio wapo hivyo wanajificha kwenye kichaka cha mwanamke mpambanaji ili aanze kushinda kwenye kijiwe cha kahawa
Kama huyo kutoa hiyo 1M amejisahau na kulala ndani ili ahudumiwe
HajanioaHatuoi single mother mueleze abaki kwenye ndoa yake mpaka imuue
Nakuambia ukweli,na utazalishwa ovyoNi mtazamo wako huo
Asante sana ubarikiwe ni kweli kabisaSijui nakushauri vibaya au lah
Lakini huyo mwanaume hakufai
Usitishwe na maneno ya watu ya kuitwa single mother kheri uwe single mother kuliko kua single married
Ondoka hapo acha aendelee kulala akiona haupo na wa kumuhudumia hamna atachagua yeye sasa afe njaa au atoke njee akatafute
Binti wanaume ni wabinafsi sana kama hujui thamani yako utayumbishwa mpaka useme hiki ni nini?
Hivi umewahi kuona mwanaume akiacha ndoto zake au mipango yake kisa mwanamke
Sisi ndio deileee tunajitilisha huruma
Na kuishia kutumika na kunyanyaswa kihisia na muda mwingine tunaacha ndoto zetu na mipango yatu kisa wanaume
Wao hata huku jukwaani kila siku wanapandishiana nyuzi kushauriana
Utasiki man to man fanya hivi
Sisi huku nyuma ya keyboard kudanganyana
Shoga angu vumilia wanaume ndivyo walivyo upuuzi tu
Usivumilie upumbavu ondoka mapema angali una nguvu za kujitafutia na kujilea mwenyewe sio unavumilia unakuja kukumbuka kuondoka umekua ajuza
Jifunze kumsoma mwanaume muongo mbinafsi na mlagai kimbia upesi usimpe hata sekunde ya kuendelea kunyonya energy yako 🙏
Narudia jifunze kusoma mtu una em date macho yako usiyatoe kwenye macho yake muangalie kama anachozongumza kinatoka ndani
Ukiwa makini na timamu Mwanaume tapeli hachukui round una mdaka
Usikute hata wewe pia umezalisha ovyoNakuambia ukweli,na utazalishwa ovyo
Story ni ndefu ila baada ya kutoa milioni moja huduma ndo zilistop akawa ananitegemea mimiVipi kabla ya hajakupa milion moja alikuwa anakuja ukweni kula bila kutoa hela? Au alikuwa hauhudumii familia?, kumbuka ulimkuta geto ana maisha yake ukijibebesha na mimba je alikuwa haudumii? Kabla ya kupoteza kazi
Mda uku niwe responsible wa kulisha baba na mtoto etiMhhhhhh jmn sio kwa kuwashambulia huko wanaume mboana tupo simple 2 lakini kwa hizo changamoto za mwenzetu huyo mdada nikwamba aongeze kamda kidogo na dua,umakini atajuwa linalompasa kufanya asant ila umetuponda sana sis wanaume
Upande wa pili sio responsible na hataki kazi ngumuAmeeleza upande mmoja unaomfeva yeye na anaonekana shujaa
Unampigq chini na jamaa nae ndo anatoboa kimaisha huoni dada atakua amekula mbivuPiga chini huyo
Ni kweli kabisaMapenzi huwa hayashauriwi kwamba muache au usimuache......
Wewe ndio unaemjua na wewe ndio unaijua umuhimu wa huyo mtu kwenye maisha yako.
Jipe muda wa kutafakari bado uko tayari kuishi nae au unachapa lapa, muamuaji ni wewe bro
Ni kweliMapenzi huwa hayashauriwi kwamba muache au usimuache......
Wewe ndio unaemjua na wewe ndio unaijua umuhimu wa huyo mtu kwenye maisha yako.
Jipe muda wa kutafakari bado uko tayari kuishi nae au unachapa lapa, muamuaji ni wewe bro
Simtetei mume wa mtoa mada, sababu kiuhalisia mumewe anakosea kujilemaza bila kuhudumia chochote kwa familia yake.Yaani mwanaume mzima alale ndani bila sababu za msingi kisa alitoa ka milion ka mtaji serious
Yaan haumwi wala hana kilema
Kwa sababu kapata uraibu wa kuhudumiwa ndio asinyanyuke kutafuta kazi hivi nyie wanaume kwanini mnajipa u special sana ?
Mungu wa mbinguni anasikia maombi yangu kila sekunde namuombea ila naona yeye hayupo tayari kuombewa na kubadilikaUtaacha wangapi? Sijui dini yako, lakini sisi wakristo tunafundishwa kuwa Yesu ni jibu la mambo yote. Muombe Mungu kwa imani yako, zungumzeni na kama kuna watu wazima wenye hekima mnaweza washirikisha kuwajenga.
Na asipo mpiga chini na jamaa akaendelea kusota zaidi ?Unampigq chini na jamaa nae ndo anatoboa kimaisha huoni dada atakua amekula mbivu
kaa nae chini myazungumze ikiwezakana washirikishe na wazazi wake ila sio kumkimbia mbona yeye alikuwezesha 1M , kwamaana hiyo wewe uahalisahau hilo kabsaKwann kaka nieleweshe pengine nakosea
Nature ya mwanamke kaumbiwa kuhudumiwa kuwa receiver na mwanaume kuwa provider sasa hizo nafasi zikibadilika ikawa vaisi vesa matokeo yake ni hayo kikubwa wanaume tafuteni ela hudumieni familia zenuSimtetei mume wa mtoa mada, sababu kiuhalisia mumewe anakosea kujilemaza bila kuhudumia chochote kwa familia yake.
Ila nimewaza kama position zingekua switched mke hana kazi, mume ndo anahudumia familia yote, tena wanaume wengine wanahudumia hadi ndugu zake mke, na vipato vyao vya kawaida, ila hao wanaume wanaona kawaida..
Mke kuhudumia familia anahisi kufa kufa😂😂 ShesRise_1
Ni fumbo kwa kweli maisha hayatabirikiNa asipo mpiga chini na jamaa akaendelea kusota zaidi ?