Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Pamoja na yote, kwanini mwanaume mwenzenu hataki kujishughulisha?
Hata kwa faida yake tu haoni umuhimu wa kutafuta kazi?

Kwamba kuna kipindi ambacho wote hawakuwa na kazi wakawa wanahudumiwa na wazazi wa mke. Mke kaona aibu akatafuta mkopo akaanza kutafuta ili maisha yaende, mume kakaa tu mpaka katafutiwa kazi ndogo ikamshinda akaona haimfai (of which ni haki yake kuacha huenda kweli haimkumfaa). Now anategemea udalali na udalali haumlipi bado hataki kutafuta kazi nyingine. Hivi kweli kwa mwanaume unayejielewa utakaa kutegemea udalali mdogo mdogo ambao haukuwezeshi hata kupeleka hela ya kula nyumbani?
Angekuwa ni kijana wako mkuu ungempongeza kwa hili? (Shauri tu kama mzazi mwenye huyo kijana) Maana akishabeba majukumu ya familia mtu anatakiwa ajielewe utoto aweke pembeni.

MY TAKE: Mtoa mada usimuache mume wako. Nyinyi bado ni vijana mna muda wa kutengeneza. Kama ni mtu ambaye hana shida nyingine isipokuwa ukosefu wa kazi tu don't leave him endelea kuzungumza nae na pia unapokuwa na nafasi ya kazi au biashara muunganishe.
MUHIMU, Usijiingize kwenye madeni usiyoyamudu, usiwe na huruma kupita kiasi ukamlemaza, jichunge usizae mtoto mwingine bila kujiweka sawa.
 
Kwanza rekebisha hapo kwa mwanae. Ni mwanao pia usiwe mbinafsi kihivyo
 
Kwanza rekebisha hapo kwa mwanae. Ni mwanao pia usiwe mbinafsi kihivyo
 
kaa nae chini myazungumze ikiwezakana washirikishe na wazazi wake ila sio kumkimbia mbona yeye alikuwezesha 1M , kwamaana hiyo wewe uahalisahau hilo kabsa
Nishauri kodi imeisha na yeye kalala ndani nilipe kodi ilhali anauwezo wa kutoka na kufanya vibarua au niludi kwetu mana nikilipa napo atazidi kulemaa
 
Kwanza rekebisha hapo kwa mwanae. Ni mwanao pia usiwe mbinafsi kihivyo
Unajua toka mtoto anazaliwa hata kumnunulia nguo hajawahi ada yake ya shule haijui zaidi ya kula tu so sometimes naona niko peke angu tu
 
Pole sana dada Kwa uvumilivu na huyo marioo,Hangaika nae na tafuta jamaa zake au ndugu uwaelezee hayo,ila kazi ya udalali inalipa Kama anajifanya Kwa uaminifu!
 
Huo mfano wako sio halisi, huyo unayemsema ni mzazi mwenzio ambaye ulilala naye kitanda kimoja na kupanga maisha pamoja, na wakati anakupa hiyo milion moja hakuwa anakupa kama mtu bali bali Mwenza wake na lengo lilikuwa ni kutengeneza maisha, nimekuuliza swali je, unafikiri wote waliozalishwa na kuachwa wakipambana wenyewe walipewa hata hata hela achilia huo mtaji? Ulipaswa kuthamini kile ulipewa, labda nikuulize swali unaamini katika uwepo wa Mungu?
 
Comment Bora kabisa mademu wanaroho mbaya sana ukifeli ndo utajua hili yeye kaliudumia miaka yote lakini lenyewe ni full drama *****
 
Ni kweli na nilichojifunza wanaume hawaridhiki
Mwanaume akiwa anakupenda ana ridhika. Issue mna date na watu ambao hawawapendi. Nilikuja jifunza binafsi katika heka heka za maisha, kwanini nakosa uaminifu, baada ya kujichunguza sana nikaja kuona wote ninao wazingua sikuwa na wapenda kabisa bali nimekuwa na tamaa nao
 
Lakini kumbuka alimpa m1!
 
So tuendeelee kuwalisha ikiwa huna kilema ,wala ulemavu ulale ndani tu mwanaume mzima
 
Ni ukweli mchungu sijui nifanyeje
 
Comment Bora kabisa mademu wanaroho mbaya sana ukifeli ndo utajua hili yeye kaliudumia miaka yote lakini lenyewe ni full drama *****
Shida nyinyi mnalemaa mnataka kulelewq na sisi tukiwalea ndo shida inapoanzia
 
Ni ukweli mchungu sijui nifanyeje
Usijute, ni sehemu ya wewe kujifunza. ( umejifunza jambo na limekufanya ukomae na uwe imara )

Usisite kuanza upya maisha ( uhai wako, amani yako, na afya yako ni muhimu kuliko huyo mwanaume ).

Anza upya, utafanya vizuri bado mwanamke mdogo na una umri wa kufanya mambo yako mazuri zaidi. Usikae mahala unaumia kila kukicha mwisho wa siku upate depresion
 

Asante sana natamani abadilike awe baba wa kuhudumia familia mana wakati mwengine naona kabisa mzigo uko juu yangu kama kumvumilia nimevumilia naisi kushindwa
 
WAKATI UNAOLEWA ULIKULA KEKI PEKEYAKO NA SASA MALIZANA NAE MSITUSUMBUE JAMAN
 
MTOE KWA MKOPO WAHI KABLA DIRISHA HALIJAFUNGWA 👌 ATAKULALIA HUYO HUNA PA KUPELEKA
 
ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…