Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Kama ulikuepo ni analala ndani anaangalia muvi
 
Comment Bora kabisa mademu wanaroho mbaya sana ukifeli ndo utajua hili yeye kaliudumia miaka yote lakini lenyewe ni full drama *****
Mkuu don't mess up with a woman,hawa watu hawana shukrani kabisa,kasahau huo mtaji ni mume wake alimpa ,hawa wanawake wenye malezi ya pande Moja ni hatari sana,huyu mwanamke ukifuatilia utaambiwa alilelewa na mzazi mmoja
 
Yaani mwanaume mzima alale ndani bila sababu za msingi kisa alitoa ka milion ka mtaji serious

Yaan haumwi wala hana kilema
Kwa sababu kapata uraibu wa kuhudumiwa ndio asinyanyuke kutafuta kazi hivi nyie wanaume kwanini mnajipa u special sana ?
Vita na wanaume ndo kitu kinacho malizia ndoa nyingi sana. Na wanawake wa hudhani mwanaume ndo shida, ila hawajui nini kiko nyuma ya pazia. Wao hudhani ni rahisi tu, hudhani mwanaume ni mashine. Hudhani mapambano ya kitaa ni sawa na kubeti.

Wakisha achika wakaona how hard it is, ndo huwa wanakuja kuwa more toxic, wanaishia kutumika na hawaolew because tayari hawana sifa yoyote ya kuwa mama wa familia
 
Mkuu don't mess up with a woman,hawa watu hawana shukrani kabisa,kasahau huo mtaji ni mume wake alimpa ,hawa wanawake wenye malezi ya pande Moja ni hatari sana,huyu mwanamke ukifuatilia utaambiwa alilelewa na mzazi mmoja
True hawana shukrani kabisa mademu wanaroho mbaya
 
Asante sana natamani abadilike awe baba wa kuhudumia familia mana wakati mwengine naona kabisa mzigo uko juu yangu kama kumvumilia nimevumilia naisi kushindwa
mambo yenu ya kuvumilia ndio mnakuja kuuliwa au kujikuta unajifia na depresion. Ukishaona kichwa kawa mweu ndani ya nyumbaa kaa mabali na huyo mtu
 
Huyo mwanamke ni wale wenye nongwa aliona dume anapesa before na alikuwa na kazi, so sasa jamaa katemwa kazini anaonekana boya
 
Mkuu don't mess up with a woman,hawa watu hawana shukrani kabisa,kasahau huo mtaji ni mume wake alimpa ,hawa wanawake wenye malezi ya pande Moja ni hatari sana,huyu mwanamke ukifuatilia utaambiwa alilelewa na mzazi mmoja
Usichokijua naishi na wazazi wote na nimelelewa na banana mama alafu kusema wanawake hawana shukran ni uongo kupewa mtaji sio kigezo cha kutohudumia familia
 
Acha roho mbaya best.
 
Inaonekana,hamwambii ukweli, Anaumia tuu moyoni na huyoo marioo anajua Hilo!
Hizi case zimekuwa nyingi, kuna dogo kazini nae ni binti mdogo maksini mzuri yeye ndio hadi alikopa na gari na mikopo kadhaa kwa ajiri ya kajamaa.. Mwisho wa siku binti akaanza kupata depresion ndio tumekuja mtoa kwenye huyo ujinga sasa hivi kaanza recover kidogo kidogo watoto wa kike kuna mahala wanapikwa kweli kweli nusu ya kufa na hawa vijana wa siku hizi
 
Ni mtazamo wako
 
Mkuu umeongea point kubwa sana ambayo vijana wengi hatuizingatii tuingiapo kwenye mahusiano.

Comunication, communication, communication.

Just a simple act ya kuongea na kuliweka jambo menzani ni battle half won. Yaani huyo mwanamke alipaswa kuwa mediator na sio kum attack mumewe na kumsema vibaya nje

Mimi Naona wengi hawaongei kwa sababu wanaingia kwenye mahusiano wakiwa na lengo fulani
 
Duuh, pole yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…